Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 08"

18th Apr, 2025 Views 12

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????

SEHEMU YA 08"

Bibi alifungua mlango akabaki mdomo wazi????????nini kinaendelea ????????shikamoo bibi tulimuamkia bibi huku nikiwa najaribu kumuongelesha David kwa ishara ili anishushe chini????????

Tuliaa????????siwezi kukushusha kwa sababu umeumia????????Bibi alimuuliza David kulikoni mbona umembeba eeh baba??

David alimwambia bibi samahani naitwa David mimi ni bosi wa Natasha...

Tulipokuwa kazini alianguka bahati mbaya ila usihofu nimesha muhudumia vizurituu..

Oh nini kimetokea karibuni ingieni ndani bibi alitukaribisha ndani David aliingia huku amenibeba akaniweka kwenye kochi oops mshnz huyu ????????kweli mpnz kikohozi????????

Natasha kesho naomba upumzike nitakuja kukuona tuu sawa ukae nyumbani mpaka utakapopata ahueni????????

Nilijibu kwa sauti ya chini haya asante bosi nitakuwa sawa hata usije ????????

David alijibu nitakuja huo ndio utaratibu wangu kwa wafanyakazi wangu????????

Bibi alijibu asante sana baba hakika mungu akubariki unamoyo wa huruma kwa wafanya kazi wako ?????? vipi utakula chochote baba??

Hapana hata usijali tayari nimeshakula...Devid aliingiza mkono mfukoni na kumpa bibi hela akamuambia bibi hii itamkim najua Natasha atakataa ila wewe pokea ??

Bibi alifurahi sana alimshukuru David na kumuombea baraka kwa mwenyezi Mungu????????David alifurahi sana aliaga na kuondoka zake nilisimama na kujivuta vuta nilielekea chumbani kwangu????????????

Niliweka kitanda sana kisha nikajipumzisha bibi aliniuliza nikuletee chakula mjukuu wangu??

Nilikataa hata nilikuwa na hiyo ham ya chakula basi????????nilijilaza kitandani tuu huku naugulia maumivu????????

Usiku huo nikiwa kitandani simu yangu iliita atakuwa David tu huyo sina hata hizo nguvu za kuongea nae????????

Simu iliita ikakata ikaingia msg????????

Nikaifungua alikuwa devid nikaisoma aliniambia Natasha nimependa kwamala yakwanza maishani mwangu????????

Kheee????????????nilicheka tu na wala Sikumjibu chochote yani na utu uzima huo hajawahi kupenda??

Nilijaribu kulazimisha usingizi hauji nikajikuta natamani kuchat na mr David ???????????? niliamka nikachukua simu nikamwandikia msg????????

Umependa basi vizuri nanihuyo anaeenda kuniokoa kwenye hii adhabu niliyo nayo????

Devid alijibu haraka nimempenda Natasha nimempenda sana sitomwacha hata iweje??????

Nilishtuka na nikatupa sim huko pembeni inamaana kumbe mimi ndo alonipenda wakati nawaza hivo ikaingia msg ya pili...

"Natasha wangu ni mtm kama chocolate yani radha yake haielezeki??????siwezi kumuacha mpaka pale kif kitakapo tutenganisha????

Eti amependa kwa mala ya kwanza tena nahuo umli ndio ananipenda mimi jamani nini hiki kinanitokea????????????

Nilijiongelesha kisha nilipitiwa usingizi nikalala..

Kulikucha asubuhi nilijitahidi nikaamka nikamsaidia bibi kazi zahapo nyumbani japo bibi alikuwa ananiambia wewe siume umia hebu pumzika bwana????

Nilimkatalia na kumwambia mimi sijaumia sana bosi devid anapenda kuyakuza mambo????????

Bibi akaniambia lakini yule bosi wako nimtu mzuri sana anaupendo na anajali sana mimi nimempenda pia ????????????

Nikamwambia sasa kama umempenda sawa wewe mpende????????????

Bibi akanigeukia kwanini unaongea hivyo kwani kunanini kimetokea ????????

Nikamwambia hakuna kitu bibi achana na habari hizo tufikilie mambo yetu sisi????????

Tuliandaa chai bibi aliniambia leo nataka tule kitu kizuri sana ninahela mimi????????????

Nilicheka na kumwambia yaani bibi bwana haya andaa kitu unachotaka nitakula ????????????

Bibi alienda dukani na kununua mayai na unga kisha alikuja kuongezea breakfast inoge nilicheka tuu????????????

Tuliandaa na kukaa mezani tukaanza kunywa chai huku tunapigastory ????????????

Tulipomaliza baadae nilimwagiza mtoto mmoja wa jirani aende aka niletee mboga nije nipike????

Aliniletea mboga nikaanza kuipika na kisha nilipika chakula niliandaa kuku wa kienyeji na wali wa mauwa ????????????

Wakati nipo jikoni namalizia kupika nilisikia hodi mlango unagongwa ????????????huyu nae jamani????

Nikataka kwenda bibi akaniambi ngoja niende mimi wewe endelea tuu kupika ????????

nilimsikia bibi akimkaribisha mgeni ndani nilijua tu ni David ????????

Aliingia na bibi aliniita Natasha hebu njoo umsalimie mgeni kaja kukuona bibi nae jamani????

Nilitoka hadi sebreni jamani alikuwa devid nilimtizama akaniminyia kijicho nakuuliza
Unaendeleaje Natasha ????????

Nilimjibu nimeshapona bosi kisha nilimsalimia shikamoo bosi????????

Devid aliitikia na kuniambia vizuri ila ninazawadi yako hapo nje mie what zawadi??????????????

Nilitoka nje sikuelewa nikamuuliza mbona sijaona kitu????????

Devid akanipa mkononi ufunguo na kuniambia hiyo gari hapo mpya niyako khee????????unanitania Boss David ????????

Akasema hapana Natasha mimi sio mtu wa matani naonaga unavopata shida ya usafiri kila siku nikaona si mbaya kutoa zawadi ya gari kwa ajili yako..

Nilibaki ninashangaa gari mungu wangu huyu devid hivi ni kweli????????

Nikamwambia sipendi utani wako ujue bwana????

David akaniambia sijawahi kukutania tangu jana nimekuambia nimependa unavyozani nilikuwa natania aliongea taratibu bibi asisikie????????

Na hatahivyo nilikuahidi ninazawadi yako kwakunitunuku mimi zawadi ya jana hivyo hii ndio zawadi yako Natasha ????

Nilifurahi kimoyo moyo ila sikumuonyesha nikamwambia asante kisha nilichukuwa funguo nikaingia ndani ??????????????

Devid akaniuliza vipi hukuipenda

Nikamwambia asante nimeipenda ????????????

Bibi alishangaa nakuuliza hiigari ni ya Natasha wangu?????????

Devid alijibu ndio bibi ????????

Bibi alifurahi sana na kuomba aingie ndani ya gari nyieee huy bibi yangu nae????????????

Nilimfungulia bibi akaingia alifurahia mnoo na kusema sasa mjukuu wangu tunagari ??????

Nilimwitikia ndio bibiangu ??????

Devid alitukumbatia mimi na bibi?????? alininong'oneza sikioni akaniambia kiukweli nazidi tu kkpenda??????

Hahahaa nyieeee????????????????itabidi tu namimi nianze kumpenda chibaba au mnaonaje????????

Itaendeleaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100.

Za hivi punde ni za 🔥🔥🔥 | Sema Jambo
Your settings were saved successfully!
Something went wrong!
You're not logged in
Click here to login and post your story

Welcome gonga94 Continue reading the various stories available here. Click here. Are you an artist then create an account here Signup/Login


mjukuu rewards 100
 

NITAKUPA USINIROGE (1)

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 19

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 18

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 17

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 16

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 42

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 41

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 40

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 39

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 38

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 37

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 36

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 35.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 34

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 33.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 32

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 31

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 30

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 29

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 28

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 27

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 26

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 25

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 24

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 23.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 22

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 21

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 20

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 19.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 18

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 17.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 16

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 15.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 14

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 13.

majario rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 12

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 11.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 10

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 09

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 08

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 07.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 06

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 05.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 04.

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 03

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 02

mjukuu rewards 0
 

PENZI LA MHALIFU 01.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 22.

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA **** 3--4

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 15

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 14

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 04

mjukuu rewards 0
 

NASEMA KWA MAMA* 1-----2

mjukuu rewards 0
 

KIJIJI CHA WAGENI! 04

mjukuu rewards 0
 

MKE WA MGANGA ( 1——5 )

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 13

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 21.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 20.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 19.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 18.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 17.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 16.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 15.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 14.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 13.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 12.

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 11

mjukuu rewards 0
 

WIFI KHAA 02 #Tulipoishia

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 10

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 09

mjukuu rewards 0
 

*MY CHUNUN* 01

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: 09

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 08

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 07

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 06

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP 05

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 4

mjukuu rewards 0
 

SHANGATISA EP: 3

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA EP: {02}

mjukuu rewards 0
 

SHANGA TISA. EP: 1

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 08

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (06 & 07)

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 05

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 04

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 03

mjukuu rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU (01& 02)

mrindia rewards 0
 

RUNGU LA KIPOFU 01

mjukuu rewards 0
 

MTOTO WA GETI KALI 1 - 6

mjukuu rewards 0
 

MIMI SIO KICHAA

mrindia rewards 0
 

SITOMWACHA HATA IWEJE

mjukuu rewards 0
 

BINTI MCHAWI

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest