Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
31 Dec 2025
417 views
VYOTE NDANI GONGA94
USIKU MMOJA TU ALIDATA SEHEMU YA 9
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA........
"Naomba utulie " Sauti ya Mfalme Pangani ilisikika baada ya kuanza kumtoa mkono.
Mmmh kutulia tena jamani basi nilitulia akawa anachezea chuchu zangu.
"Malkia wangu, siku ya jana nimeongea na Mtabiri Mkuu kanieleza Mimi na wewe tumebarikiwa watoto wengi mfano wa mchanga wa bahari. Lakini kwa kuwa nakupenda sitaruhusu uzeeke mapema " Mfalme aliongea huku akizidi kutalii huku na kule.
Nyie watu basi nikawa hoi taabani, kitu kilipitishwa kwa nyuma.... eeeh vile nina muda mrefu sasa liwalo na liwe tu. Nilianza kutoa ushirikiano ππππ.......
Tuliviringishana hivi na vile mwisho tulifika kileleni.
Nyie wacha niumbuke sasa, Mfalme alinigeuza mbele tukawa tunatazamana.
Yeye alishtuka Mimi pia nilishtuka,
"Wee mbwa nani kakupa kibali cha kuingia kwenye mto wa Mfalme na Malkia.... lengo lako ni nini wewe nguruwe pori " Mfalme alifoka.
Nilijitupa kwenye maji eti nipige magoti wacha maji yaingie puani ni kaanza kukohoa mfulilizo ..... Mfalme aliniokoa vile ana hasira sasa alinikata mtama ni kaanguka kwenye maji.
Sikutaka hata kujishughulisha kujiokoa ni heri nife tu na si kukabiliana na adhabu ya kifo.
Mfalme alinitoa kwenye maji kisha akanikata mtama tena.
Walinzi wake walikuja mbio kutokana na purukushani iliyokuwa inaendelea.
"Msiwe na shaka hakuna kitu chochote kibaya...." Mfalme aliongea huku akijitahidi kunificha. Ile Walinzi wameondoka tu, Mfalme alinitimua.
Niliondoka kwa kukimbia bila kugeuka nyuma. Ile naingia chumbani kwangu tu Malkia Shamsa alifika akiwa kambeba Ivan.
"Nimekumbuka Mimi na Mfalme Pangani tumeahidiana kukutana mtoni, naomba ubakie na mtoto " Shamsa aliongea.
Nilitamani kumuambia tayari nishaliwa na Mfalme huko mtoni lakini nilijizuia.
"Malkia, Malkia " Sauti ya Kijakazi wake ilisikika.
Shamsa alifungua mlango ili ajue ni kitu gani kinaendelea.
"Kuna Binti alikuwa kwenye mto na Mfalme, wallah nahapia siku ya leo Mfalme kakusaliti " Kijakazi aliongea bila kupumzika.......
ITAENDELEA..........
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kuch...
49 MPAKA 50 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatili...
"Naomba utulie " Sauti ya Mfalme Pangani ilisikika baada ya kuanza kumtoa mkono.
Mmmh kutulia tena jamani basi nilitulia akawa anachezea chuchu zangu.
"Malkia wangu, siku ya jana nimeongea na Mtabiri Mkuu kanieleza Mimi na wewe tumebarikiwa watoto wengi mfano wa mchanga wa bahari. Lakini kwa kuwa nakupenda sitaruhusu uzeeke mapema " Mfalme aliongea huku akizidi kutalii huku na kule.
Nyie watu basi nikawa hoi taabani, kitu kilipitishwa kwa nyuma.... eeeh vile nina muda mrefu sasa liwalo na liwe tu. Nilianza kutoa ushirikiano ππππ.......
Tuliviringishana hivi na vile mwisho tulifika kileleni.
Nyie wacha niumbuke sasa, Mfalme alinigeuza mbele tukawa tunatazamana.
Yeye alishtuka Mimi pia nilishtuka,
"Wee mbwa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usiku-mmoja-tu-alidata-sehemu-ya-9
Maoni