Ripota: Haunizingatii au kunitazama labda kwa sababu ya mavazi yangu hayakufurahishi!?
Shenawy: Siwezi kukuambia uvae nguo ndefu au ujisitiri vipi lakini maamrisho ya kiimani yananitaka kutoendelea kutazama ikiwa sio vyema! Nimefumba macho na nitakujibu kwa sababu nasikia unachokisema.
๐ Sheno hategekiโ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni