Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
31 Dec 2025
202 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 16.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Siku ya Franco kumtambulisha mpenzi wake ilifika na waliandaa chakula chajioni wakamkalibisha chaajabu walimuona Vanessa kaingia tena kwa mala yapili tena kwa ndugu wa Fred
Mama akamuuliza Vanessa vipi zasiku karibu tinamgoja mchumba wa Franco aje Franco mbona kachelewa hivyo binti
Franco akamjibu mama tayari aingia huyo hapo alie kalibu yako
Mama akamwambia acha matani yako anachelewa bwana
Franco akamwambia sio utani Vanessa ndio mchumba wangu na siku sionyingi namuoa
Mama na Erica woote walipigwa na butwaa kulikoni
Mama sasa inamaana wote wanangu mnampenda Vanessa pekee sio
Erica akaguna nakusema ndiomaana sikuile sasa naanza kuelewa kaka Franco wewe sio kabisa
Mama akaongea ndiomaana sikuhizi Fred kawa mlevi sana kumbe mawazo loooh wewe Vanessa huoni mwanangu unakosea sio mchezo mzuri wezio huwa hawachanganyi ndugu
Vanessa alibaki kimya mda na kupiga atua anataka kuondoka
Franco akamzuia na kumwambia mama mimi nampenda Vanessa na niwangu pekeangu sitaki kitu kingine
Basi mama alimkalibisha Vanessa nakumtakia hongera ila tayari umeingiza doa kwenyefamilia
Franco akamwamba mama ijemvua lije jua sikotayari kumkosa
Basi walikubaliwa kwa shingo upande walikula chakula chajioni hadi Erica alishindwa kumuelewa shogaake ila wataonge njni
Baada ya chakula Erica alimuita Vanessa nakumwambia mbona umefanya hivyo rafikiangu hayasasa nini hiki
Vanessa alimwambia ukijampata mpenzi wakweli utaelew hivyotuu kwasasa huwezi kunielewa naomba niende mama ananingoja basi alitika huko na kumuomba Franco ampeleke nyumbani alimpeleka handi kwao na Franco alimshukulu kwa ujasili aliouyesha kisha akamchumu na kuingia kwao kulala alienda chumbani alikaa na kuwaza akaona sjjui anafanya nini alienda kwenye kabati lake na kuchukuwa passport yake yakusafilia na nguo kiasi aliweka kwenye begi lamgongoni na kusha alitoka na kuiacha barua ndani akaelekea uwanja wandege na kusafili mbali bila kumuagamtu asubuhi ilipofika mama anaenda kumuamsha kimya kuingia ndani hayukomtu aliamua kumpigia Franco lakini Franco nae alistuka akasema nilimludisha usiku walimtafuta sana Vanessa mpaka walichoka ........je unavyodhani atakuwa kaenda wapi Vanessa na je ataludi kwa aibu anayoihisi unatamanikujua endelea kifuatilia
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐ฅ) EP 14.
Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa...
Siku ya Franco kumtambulisha mpenzi wake ilifika na waliandaa chakula chajioni wakamkalibisha chaajabu walimuona Vanessa kaingia tena kwa mala yapili tena kwa ndugu wa Fred
Mama akamuuliza Vanessa vipi zasiku karibu tinamgoja mchumba wa Franco aje Franco mbona kachelewa hivyo binti
Franco akamjibu mama tayari aingia huyo hapo alie kalibu yako
Mama akamwambia acha matani yako anachelewa bwana
Franco akamwambia sio utani Vanessa ndio mchumba wangu na siku sionyingi namuoa
Mama na Erica woote walipigwa na butwaa kulikoni
Mama sasa inamaana wote wanangu mnampenda Vanessa pekee sio
Erica akaguna nakusema ndiomaana sikuile sasa naanza kuelewa kaka Franco wewe sio kabisa
Mama akaongea ndiomaana...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-16
Maoni