Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 9&10"

18th Apr, 2025 Views 11

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????

SEHEMU YA 9&10"

Basi bwana tuendelee ????????????David baada ya kukabidhi zawadi alituaga akasema ye anaondoka kuna sehemu anataka kuwahi..

Bibi alimzuia akamwambia huwezi kuondoka bila kula hebu ingia ndani tupate chakula kwanza..

Natasha ingia ndani uandae chakula haraka mwenzio anataka kuwahi kwenye mambo yake????.

Bibi alimshika mkono devid na kumludisha ndani tuliingia wote pale sebreni ????????

Na bibi akaniambia Natasha naomba nenda uandae chakula mwanangu ale ???????????

Niliingia nikaandaa chakula mezani na kisha niliwakaribisha ????????????

Walikuja mezani na kuanza kula devid alipoonja chakula akauliza bibi chakula nikitam sana nani kapika??????????

Bibi alijibu kapika Natasha anajua sana kupika chakula kizuri????????????

Devid akasema hakika anajua sana kupika nikitam mnoo ????????

Nilibaki nikimtizama tuu bibi akaniambia unasifiwa Natasha ????????

Nikamjibu asante bosi ????????

Devi alimaliza kula na kumwambia bibi haya bibi mimi naenda muda umeenda sana????????

Alisimama na kuniambia Natasha naomba nisindikize kidogo nje ????????

Bibi aliniambia haya inuka msindikize mgeni na kumwambia kuwa karibu sana devid jisikie upo nyumbani????????

Devid alijibu asante sana bibi nitakuwa nakuja kuwatembelea nashukuru sana????????????

Tulitoka mimi na David na kuelekea nje nilimfuata na kumsindikiza kumbe alimuita dereva wake amfuate ????????

Tulipokaribia ilipo gari yake tulisimama na devid aliniambia

Natasha hakika sikudanganyi sijawahi kupenda kabisaa maishani kwangu ila kwamala yakwanza nimependa ????????unanichanganya sana we mtoto.

Yani hapa sina pa kwenda natamani nikae na wewe muda wote tatizo bibi yupo naogopa ila kiukweli sijui hata nikwambieje ili unielewe nakpend et????????????

Yani mtu mzima yule kweli aliingia mzima mzima maana si kwa kunibembeleza kule kitoto cha efumbili????????????????mpaka anataka kulia????

Naomba uniamini sitanii ninaumli mkubwa kwako ila sijawahi kupenda wala kumjali mwanamke wewe ndio wakwanza kwangu moyoni nielewe Natasha ??????????

Naomba fungua moyo wako nipokee namimi kwangu moyoni uliingia bilahata kubisha hodi na ulichukuwa kiti na kuketi kabisaa nyieee????????????

Nilikuwa najisikia mpaka aibu????????????????

Oh naomba sana usiogopeshwe na umri wangu na wala usitishike na rangi yangu kwani mimi pia namoyo nahitaji kupendwa

Mmhhh Nilimjibu tu sawa nipe muda nifikilie maana bado sijauruhusu moyo wangu kupenda???? mi nae nilikuwa naringa????????????

Devid aliniambia ok sawa kesho utakuja kazini naona unaendelea vizuri sasa

Nilimjibu hakika ninaendelea vizuri nitakuja ????????

Devid akaniuliza kesho nikutumie dereva aje akuchukuwe na gari yako uje nayo kazini??

Nilimjibu hapana sitaki kwanza umeninunulia gari wakati sina hata nyumba ila zawadi haichagui wacha niipokee hivyo hivyo????????

Devid akaniambia hapo mnapokaa sio kwenu kumbe ? ok sawa nalifanyia kazi hilo pia usijali..

Nilimuaga na kumwambia haya unaweza kwenda ukapumzike kidogo niache namimi nikaendelee na mambo mengine????nenda ukapumzika Dady ????

Umetoka kazini umepitia huku hujapata muda wakupumzika haya jijali sasa nawewe sawa

Maana unamjali kila mtu sasa nawewe unatakiwa ujijali nenda nitakupigia sim ????????????nilimpa maneno fulani hivi ajisikie fahari kidogo????

Nilimsogelea dereva na kumwambia haya hakikisha unamfikisha sarama Dady wangu sawa??

Dereva aliitikia sawa na baada ya hapo nilimfungulia mlango wagari bosi devid ili apande kwenye gari alijisikia raha sana????????

Alipotaka kuingia kwenye gari aligeuka akanishika na kunikumbatia kwanguvu akani nong'oneza kuwa nakupenda sana Natasha ????????

Nilimuitikia asante kiukweli nilishaanza kuingiwa na h sia zakumpenda devid ila niliogopa kumuonyesha kabisaa wazi wazi????????

Nilikuwa na hofu hawa waarabu kuwa na mtu mweusi sio rahisi kihivyo????????

Nilijua nikimruhusu aingie moyoni mwangu nitakuja kuumia

Devid aliingia kwenye gari na gari iliwashwa wakaondoka na mimi nililudi ndani kwetu???????? kaniambia atalifanyia kazi swala la nyumbani eh Mungu saidia iwe kweli????????????

Niliingia ndani Bibi aliponiona akaniambia Natasha kipnz changu huyu devid anaonyesha anakupenda sana????????

Nilimwambia bibi bwana huyo ujue nimkubwa sana kwangu????????

Bibi akajibu ukubwa wake sio neno anahekima na busara vinatosha nauhakika atakutunza tuu????????

Nikamjibu bibi jamani bibi nawewe umesha anza kunishawishi???????? minaenda zangu kulala

Niliingia chumbani nikafunga mlango wa chumba changu kisha nilipanda kitandani kwangu..

Nilinza kumfikiria Mr David yani ndo hivo nishaanza kumpenda lakini sitaki mtu ajue???? wakati namuwaza nikachukua simu nikawaza sijui nimpigie nimuulize kama amefika????????

Full 1000

WhatsApp 0742133100.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest