kwani alishtuliwa sana na Franco kwani alikuwa anajua Franco atafanya chochote kumvurugia kwa mpenziwake watuwoote waligeuka na kumtizama Vanessa kwani walimuona kama kuchanganyikiwa aliona ainuke na kutoka nje akaita ubar chapu chapu wakatihuo Fred aliona amfuate na alipofika akamkuta ndio anaingia kwenye ubar akamuuliza vipi Vanessa alijibu najisikia vibaya wacha niende nikapumzike nyumbani kwetu kisha alimwamulu dereva twende Fred alimwambia nitakuja baadae, kisha Fred aliludi kwenye meza akawaambia hayupo sawa anajisikia vibaya huenda nihoma
Franco akajibu uwenda itakuwa
Kisha Erica akamwambia endelea kaka natamani kumjua wifiangu maana ninawifi mmoja nataka nimjue na huyo
Franco akamjibu tulia utamjuatuu siku sio nyingi nakisha aliinuka na kuondoka chumbani alipokuwa chumbani alinyanyua sim na kupiga
Kisha aliongea nipo njiani nakuja na baada ya hapo alikata sim
Franco alitoka nakuelekea kwa kina Vanessa alipofika alifunguliwa geti akaingiza gariyake aina ya haliya alishika kwenyegari akakaribishwa na mfanyakazi wa kina Vanessa kisha akaingia ndani akakutana na mamayake na Vanessa na kuomba kuzungumza nae akakaanaye na kuongea naye baada ya hapo alimpa mkono na kufurahi wote sijui walizungumza kitugani Franco akatoka na kupanda gari na kuondoka
Baada ya siku tatu Vanessa alienda kutembea zanzibar alifikia hotelini nikaribu na bahari aliona hayupo sawa kwa mudahuo usiku ulipofika akiwa hotelini alikuwa anaenda kupata chakula cha jioni alipofika alienda kuchukua chakula nakisha kukaa mezani aanze kula wakati anataka kuanza kula alikuja mtu akamletea maji yakunywa na yeye alikuwa na chakula chake akaweka pale mezamoja na Vanessa
Vanessa alishangaa kumtizama alikuwa Franco
Vanessa akakasirika na kumuuliza hivi unataka nini kwangu Franco
Franco akamjibu sio kingine niwewe uwe wangu pekeangu hivyo
Vanessa sasa mbona umechelewa unajua hilo haliwezekani tena kwako
Franco akajibu hakuna kisichowezekana hata kama ungekuwa na kiongozi yeyote ningefanya juu chini mpaka ningekuchukuwa
Vanessa akamwambia sasa vipi kama mimi mwenyewe sikutaki
Franco akamwambia hauwezi kunikataa mimi kwakuwa ninakupenda utanipenda tuu
Vanessa aliamua kuinuka na kutoka aelekee chumbani kwake
Franco akamshika mkono nakumwambia unakosea huwezi kwenda chumbani bila kula utakuwa unakikosea chakula
Vanessa akasema vipi kama tayari nimesha shiba
Franco akamwambia huwezi kuweka chakula mezani kisha ukashiba sio rahisi
Vanessa akamwambia tangu umefika tu hapa nimesha shiba chakula hichi hivyo huna budi kuniacha
Franco akamwambia basi naenda nawewe ili uone chumba changu pia nione nachako
Vanessa alikasilika akamwambia unajua Franco unaninyima raha mpaka naanza kujiuliza nimekutana namtu wa ainagani maishani kwangu kwani sijui upoje na nilisahau nani kakuambia nipo hapa
Franco akamjibu kwaku tabasamu usihofu kuhusu kujakwangu mimi na usiwe na shaka mimi sio mtu mbaya mpaka ujute kunifahamu alimuomba akae ale chakula kwanza mambo mengine asiogope
Vanessa aliona ngoja nile kwanini nisusie chakula changu kwaajili ya huyu
Alikaa na kula chakula kisha alitoka akaelekea chumbani kwake
Baada ya dakika chache Franco alimtumia msg anaomba wazungumze kidogo
Vanessa alitoka na kwenda kumsikiliza haya sema lakini nikuambie kuwa siwezi kuwa nawewe nampenda sana Fred....je anamazunguzo gani Franco endelea kufuatilia.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni