Jamaa2....hii balaa yaaani nikitamu sana
Jamaa1....unaweza ombea ujinga kuwa ni Bora Kila siku awe anaumwa Ili apike chakuka kama hiki,,,,,niongeze sahani nyingine kama hiki ila dagaa wazidi
💘💘💘💘Nilipiga kazi na wateja walikuwa na furaha sana huku wakiahidi kesho watawahi mapema kabla hakija Isha,nikiwa nimemaliza kuuza na malizia kuosha sufulia la ugari mara aliingia mwanafunzi
Mwanafunzi....habari kaka!!
Juma...ni njema
Mwanafunzi....mama mama !!,samahani mama Yuko wapi?
Juma....eeeeeh ww ndio nani?
Mwanafunzi.... Carolina ama caro
Juma ....sawa caro mama yako Yuko hospital kwani alipandisha homa sana na hapa nilikuwa namalizia kuosha sufulia Ili nimpelekee chakula
Caro....Mungu Wanguuuu mama yanguu hospital Gani hiyo?
Juma....hiyo ya kanisa jirani na njia panda
😭😭😭🌼Alitupa bag lake huku hisia za kulia zikimtawala haraka akageuka na kuondoka na mm niliamua kumfuata kwani nilijua anaenda huko,nikiwa na chakula ghafla moyo ukalipuka baada ya kuangalia simu na kukuta missed call kama zote kutoka Kwa Zaujat,Taujat na boy friend WA Taujat na sms kama zote na baadhi ya sms za Taujat "nimekubali utakavyo hata mwili wangu pia ili yaishe","niliapa siwezi kuwa na mahusiano na mtu mweusi ila Kwa ajili ya shida yanguu Niko tayari unifanye","jamani juma babaaa usinitese mm unajua ninavyoumiaaa","nisamehe Kwa kukukatalia kwenye gari ukitakacho ila jua mm sijawahi kuwa na mwanaume mwingine zaidi ya huyo unaemjua tangia usichana wangu hivyo niliogopa nisamehe kipnz "na sms za Zaujat"juma hapa Kwa shida ya ndugu yangu Niko tayari Kwa chochote hata Kwa mambo mengine ilihimradi tu iwe Siri Ili umsaidie","juma Niko tayari uwe mtu wa kwanza kuitoa bikr* yangu kama utarudi nyumbani","ni kweli sms Zangu hazifiki mbona kimya ama na mm umenikasirikiaa?","samahani Kwa hiki nitakacho kisema juma mm nakupenda sana Rudi usinifanyie hivyo" na sms ya boy friend wake Taujat"ooooyiiii.