🍓🍓🍓Aliongea mke wa boss wangu akiwa na mdogo wake na wote wakiwa wamepiga magoti huku wakilia Ili niwasikilize shida Yao ila wapi mkazo ulizidi kuwa sihitaji kuishi hapo na waarabu hawa walikuwa wekundu Kwa kulia
Zaujat....Juma Embu sema nn haswa kinakufanya utake kuondoka hapa nyumbani? Na kuhusu mtoto unataka afe Kwa kilio?
Taujat....Dada mm mimemwambia Niko tayari kufanya chochote Ili asiondoke ila hataki mm nifanyeje jamani eeeeeh baba sema nn wataka?
💋💋💋Niliwaza niwatamkie kweli ama Bado nikaze Ili aingie mtegoni na nikija ongea shida yangu asinikatalie
Juma....ukweli naitaji kwenda kwetu kijijini na nitakuwa huko mwezi mmoja tu hivyo kama mnaniitaji nikirudi sawa mnipe kazi
Taujat.....Sasa mwanangu nitaishinae vipi Juma na ningeweza kwenda kwenu huo mwezi mmoja ila kazini pia itakuwaje ,sawa basi nakuongezea laki 2 na nusu kwenye huo mshahara wako WA laki nne hapo vp?
Juma....tajiri hapa shida sio Hela shida ni kwenda nyumbani tu basi nimemaliza?
😭😭😭😭Hapo nikageuka na kuwapa mgongo kimoyo moyo nacheka Kwani hakuna Cha safari Wala nn, Zaujat alikuja na kunilalia mgongoni huku akiendelea kulia
Zaujat....Juma nakuomba msaidie mdogo wangu usiondoke tunakuombaaa
Juma .....boss naenda nyumbani fullstop
🌹🌹🌹 Zaujat aliniachia na kukaa chini huku akishika kichwa ishara ya kuwa amechoshwa na majibu yangu na nikafungua mlango na kutoka nje nafika getini Kwa mlinzi nasikia sauti ya kilio na kilio kile kilinishitua sana na kiliniumiza ila nilijikaza Kwani naitaji jambo langu liwe jepesi wakati WA kushughulikiwa
Mlinzi.....Jumaaa,Jumaaa Leo kunann mbona Kwa Hali hiyo na unamsikia anaelia lakini?
Juma....ndio naisikia ila achana nayo nifungulie mm natoka kidogo
Mlinzi..... Duuuh Leo wamekuvuruga kweli kweli mpaka kuwa hivyo hayaaaa
🍓🍓🍓🍓Nafika mtaa WA kwanza kwenda kushika Barabara kuu mara gari inafunga breki miguuni na akashuka Taujat Kwa haraka na kufunga.