????NASEMA KWA MAMA
SEHEMU YA 26, 27,
Endeleanayo.....
*
" "" "" Mfungeni huyu dada kamba... Na huyu Frenk mumvue nguo mumbake kama mlivyo agizwa na Dayana....
Aliongea yule kaka na kugeuka ili aondoke...
Nilibaki natetemeka tu baada ya kusikia yale maneno...
Lidya hakuwa na dalili ya kutoa msaada hata kidogo..
"" "" "" Lakimi Huyu dada mrembo tu hana lolote. Tumuache ashuhudue vizuri hili tukio... Aliongea miongoni mwa walinzi walio agizwa kunibaka...
Niliendelea kutetemeka na kuangalia kila upande kuona kama nitapata msaada lakini haikuwa hivyo.
Lidya alinitazama na kunikonyeza huku anatabasamu. Mimi pia nilijikuta natabasam tu kinafiki ila moyoni nilikuwa nikiogopa sana...
Wale majamaa walianza kunivua nguo hadi nikabaki na boxer tu....
"" "" Mnaona ni sawa kumuingilia mwanaume mwenzenu.???
Kati yenu nyie wanne hakuna mwenye hofu ya Mungu.????
Wanaume wazima na misuli yenu mnakuwa vibaraka wa mwanaume mwenzenu.. Tena mwanaume anae watuma hata hana mwili...
Kwanini ndugu zangu mnakuwa na Fikra finyu kiasi hiki.???..
Haya mumvalishe nguo zote mlizo mvua huyo kaka.... Muharakishe kumvalisha sitaki kuumiza mtu au kuua mtu, sijaamka vibaya leo, kwahiyo msitake siku yangu iende vibaya...
Aliongea Lidya kwa kujiamini sana huku anaangalia kila pande za kile chumba.
Wale majamaa walikuwa kimya kwa muda wakimtazama Lidya bila kummaliza....
"" "" Oya Mr Mbaga, hembu Hakikisha huyo dada haongei tena upuuzi kama huo.. Aliongea kaka mmoja akimwelekeza mwenzie...
Waliendelea kunivua hadi nikabaki uchi wa mnyama..
Mmoja alienda hadi usawa alipo Lidya na kumtazama usoni kisha kumtemea mate..
Lidya aliinua mkono wake na kujifuta,
"" "" Dada kuwa na nidhamu.. Unatuite sisi vibaraka.. Nitakuua Mbwa wewe, hembu kaa hapo chini unainuka kwenda wapi...
Aliongea yule kaka wakati huo Lidya alikuwa anainuka pale alipokaa....
Lidya hakumsikiliza yule jamaa.. Lidya alimsukuma yule kaka nyuma kisha kuinuka...
"" "" Nimewaambia mumvalishe huyo jamaa nguo zake.... Hamuelewi eti....
Aliongea lidya na kunisogelea..
Nilikuwa uchi wa mnyama hadi nilikuwa naona aibu..
Wale wakaka walitazamana na kumfuata Lidya kwa pamoja... Mmoja aliinua mkono wake na kumpiga lidya ngumi zito usoni....
Lidya aliinama na kugeukia upande wa pili, nadhani alikuwa akiisikilizia ile ngumi kwasababu ilikuwaa nzito sana....
Lidya aliinuka akiwa amekunja sana sura na kuwasogelea wale wakaka..
Kaka mmoja alirusha ngumi lakini alishikwa mkono, alishangaa anakunjwa mkono pamoja na ubaunsa wote lakini alizidiwa nguvu na binti mwenye mwili mdogo tu..
Lidya alirusha ngumi na kumpiga yule jamaa kwapani..
Jamaaa alirudi nyuma huku anaugulia maumivu, mwingine alienda kwa spidi lakini alizuiliwa kwa teke zito shingoni iliyomsindikiza hadi ukutani... Alijigonga kichwa ukutani na kupasuka. Damu zilianza kusamba karibu chumba kizima....
Wale majamaa ndio wajmkaona yule binti yupo siriazi na huenda anao uwezo...
Lidya alisogea mlangoni na kufunga kabisa mlango kwa funguo kisha kuweka funguo mfukoni kwake..
Wale majamaa baada ya kuona vile walianza kurudi nyuma kwa hofu huku yule aliepigwa ngumi la kwapa akiwa bado anaugulia maumivu kwenye pembe ya ukuta...
"" "" " Nimewaambia leo nimeamka vizuri sitaki matatizo nanyi.. Naomba mumvalishe nguo mlizo mvua huyo jamaa.. Sitaki kuumiza mtu aisee....
Alioanaagea lidya kwa kujiamini zaidi huku anawasogelea wale wawili ambao hakuwagusa kabisa kwa mkono wake.. ..
" "" "Nadhani mlitaka kunijua na mmenijua kwa kiasi fulani.. Au mnataka kunijua zaidi ya hapa.??? Maana mkinijua kabisa wote mtakuwa Jehanamu.. Aliendelea kuongea lidya....
Yule kaka aliepigwa ngumi ya kwapani aliinuka na kumtazama mwenzie aliekufa pembeni yake.....
Alishtuka sana na kuwahi kuja kuishika boxer yangu na kuanza kunivalisha..
Wenzao pia walikuja na kunivalisha nguo zangu zote hadi viatu...
"" "" "Tunaombeni Msamaha jamani.... Aliongea mmoja wa wale walinzi..
ENDELEEA......
" "" "Anakaa wapi Boss wenu?????
Lidya aliuliza....
" "" "" Ukitoka hapo mlangoni kata upande wa kulia kisha kata kulia tena utakuta mlango umeandikwa "R" ingia hapo utamkuta..
Aliongea mlinzi mmoja.
Lidya alienda karibu na yule alieumia kwapa na kumuongezea ngumi jingine mgongoni,
Yule kaka alijikunja zaidi na kupiga magoti huku anasikilizia maumivu....
Lidya aliinama na kuchovya mkono wake kwenye damu iliyokuwa imesambaa pale chini na kumpaka yule kaka aliempiga ngumi mgongoni..
Alimpaka pia kwenye baadhi ya sehemu za shati ya yule jamaa na kwenye suruali...
Baada ya hapo lidya alienda kufungua mlango na kuwataka wale ambao hakuwapiga waondoke mule ndani....
"" "" "" Mkitoka hapa sitaki hata muangalie nyuma.. Nataka mpige hatua kimya kimya hadi makwenu..
******
Kwa hofu niligeuka na kutazama upande wa yule kaka aliepasuka kichwa.. Bado nilikuwa naogopa sana kwasababu ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona maiti hasa ikiwa kwenye hali kama ile..
Wale wakaka wawili walitoka na kuondoka zao..
Yule aliepakwa damu alibaki bado anaugulia maumivu...
Lidya alimsogelea na kumshika ili ainuke...
Yule kaka aliinuka kwa uchovu sana na kuanza kutembezwa na Lidya ili atupeleke kwenye Ofisi ya bosi wake..
Tulitembea kama hatua kumi hivi hadi kufika kwenye ofisi ya bos wao..
Lidya alisukuma mlango na kumtanguliza yule kaka aliekuwa amepakwa damu uso mzima....
"" "" "" Mamaaaaa mamaaaaaa..
Zilisikika sauti kama mbili za kike mule ndani...
Tulifuati sisi pia mimi na Lidya tukaingia ndani....
Tulikuta mabinti wawili wapo uchi wamejibana kwenye ukuta wanatetemeka baada ya kuona mtu kaingi akiwa na damu mwili mzima.....
Boss wao pia aliinuka na kututazama.. Alikuwa uchi pia....
"" "" "Aaaahhhhh,,, Pumbagu sana. Wametoka vipi huko ndani hawa wapumbavu. Mbona mnaniletea matatizo..
Aliongea yule boss wao huku anatutazama..
" "" "" Wewe Frenk unajikuta shujaa sana. Aliekwambia uwapige walinzi wangu ni nani.??
Aliendelea kuuliza boss..
Sikumjibu chochote zaidi ya kugeuka na kumtazama Lidya....
**********
"" "" "Razac, habari yako. Kama Frenk alivyoshtuka umemjulia wapi jina lake... Naamini na wewe unashaanga sana nimekujua vipi.....
Sikujua kama wewe ndio upo kwenye mkanda mzima wa binti wa Dokta Moureen..
Unamdanganya mtoto wa watu eti mumuibie mama yake kwa kumdanganya kwa picha za kipumbavu mlizotega Lodge..
Unayo makosa mawili ya kujielezea, moja ni kumrubuni binti kuacha chuo na jingine ni kujaribu zoezi la utapeli...
Mbali na hayo unazo kesi saba za Madawa ya kulevya..
Ni miongoni mwa "" "Most wantend people" "" watu wanao tafutwa sana..
Kuanzia sasa upo chini ya ulinzi...
Naomba usogee huku mbele ukiwa uchi hivyo hivyoo...
ALIONGEA LIDYA HUKU ANAMTAZAMA YUPE KAKA KWA UMAKINI..
YULE KAKA ALIKUWA KIMYA AKIMTAZAMA TU LIDYA BILA KUMMALIZA...
"" "" Kumbe wewe ni mpelelezi.. Aliuliza Razac...
"" "" Nadhani nitakuwa mpelelezi.. Haya mashtaka yako utaenda kuyajibia Dar es Salam.....
Lidya alijisachi na kutoa sim yake mfukoni na kuandika ujumbe, sikujua anautuma wapi..
Alimaliza na kurudisha simu mfukoni...
Tuliendelea kutazamana bila kuongea chochote....
Wale mabinti waliokuwa uchi walirushiwa nguo zao na kuvaa,,
Razac pia alipewa zake akavaa kinyonge sana...
Lidya alikuwa kimya akiwa anajiamini sana.. Hakuwa na hata silaha mkononi lakini hakuwa na tatizo lolote..
Baada ya muda tulisikia brek za magari njee..
ENDELEA..