MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ?
SEHEMU YA 05" & 06"
Nilipoingia kilikuwa chumba kizuri sana kinavutia hatari kinakilakitu ??
Waliniwashia kiyoyozi nikawa naendelea kumsubili bosi pale na chakula na vinywaji waliniletea ?
Nilikula na kunywa zangu juice nikawa nimesimama dilishani nikitazama nje ??
Nilistuka naguswa kiun?? kisha nikakumbatiw kwa nyuma aiiiiiishhhhh????niligeuka haraka nikakutana uso kwa uso na Dady David?
Aalismail tuu?kisha akaniambia wewe nimuoga sana mbona umeshtuka kiasi hiko???
Nilimjibu hapana sio muoga nikatabasam??
Aliitikia na kuniambia tuketi
Nilikaa na kumwambia nilikuwa nakuomba bosi David sana yule dada mludishe kazini nitachukiwa jamani??
Devid alinitizama na kuniuliza kwanini unahurumia mtu aliyekukosea??
Nilimwambia huwezi jua anamaisha gani kwao huwezi jua labda hii ndio kazi pekee anaitegemea tafadhari devid mludishe tuu??
Boss Devid aliniuliza hivi unajielewa wewe huyo mtu kakudharirisha lakini bado unamuombea msamaha why??
Nilimjibu nikweli ila hajaniua kaniumiza kihisia tuu lakini niko sawa yeye nitakuwa nimemsababishia mengi zaidi??
Labda familia inamtegemea najisikia vibaya David msamehe tu mi sitaki kuwa sababu ya wengine kuumizwa???
Devid aliniambia sipo tayari siwezi kumsamehe mtu anayekuumiza Natasha aliongea hivo kisha akageukia upande mwingine
Niliamua kupiga magoti na kumshika miguu yake huku nikimwambia tafadhari mrudishe sitaki kuwa nadhambi kwa familia yake
David aligeuka na kuniinua kisha akaniambia nitafanya hivo kwa shart
Nikamjibu chochote sema nitafanya
Akaniambia utakuwa wangu kuanzia leo hii??
Nilishtuka na kurudi nyuma nikamwambia mmh hilo ngoja nilifikilie ??
Sasa kwanini umeamua hilo tuu bosi Devid nipe shart lingine tafadhari
Devid akajibu sina lingine na kama utaendelea kufikilia ndio utakuwa unazidi kuwatesa kweli familia yake hujui leo wataamkaje huko..
Nilizidi kuogopa nikamuomba mrudishe nitakupa jibu leo hihii lakini si sahivi tafadhari naomba
Devid alijibu kuwa ukinipa jibu tuu namimi ndio namrudisha kazini sasa kazi kwako..
Niliogopa nilikuwa na mawazo sana nikamuomba sawa naomba niondoke kisha nitakupigia sim
Devid aliniruhusu na kuniambia kuwa upite hapo reception kunazawadi za bibi yako nimemnunulia..
Nilimtizama tu kwa mshangao kisha nikaondoka zangu nanilipitia hicho alichoniambia
Nilifika nyumbani nilikuwa na mawazo sana niliona muda umeenda nilioga na kula kabisa chakula kisha nilipanda kitandani
Nilikagua zile zawadi za bibi nikawaza huenda David atakuwa mtu mwema kwangu acha tu nikubali..
Nilimpigia sim bosi David na kumwambia sawa nimekubali ombi lako nitakuwa wako ??
Bosi David alijibu sawa nampigia sim kiongozi wenu amrudishe kazini huyo msichana ila akijakurudia kukukosea sitomuelewa kabisa..
Nilimjibu ok
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE??
SEHEMU YA 06"
David aliniambia asante Natasha kwa kukubali ombi langu nakupenda sana Kisha alikata sim nikawa namawazo sana nawezaje kuwa na bos devid
Sijawahi kabisa kuwa na mwnm mimi tangu nazaliwa sijui itakuwaje sasa mmh
Nilijiongelea pekeangu nikawa naguna tuu sijui nini kitatokea ??
Wakati najiuliza pekeangu sim yangu iliita na nilipotizama alikuwa bosi devid mmhh si katoka kuongea namimi saivi nilipokea
Akaniambia tayari binti kaludishwa kazini kpnz hivyo kesho atakuja kama kawaida
Nilimjibu ok asante sana
Akaniambia nahitaji nikuone usiku huu Natasha
Nikamwambia sasahivi devi mbona giza jamani istoshe sina chakumdanganya bibi naogopaa??
Devid akaniambia nakuja hapo maeneo ya kwenu nataka nikuone tuu kisha naondoka zangu
Nikamwambia sawa harakisha njoo ila sijui watu wakikuona itakuwaje jamani aah!
Akaingiza utani wewe utakuwa kaongo
Nikamuuliza nimedanganya nini sasa
Akajibu kuwa siumesema utamdanganya nini bibiako inaonyesha unamdanganya sana hata mimi utakuwa umenidanganya??
Nikamuuliza nimekudanganya nini wewe hahahaa
Devid akajibu umenidanganya kuwa hujawahi kuwa namahusiano yeyote tangu uzaliwe??
Nikamjibu sasa nikudanganye hilo iliiweje ata sijakudanganya??
David alijibu okay akakata simu ilipita muda kidogo akaniambia nipo nje toka nikuone ulivyo muongo??
Nilitoka nje taratibu na kuludishia mlango nikasogea nje kwenye gari nilikuwa nimevaa kidera changu maana ndio nilikuwa nataka kulala
Niliiona gari imepaki maeneo ya uwanjani wanapopenda kucheza mpira watoto nikaenda
Aliponiona alifungua mlango nikaingia alikuwa kavaa msuli na tisheti ??
Nilijinunisha haya nimekuja maana sasa unatumia fimbo niyule dada kuniadhibu mimi sio??
Devid alijibu hapana nakpnda tuuu
Nikamwambia tayari umeniona niondoke sio
Devid alijibu kwanini hunipnd Natasha au sio wandoto zako??
Nikamjibu bado sijamuona wandoto zangu bahati mbaya na ndoto pia bado sijaota ??
Devid alimjibu nitakuwa mimi katika ndoto zako hata zabadae hivyo ndivyo nilivyo amua mimi sasa
Nilimtizama sikumjibu kitu aligeuka nyuma na kutoa mauwa mazuri na kimfuko kidogo akanikabizi??
Nilivipokea nikamwambia asante kisha nikamwambia nausingizi naweza kushuka
Devid akaniambia hujani bus hata unaniagaje hivo Natasha kuwa na huruma basi jamani nimetoka mbali ujue nimekuja hapa kwaajili yako tuu
Nilimsogerea nakumbs shavuni nikamwambia tayari mi naondoka??
Alijibu hapana Natasha bado sogea hapa
Nikamwambia Devid mbona kama unanionea bwana niachieeeee
Aliniachia akafungua mlango akaja upande wangu akanifungulia na mimi nikashuka chini
Alinishika???? mkono mmoja nyuma ya shingo akanisogeza mdmn kwake??mama yangu leo ni leo David alininaniliu mdmn? ilikuwa mara yng y kwanza
Nilitulia tuli nikawa najisikia tofauti?? kwa jins nilikuwa nasikia vzr niliendelea kutulia tu??
Full 1000
WhatsApp 0742133100.