na sms ya boy friend wake Taujat"ooooyiiii broo niaje mbona ghafla sana kuondoka home embu tuongee basi kama wanaume shida ni nn?","SEMA uko wapi nije tuzungumze broo kama ni mambo ya mshahara usihofu naongeza ila sio kimya kimya" na sms nyingine nyingi ila sikujibu yoyote Ile na rudia simu mfukoni hospital hiyo mbele yangu
🌼🌼🌼🌼Nikaingia na kumkuta mama kibibi na caro wanazungumza japo mama k Bado anadrip mkononi
Mama k....juma akhsante sana Kwa kunihudumia mpaka hapa!,
Juma...Haina shida Wala sio kitu Kwani ww ndio wakushukuriwa!
Mama k....hapana unaitaji hiyo shukrani alafu nimepokea Salam zako
😄😄😄😄Hapo nilishituka ni nani anaenijua mm
Juma...kutoka wapi?
Mama k....wateja na wamesifia sana chakula Cha Leo sijui umewawekea nn?
Juma....hahahaha hamna kitu mama
Mama k....hapo kwenye mama Sasa na wao uliwatsmbukisha kama ww ni mwanangu WA kumzaa ni kweli?
Juma....ndio Ili mashwali yasiwe mengi na pesa zako hizi hapa
Mama k...umepata shilling ngapi?
Juma....laki na elfu Tisa
🫐🫐🫐🫐Mama k na caro wote wakaguna Kwa mshangao huku nisijui wakimaanisha nn
Caro....laki na elfu Tisa?
Juma....ndio
Caro.....yaaani hatujawahi uza hivyo na siku tukiuza sanaaa ni shilling elfu 90
Mama k....ulifanyaje Kwani ama ulipika Tena?
Juma...hapana,,,,haya kula kwanza
Mama k.... akhsante Kwa Kila kitu juma ila Sasa hapa Kuna shida
Juma....shida Gani?
Mama k....mm kurudi nyumbani haiwezekani usiku huu na kesho ndio natoka naomba Leo ukalale kwangu Ili usimamie Kila kitu Kwani Kuna wezi sana kwetu na huyu caro akilala ni kama amekufa wasije wakaiba na hivi wengine wanajua nimelazwa wanaweza tumia fursa hiyo
🍓🍓🍓🍓Nilikaa kimya bila kujibu kitu Kwani sikutalajia hayo
Juma....Sasa mama daaah mimiiiii
Caro....kaka tusaidie ukalale kwetu
Mama k....nisaidie mwanangu
Juma...Sawa ila kesho naondoka ukirudi niendelee na safari zangu?
Mama k.... akhsante,,,,,alafu.