Nililala hatimae asubuhi kulikucha nikaenda chumbani kwa Natalia kumtizama nilikuta ndio anaandaliwa chakula
Ale ndio aogeshwe kisha tuondoke zetu kazini
Niliondoka nikawacha na dada yake nikaenda mezani kupata breakfast na wanafamilia
Tulipata kifungua kinywa kwa pamoja kisha tulitawanyika
Kila mmoja kwenye majukumu yake nami Natalia alikuwa tayari tukaingia kwenye gari yetu na kuondoka
Hadi hotelini kisha niliwaacha Natalia na dada mlezi wake nikachomoka kidogo
Nilienda kwenye nyumba yangu niliyo pewa zawadi na mzee devi
Nikaifungua na kuikagua kisha nilimpigia sim mama nikaongea nae
Kisha nikaipiga picha hiyo nyumba na baada ya hapo nikamwambia mama nakuja huko huko unishauri
Nikaludi hotelini nikamalizia majukumu yangu ya hapo na muda ulipofika nililudi nyumbani na mtoto na mlezi wake
Tulifika nyumbani nikamwambia dada kwakuwa Natalia alisha oga hotelini hivyo mlishe tuu na baada ya hapo mbembeleze alale sawa
Dada aliitikia sawa haina shida mama
Nikaenda na mimi kuoga kisha nikabadili nguo Tony naye aliludi akaoga na baada ya hapo alivaa nguo nakisha alinikumbatia kwa mahaba
Nikamwambia Tony nataka niende kigoma kwa nyumbani nikawasalimie
Hakika nimewamiss sana napia wakamuone mtoto wetu je unaonaje
Tony alikubali ukweli kabisa itapendeza wewe nenda ninge kusindikiza ila ninakazi nyingi
Na ofisi yako jee au usijali atakuwa baba anaikagua haina shida huyo ndio anauziefu na biashara za hotel
Nilifurahi kusikia hivyo nijiandae nitaenda na gari binafsi tuu
Tony alimkubalia sawa tuu haina shida pia ninzuri kwaajili ya Natalia
Nilimuitikia kweli
Kisha tulienda kupata chajioni tukiwa pamoja
Baada ya hapo tuliludi vyumbani kupumzika nikiwa chumbani nilimwambia pia na mzee devi
Alinikubalia na kuniambia ukawanunulie zawadi nyingi sana
Nilimuitikia sawa watafura mnoo
Mumewangu nae sikuhiyo alitaka mzigo sikuweza kumnyima japo anipi changa moto
Endelea kufuatilia...........
KWETU morogoro.