MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????
SEHEMU YA 11"
Hello guys tuendelee na story yetu????????nilichukua simu yangu nikampigia David akapokea nikamuita honey kwa kumdekea????????
Sijawahi kumuita kwa mhba kiasi hiko????????alitabasamu huyooo akaniita mke wangu niambie nimekumiss sana????????
Hata mimi nimekumiss tayari David wangu nilitaka kuuliza kama tayari umeshafika babe????
Devid alijibu hakika nashukulu mungu nimefika sarama kabisaa kpnz changu asante kwa kunijali
Devid alifurahi sana kuona nimempigia mimi sim
Tuliongea vitu vingi sana kisha nilikatasim nikalala
Hatimae kulipambazuka nilijiandaa na kwenda kazini ????????????????
Nilifika kazini kwa bajaji nikaingia ofisini kwangu nilianza kupiga kazi kama kawa????????????
Nilipomaliza muda wakutoka ulifika nikajisogeza bara barani kutafuta bajaji ????????
Nilipokuwa nasubili bajaji ilikuja gari ya Mr devid nikaambiwa ingia bosi kaniagiza nikuchukue shem..
Hehehee nyieee????????????nilipanda kwenye gari nikamuuliza dereva boss wako yupo wapi sasahivi??
Alinijibu kuwa yupo ofisini kwake akimalizia kupanga panga vitu vyake nitaenda kumpitia na yeye????????
Okay basi twende tukamchukue sasa hivi????????tulimpitia devid ofisini kwake nilikuwa nimemmis ila sitaki kumuonyesha hadharani????????
Tulifika karibu na ofisi yake kwa nje baada ya dakika moja alitoka wow alikuwa kapendez kama kawaida yake ni handsome sana mjue????????????
Na ananukia hatari alifika kwenye gari dereva alitoka na kumfungulia mlango akaingia????????
Mimi nilikuwa nimekaa kwanyuma akageuka na kunisalimia ????????????
Habari Natasha vipi hali yako nilikumis sana nimefurahi kukuona mamaa vipi siku yako ya leo imeendaje?.
Nilitabasam viaibu kama vyote???????????? Nilijibu sijambo siku yangu imeenda fresh Boss????????
Devid aliniambia nahitaji kukaa nawewe kwamuda mrefu kidogo leo..
Nikamjibu sasa nabibiangu atakaa na nani Boss jamani????????
Devid akaniamnia nitajua cha kuongea nae usijali..
Tulitoka nje kidogo ya mji nilimuona devid yupo watofauti kidogo sijajua ananini nilikuwa namtizamatuu????????
Tulifika sehem tuliyokuwa tunaenda nipazuri sana nibonge la Hotel na lipo ufukweni mwa bahari..huyu mshnz asije na leo akaniacha huku????
Tulipofika devid alishuka na baada ya hapo alinifungulia mlango namimi nikashuka ????????alishawahi kuniacha ufukweni kipindi cha nyuma
Na leo kanileta tena niliogopa nisije tena nikaachwa kama siku ile????????????unawaza nini Natasha aliniuliza huku akinishika mkono wangu..
Hahaa????????hapana Dady najaribu tu kupashangaa hapa palivo pazuri panavutia sana????????????
Alinishika mkono hadi ndani tulipokelewa na kuelekezwa chumba alichobook devid ????????
Nilijua tu utapapenda hata mimi nimepapenda panatufaa mimi nawewe Natasha wangu????
Hahaha ndio dady Tulielekea chumbani devid akiwa kanishika mkono tulipofika chumbani nikamuachia mkono..
Devid aliniambia naenda kuoga bafuni unaweza kuagiza kitu chochote sim ya mezani hiyo hapo..
Sawa mpnz wala usijali alini????????Kisha aliingia bafuni nilichukuwa sim na kupiga kwa wahudumu nilikuwa na njaa nikaagiza chakula na vinywaji????
Baada ya muda devid nae alitoka akiwa kavaa naniliu tu???????????? akaja karibu yangu na kukaa akaniuliza vipi umeagiza tayari????????
Nilimjibu kuwa tayari nimesha agiza babe????????
Devid akaniuliza huendi kuoga ????????
Nilimjibu hapana sitaki kuoga nasikia baridi????
Baada ya muda chakula kilifika na tulianza kula pia vinywaji vililetwa ??????????
Tulipomaliza devid alipanda ktndn na kuniambi Natasha njoo hapa karibu yangu nataka nilal ukiwa pembeni yangu????
Leo sipo sawa hata kidogo kunavitu vinanisumbua sana kichwani mwangu????????nilishtuka baada ya kusikia hivo nikawaza kipi kinanisumbulia Dady wangu????????
Nilimuonea huruma nikainuka na kwenda kulal pembeni yake nili????????kisha nikamwambia kila kitu kitakuwa sawa Bosi????
Vipi unaeza kunielezea kidogo kuhusiana na kile kilichokusibu?? Mimi nitakuliwaza na nitakushauri pia ???????? hahaha kitoto kidogo nishajikuta mtu mzima sa nitamshauri nini mimi????????????
Nilimnaniliu naniliu ili kumpunguzia mawazo kidogo simu yake ilianza kuita????????
aliamka akatoka kitndn na kwenda kukaa kwenye kochi alionekana kuvurugwa sana????????
Alikuwa anaongea na kakaake nikama kunajambo halipo sawa
nilijifanya nimelala ila sikuwa na usingizi hata kidogo nilikuwa nawasikia kila kitu..
David Alimwambia kaka yake kuwa ni lazima nimuoe maana ndiye nimpendaye..siwezi kuchaguliwa mimi...mama weeee hebu ngoja kwanza nitege sikio vizuri ????????
Sauti ya upande wa pili ilisikika ikimwambia devid lakini mtoto wa mjomba hana shida yuko vizuri na nimzuri kwanini unamkataa nimwarabu mwenzetu yule????????????..
Devid alijibu nimzuri kwenu mimi bado sijauona huo uzuri wake na kingine zama hizo mimi sina tayari ninae nimpendae hivyo nitafanya mipango ya kuhalalisha tu..
Kakaake akauliza anatoka ukoo upi huyo umpendaye?? Na je nayeye nimwarabu mwenzetu??
Toba roho yangu kumekucha????????????nilijisemelea kimoyo moyo huku nikiwa nasubilia hukumu kutoka kwa ndugu wa mme watanikubali na huu uafrica wangu au ndo inalilahi????????
Niombeeni ndugu zangu mi tyr nishampenda mbaba wangu siwezi kuishi bila yeye????????????
Itaendeleaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100.