Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
01 Jan 2026
37 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Hatimaye muda wa maandalizi ya harusi umefika walitoka kwenda kutafuta shera ya harusi mapambo nakila kitu na yeye aliandaa kwa upande wake suti na viatu
Hivyo walifuatilia ukumbi
Siku ya harusi ukumbi ulikuwa mkubwa pia watu waliokuja walikuwa weengi biharusi alipelekwa saruni kupambwa akiwa na msindikizaji wake walipambwa vizuri sana bwanaharusi pia alikuwa saruni ya wanaume
Wakati biaharusi anachukuliwa apelekwe kanisani alichukuliwa nakupelekwa kwengine alienda kukutana na Fred bila hidhini yake aliuliza kwanini dereva umefanya hivi deleva alikaa kimya Fred alimfungulua mlango Vanessa na kumwambia njoo tufunge ndoa kipenzi changu kwani nilikuwa nakusubili muda sana
Vanessa alikasilika na kumwambia Fred sitaki haya maigizo yako niache niondoke unanipotezea muda nasubiliwa kanisani na padri
Fred alijibu haya sio maigizo na hapa kunapadri pia kwani Vanessa hinipendi kabisaa
Vanessa alimjibu sikupendi kimapenzi hakika nakuchukulia kama rafiki nakuomba Fred niache niwahi
Fred alimtazama Vanessa na kumwambia sawa sina budi nilizani unalazimishwa na Franco kumbe umempenda mwenyewe
Vanessa alijibu nikweli mwanzo alikuwa ananitaka alikuwa ananirazimisha lakini sasa nampenda yeye pekeake naomba nisamehe Fred mungu atakujalia utampata atakae kupenda naomba niende
Kwa upande wa kanisani Franco alisha fika watuwoote wapo pale walikuwa wanamsubili Vanessa tuu na wamepiga sim hazipatikani kupiga saruni wakaambiwa alishatoka hapo muda mrefu wanampigia dereva hapatikani watu walichanganyikiwa hatari wanamtafuta msindikizaji wa biaharusi naye sim haipatikani Franco alifikilia haraka haraka na kumpigia Fred bahati alimpata kisha akamuuliza Fred unafanya nini
Fred alijibu nipotuu kwanini unauliza
Franco alimuomba acha hicho unachotaka taka kufanya baba na mama woote wapo hapa nihatari utawasababishia presha
Alijibu Fred kuwa tayari nimeacha yupo njiani biaharusi anakuja
Franco alimwambia nashukulu mdogoangu
Fred alikata sim
Baada ya dakika chache biharusi huyuhapa watu walifurahi wakaingia ndani ya kanisa ibada yandoa iedeleee...........je harusi itafanikiwa tafadhali endelea kufuatilia story taamu
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
Hatimaye muda wa maandalizi ya harusi umefika walitoka kwenda kutafuta shera ya harusi mapambo nakila kitu na yeye aliandaa kwa upande wake suti na viatu
Hivyo walifuatilia ukumbi
Siku ya harusi ukumbi ulikuwa mkubwa pia watu waliokuja walikuwa weengi biharusi alipelekwa saruni kupambwa akiwa na msindikizaji wake walipambwa vizuri sana bwanaharusi pia alikuwa saruni ya wanaume
Wakati biaharusi anachukuliwa apelekwe kanisani alichukuliwa nakupelekwa kwengine alienda kukutana na Fred bila hidhini yake aliuliza kwanini dereva umefanya hivi deleva alikaa kimya Fred alimfungulua mlango Vanessa na kumwambia njoo tufunge ndoa kipenzi changu kwani nilikuwa nakusubili muda sana
Vanessa alikasilika na kumwambia Fred...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-19