Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
30 Nov -0001
59 views
VYOTE NDANI GONGA94
""NAPANUA" UMRI๐น ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU๐น03
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
""NAPANUA"
MTUNZI ๐นDr(Dkt) Kangaroo Nyumbu
UMRI๐น ZAIDI YA MIAKA 18
SEHEMU๐น03
๐๐๐๐nikashika kitasa Cha mlango na kufungua,nashusha mguu WA pili akanishika shati bila ya kuongea kitu na akawa ni kama kunakitu anajifikilia huku akiguna na kutikisa kichwa ishara ya kukataa na akaniangalia Kwa huzuni machozi yakimtoka akavuta pumzi Kisha akaniachia akashika stelingi na kulala hapo na kilio juu,sikujali nilifunga mlango na kuondoka japo sikujua wapi naenda,nilitembea Kwa madaha nikijua atanifuata tu ila wapi mpaka napotelea hakuna maajabu akilini nikawa najisemea"ni Bora nimeondoka ila sio Kwa mtihani ule,kidogo nibakeee wangeniekewa Hawa na hivi waarabu Wana roho ngumu SI wangenigawanya Kila kiungo na sehemu yake?,naishi nao ila Kila mara wamejisitili nisiwaone maungo Yao,waaaachaaaa niondoke ila moyo mwingine ukawa unasema sio Fair",ngoja nikapate kitu Cha kuamsha tumbo yaaani mpaka njaaa naelekea Kwa mama kibibi ambae miezi Tisa iliopita nilikula hapa makoko ya wali nilipokuwa Naingia mjini Dar na kuibiwa Kila kitu ubungo na mama huyu alinipa chakula Bure japo hayo makoko yalikuwa na order tayari na mwizi wangu namkumbuka vizuri sana alifanana na mbosso Kwani Yy ndio siku hiyo alikuwa akiigiza mambo ya kumtapeli mboto na mm ndio ilikuwa siku yangu ya kwanza kumuona mbosso,alipopita huku na mzigo wa mboto na mm yule jamaa akapita huku na mzigo wangu ambao niliweka Kila kitu mle,namalizia Cheka kipande kile walichokuwa wakishuti nalia Kwa kulizwa na nilitembea ubungo mpaka buguruni kariakoo ambako nilionana na mama kibibi
Juma.....bi mkubwaaa hodi hapaaaa!!
๐๐๐๐Aliitikia ila uitikiaji wake ulikuwa na shida ndani yake
Mama k......karibu,,,,,,,,haaaaaa nani vileeeee?
Juma......juma
Mama k.....ndio juma za masiku mwanangu ?
Juma....ni njema kabisa vp ww naona kama hauko sawa?
Mama k....aaaaah najisikia kama naumwa hivi ila Haina jinsi inanibidi kupambana Kwa Leo ninaoda ya muhimu sana na kama isingekuwa hivyo ningelala nimechoka mwanangu
Juma.....
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 59
Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo,...
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtot...
*AFANDE MILLAN๐* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafut...
48 MWISHOOO ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa n...
41 MPAKA 42 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
""NAPANUA" UMRI๐น ZAIDI YA MIAKA 18 SEHEMU๐น03
""NAPANUA"
MTUNZI ๐นDr(Dkt) Kangaroo Nyumbu
UMRI๐น ZAIDI YA MIAKA 18
SEHEMU๐น03
๐๐๐๐nikashika kitasa Cha mlango na kufungua,nashusha mguu WA pili akanishika shati bila ya kuongea kitu na akawa ni kama kunakitu anajifikilia huku akiguna na kutikisa kichwa ishara ya kukataa na akaniangalia Kwa huzuni machozi yakimtoka akavuta pumzi Kisha akaniachia akashika stelingi na kulala hapo na kilio juu,sikujali nilifunga mlango na kuondoka japo sikujua wapi naenda,nilitembea Kwa madaha nikijua atanifuata tu ila wapi mpaka napotelea hakuna maajabu akilini nikawa najisemea"ni Bora nimeondoka ila sio Kwa mtihani ule,kidogo nibakeee wangeniekewa Hawa na hivi waarabu Wana roho ngumu SI wangenigawanya Kila kiungo na sehemu...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/napanua-umri-zaidi-ya-miaka-18-sehemu-03
Maoni