MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????
SEHEMU YA 03"& 04"
David alinisogelea na kunishika mkono akaniambia Natasha kumbuka mimi sio kijana mimi nimtu mzima ????
Nikamjibu hatakama lakini bado nimwanaume sihitaji kabisa na istoshe wewe nisawa na baba kwangu ????????
David alisimama???????? na kuniambia sijawahi hata sikumoja kukataliwa na binti ????????
Kwanini wewe Natasha??? unathubutuje ????????
Nilimjibu nisamehe kwa hili nikasimama nakuondoka wakati naondoka huku nyuma nilimuacha akishangaa zigo linavo tikisika????????
Hata kama wewe ni nani siwezi kukubali kwa siku moja bwana kula chuma hicho????
Niliamua kuwahi bajaji nakisha nililudi nyumbani
Nilipofika home niliiingia bafuni nikaoga nakisha nilitoka na kuingia kitandani sikutaka kumsumbua bibi????????????
Usiku ulikuwa mrefu lakini hatimae palikucha nikaamka nilianza na usafi na baada ya hapo niliandaa kifungua kinywa kisha nilimwandalia bibi maji akaoga????????
Alipotoka bafuni alikuja kupata kifungua kinywa sikuhiyo ilikuwa siku ya mapumziko kazini..
Niliamua kufanya shuguri za nyumbani tu????????
Tulikunywa breakfast na bibi yangu
Tulipo maliza nilienda kufua nguo na baada ya kumaliza nilifanya fanya shuguri zingine za nyumban????????????
Kukunja nguo kufuta vumbi kila kitu nikahakikisha kimekaa pahala pake mida ya jioni tyr nilikuwa nimeshamaliza kila kitu nikajilaza kitandani kidogo nipumzike..
Nikiwa nimejipumzisha niliona sim yangu inaita nikaichukuwa ilikuwa ninamba ngeni ????????
Mmmhh ni nani huyu????????Nikasema ngoja niipokee ila sijui ana shida gani..
Nilipokea nikaita halooo????
Alijibu haloo Natasha ????????????
Naam ndio mimi nani mwenzangu ????????
Aliniambia naitwa David nipo hapa nje kwenu je unaweza kuja tuonane au nije mimi ndani??
Khe????????Niliposikia au aje mwenyewe nikamjibu sawa nakuja ??
Nilitoka nikaangalia kushoto kulia nikasogea mbele niliiona gari nzuri yakifahari nikaifuata??
Nilikuwa najiuliza hivi huyu bosi mbona simuelewi kabisa mimi ????????
Anatatizo gani kwani hana mke nakwanini ananisumbua mimi tena nimtu wa kawaida sana kwake????????
Nilikuwa natembea huku najiongeresha ????????
Nilifika alipopaki gari akashusha kioo na kuniambia fungua mlango uingie????????
Nikaingia ndani ya gari kisha nilimsalimia nimkubwa mno kwangu yani ni mubaba wa makamo????????????
Alijibu saram na baada ya hapo aliniambia tutoke hapa maana watu watakuwa wanajiuliza ninataka nini hapa ????????
Nilimwambia nikweli maana gari ya thamani kama hii hapa mtaani kwetu ni adimu????????
Aliwasha gari na kutoka mtaani aliniambia twende hoteli ni hotel gani inakuvutia??
Nilimkatalia kwanini hotelini na umenikurupua sijajiandaa???????? alisema sawa
chagua wewe sehemu unayoona itafaa kwa mimi nawewe kuzungumza pia nifikilie na mimi hadhi yangu
Nilimjibu sawa twende maeneo ya fukweni naamini huko kunautulivu mkubwa tuu napia kutakusaidia kufikili vizuri
David alicheka why kufikilia vizuri?????? but it's okay twende huko????????
Aliwasha gari tukaelekea fukweni maeneo ya kigamboni
Tulipofika alipaki gari kisha tulishuka na kusogea pembezoni mwa maji ????????
Taratibu tulikuwa tunatembea na tulianza mazungumzo yetu mimi na Mzee baba watu walikuwa wanatutizama sana nahisi ni kutokana na distance ya umri wetu????????
Nilimwambia Davd ona watu wanavotutizama naona aibu???????? watakuwa wanajiuliza tuu mimi mtoto na huyu baba inakuwaje
David alinijibu kwani nivibaya mbona ndio vizuri Natasha..
Alinishika mkono na kunisogeza kwake alinitizama kisha akanikumbatia kwa nguvu????????????
Nilizidi kuchanganyikiwa nikawa namuuliza David unafanya nini ujue wewe nibosi jamani
SEHEMU YA 04"
Alijibu hapa sio ofisini hapa nifukweni mwa bahari na nisehem ya faragha
Watu walikuwa pembeni walikuwa wanatutizama tuu
David alikuwa nimkubwa lakini nimtukutu jamani
Aliponiachia aliniuliza uko tayari kuwa wangu au bado hujakubali ??
Nilimjibu hapana sijakubalia
David alinishika mkono na kunipeleka sehem kuna viti tulikaa hapo na kuendelea kuongea
Aliniambia kuwa Natasha kwanini jamani unajua huwa siongeagi sana ????????
Ngoja nikuambie kitu mimi huwa nakaa ofisini kwangu ninacamera ya jengo zima la ofisini kwetu
Usifikiri nimekurupuka kwako nilikuona kitambo nilisha kupenda mudatuu????????
Nilimuuliza sasa David kwani je ikiwa mimi sijakupenda nitafanyaje????????
David alijisikia vibaya kauli hiyo na kugeuza shingo pembeni kidogo ????????
Kisha alipoludisha kwangu akaniambia kumbe ndio hivyo????????
Aliinuka na kuondoka alienda kupanda gari na kuondoka zake akaniacha pale ????????
Ilikuwa jioni na sina hela yakutosha nilibaki pekeangu nikaona nisogee kwenye pantoni na kuvuka na baada ya hapo nilimpigia rafikiangu sim
Nilimuomba anisaidie hela kidogo nitamrudishia
Rafiki yangu alinitumia elfu tano nilienda kuitoa kisha nikapanda dala dala
Hadi nyumbani nilichukia sana nikasema watu wengine niwehu sasa unawezaje kumleta mtu mbali kisha unapokasilika hovyo unamuacha????
Nilichukia sana nilifika nyumbani nilimkuta bibi kaisha pika cha usiku akaniambia vipi ulikuwa wapi maana hata hujaaga mwenzangu????????
Niliona nimdanganye maana sijui nitamueleza nini
Niliingia zangu chumbani kwangu nikavua kisha nilitoka na kwenda kuoga????????
Nilimaliza kuoga tukala kisha nikaenda chumbani kwangu kulala..
Hatimaye kulikucha tena niliamka na kujiandaa nakisha nilienda kazini????????
Nilikuwa nimepooza sikuhiyo maana nilikuwa nimeboreka sana sababu ya bosi David????????
Nimefika ofisini hata sijapumzika nikaanza kutumwa tumwa kunammoja alinituma kitu nikachanganya nilipofika alinifokea sana????
Aliniaibisha mbele za watu nilitoka mbio na kwenda kulilia chooni nililia mnoo nilikuwa na vitu vingi vinaniumiza????????
Wafanyakazi wengine walicheka lakini wengine walinihurumia kunakijana mmoja alinifuata na kunigongea aliniita
Natasha! Natasha !
Niliitika abeee
Aliuliza uko poa ???
Nilimjibu usijali nikopoa kabisaa????????
Yulekijana aliamua kuondoka na kurudi ofisini alipofika alimuita yule dada aloniaibisha na kuanza kumsema ????????
Yule dada alikasilika na kumjibu kwani huyo ni mwanamke wako?? Hapa ni kazini mpnz huko mtaani kwenu akatukana!
Yule kaka alisikitika tu na kuamua kukaa kimya..
Alirudi kuniangalia akaniambia kuwa usijali wale niwapo hivyo hivyo ila ukiwakazia wataacha huo ujinga sawa Natasha
Nilimwambia sawa niko sawa sasa asante kwa kunijali nitajua jinsi ya kuishinao..
Baada ya hapo tulitoka na kuludi ofisini tukiwa tumeongozana
Vile tunarudi tu tukakutana uso kwa uso na Boss David aiseee alinikata jicho sijui alifikilia nini????????yani alichukia ile chuki ya waziwazi????
Aliondoka haraka kumbe alienda kuangalia kwenye cctv camera????????????akaona matukio yote aloooh ????????????aliona nilivoaibishwa ofisini hakupentaaaaaa
Ilitoka amri yule dada aloniaibisha afukuzwe kazi haraka sana????????
Siku hiyohiyo yule mdada akapokea barua ya kusimamishwa kazi???????? mama weee mambo si yakaanza kuvuma ndani na nje ya kampuni
Watu wakaanza kusema mimi nimpnz wa Boss
Nilibaki nimeshangaa sana nikajiuliza watu si wataanza kunijengea chuki????????
Nilimfuata meneja nikamuomba amrudishe yule dada kazini maana mimi ndo naonekana mbaya
Nilimuomba Wampe tuu adhabu ila sio kumfukuza kazi kabisaa huwezi jua maisha gani anayapitia
Nilimuomba sana sana lakini alinijibu jibu mojatuu
Kuwa sio mimi ni bosi devid ndo katoa amri nenda ongea nae yeye
Nilitoka ofisini kwa meneja wangu nika chukuwa sim yangu nikasogea pembeni
Nikampigia boss David alipokea na kuita haloo
Nilijibu mimi Natasha bosi samahani naomba kuonana nawewe
Alinijibu sio hapa tuonane sehem tofauti na hapa Natasha
Nilimjibu hapana ni inshu ya kiofisi Boss
Alinijibu sawa ila sipotayari tuzungumze hapa nataka tuonane sehemu
Nilimjibu ok sawa wapi unataka tuonane
Alijibu twende hotelini kuna hoteli moja hivi nzuri sana hapo mjini alinitajia jina na akaniambia nitangulie atanikuta hapo????????
Nilimjibu sawa lakini usije ukanitelekeza huko????
Niliaga kwa meneja nilidanganya nimepata dharula meneja akacheka tu kumbe ashapewa taarifa na Boss mkubwa????????
Nilitoka na kuchukuwa bajaji hadi kwenye hiyo hoteli
Nilipofika nilipokelewa vizuri sana mpaka nikashangaa mara nikashangaa naambiwa chumba chako kiko tayari miss karibu upumzike kheee????????chumba????????
Mbona kalipia chumba jamani si tungeongelea tu hata pale nje kwenye viti????????????
Full 1000
WhatsApp 0742133100.