Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
01 Jan 2026
63 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 17.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Walimtafuta sana bila mafanikio mama wakati amekaa sebureni kachoka siku yatatu mdada wakazi alikuja na barua nimeiokota chimbani kwa dada Vanessa mama aliichukua na kuisoma ilikuwa imeandikwa niacheni nahitaji kuwa pekeangu kwa muda msihofu mama nababa mwambieni na Franco nipo dubai kwamuda nitaludi
Walipata nafuu wakaendelea namajukumu yao wiki ilikatika ikiwa hawajamuona baada ya wiki mbili ndio Vanessa aliludi sikuhiyo apofika tu uwanja wa ndege alitoa simu nakumpigia Franco aje kumpokea Franco alichukua gari haraka nakuenda alipofika alimkimbilia na kumkubatia kwanguvu sana akamwambia Franco mfalme wangu siwezi kukaa mbali nawewe hakika umenionyesha sayari mpya sijawahi kuiishi tangu nimeingia sitaki kutoka naomba kuzikwa hapa hapa kwa vyovyote nakupenda wewetuu pekeako Franco alimwambia nakupenda pia kisha alimchukuwa na kumpeleka kwenyegari kumludisha nyumbani walifika na kushuka kisha waliingia ndani waliwakuta wazazi baba na mama yake wote wapo sebreni
Aliingia nakupiga goti mpaka kwa baba nisamehe baba niliacha barua na hamkuiona mimi ndio mwenye makosa baba kisha alienda na kwa mama ila wote walimwambia hunakosa kwani sisi ndio hatukuzingatia nini unapitia haya yameisha aliwakumbatia na kisha akasema asanteni sana na naomba leo niwatambilishe kuwa nipo kwenye mahusiani na Franco baba na tayari kanitambulisha kwao tunaenda kuvalishana pete tuu naombeni ridhaa kwenu
Baba alifurahi sana kwani Franco nikijana anamjua hivyo alimwambia naomba Franco uongeze umakini zaidi kwasababu tayari unaendakuwa mwanafamilia nakingine umtizame kwa makini na sitaki alie lie nimtoto mpendwa sana wababa na mama
Franco aliahidi atakuwa makini kwa kilakitu hivyo was hofu kuhusu Vanessa yupo sehem sarama
Mama akaongea nakuamini sana Franco huwezi kuniangusha sio
Franco alimjibu mama siwezi kuwa na amani mama
Kisha waliandaa chakula navinywaji wali enjoy sana alikuwa na pete akaitoa kisha kumvisha Vanessa alifurahi walifurahi wote baada ya hapo siku zilipita wakapanga waandae haruri ya Franco na Vanessa........je itakuwaje halisi itafanikiwa unatamanikujua tsfadhari endelea kufuatlia simulizi hii
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
Walimtafuta sana bila mafanikio mama wakati amekaa sebureni kachoka siku yatatu mdada wakazi alikuja na barua nimeiokota chimbani kwa dada Vanessa mama aliichukua na kuisoma ilikuwa imeandikwa niacheni nahitaji kuwa pekeangu kwa muda msihofu mama nababa mwambieni na Franco nipo dubai kwamuda nitaludi
Walipata nafuu wakaendelea namajukumu yao wiki ilikatika ikiwa hawajamuona baada ya wiki mbili ndio Vanessa aliludi sikuhiyo apofika tu uwanja wa ndege alitoa simu nakumpigia Franco aje kumpokea Franco alichukua gari haraka nakuenda alipofika alimkimbilia na kumkubatia kwanguvu sana akamwambia Franco mfalme wangu siwezi kukaa mbali nawewe hakika umenionyesha sayari mpya sijawahi kuiishi tangu nimeingia sitaki...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-17