NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
Walifirahi mnoo wazazi wa Vanessa sana walimpenda mnoo Franco walianza maandalizi ya harusi ya mrembo wao kwani furaha ya mtotowao ndio furaha kubwa sana kwao
Franco nae alikuwa nimwenye furaha sana aliwaambia nyumbani sikusionyingi naenda kufungandoa na Vanessa hivyo tujiandae
Mama pamoja na Erica walimwambia sawa tutafanya maandalizi waambie na wadogozako
Alimwambia mama hamna tatizo nitawaambia woote kuwa na amani
Aliwasubili walipotoka makazini kwao Fred na France aliomba kuzungumza nao waliitika na kumsikiliza
Franco alianza pamoja na kuwa nimekukosea Fred natumai utanisamehe kwa hili kwani tayari nimesha kosea hivyo wewe ninduguyangu utaendelea kuwa nduguyangu hata itokee nini
Fred alitulia akamwambi kwahiyo umeharibu tena sio
Franco alijibu hapana nilikuwa nimewaita nataka mnisapoti kwenye shuli yangu naenda kufunga ndoa na Vanessa
France hakuwa anajua kitu alionyesha kushangaa na kuuliza mbona Vanessa
Franco alijibu kuwa France kila kitu kimesha tokea ilikuwa bize mnoo
Hivyo naomba niseme Vanessa niwangu kwa sasa
Fred alichukizwa kwa hasila aliondoka kwa hiyo kauli akawaacha wameduaa
France akabaki kuguna nakisha akasema hakika mapenzi nimchezo hatari sana usipokuwa na rohongumu unaweza ukafa haya unaenda kufunga ndoa na kisha unamleta humu humu ndani hapana kaka utaleta tatizo fanya mpango ukatafute nyumba kwengine sawa maana Vanessa nimrembo hakika
Franco alimjibu sawa kwa ushauli nitahakikisha naendanae mbali na hapa nyumbani
France akasema msije namimi mkanitia kwenyehiyo zambi maana Vanessa anavutia kila mwanaume atakae muona sitaki kabisaa lawama uondoke nae mbali
Franco akakoroma kidogo wewe France unaongea nini kumbuka mimi nikakaenu nayule kuanzia sasa nishemejiyenu
France akajibu ilikuwa hivyo hivyo kwa kaka Fred ulifanya nini haya bwana nimeshakuelewa tutamuheshimu
Alipomaliza alitoka na kuingia kwenye gari kwenda zake kukutana na kipenzichake alipofika alimpigia sim na kumuita akaja kisha akamwambia twende wapileo nikutembezee uenjoy
Vanessa akamwambia twende zetu maeneo ya ufukweni tukacheze sawa
Walikubaliana walienda bich kucheza mchezo wakukimbia na kucheza mpira kwa kimahaba walikuwa niwenyefuraha sana walipomaliza wakatoka na kwenda kwenyegari kisha waliondoka wakiwa njiani Franco alimuuliza binti mrembo huna njaa
Na Vanessa alijibu ninanjaa kalimnoo ukichelewa kufanya maamuzi nakumeza woote kimatani wakacheka na kufurahi Franco kama kawaida yake alimpeleka sehemu na kupata chakula chajioni wakiwa wanafurahi kisha walizungjmzia swala lao la ndoa na baada ya hapo walianza kunywa mvinyo walikunywa Vanessa akasema inatosha kipenzi tuondoke
Walienda kwenyegari iliwaondoke walifika kwenye geti la kina Vanessa wakaanza kukiss romance na kutomasana mwisho hisia ziliwazidi Vanessa alimuomba twende hotel hapa siwezi kuenjoy Franco aligeuza gari walienda hotelini walikuwa na shauku kubwa Franco alishuka kambeba Vanessa mikononi hadi chumbani walipofika walikuwa kama simba kamuonya swala porini kwa mahaba waliokuwa nayo hakika walikuwa wanapendana kuliko Fred walifanya starehe zao mpaka walipomaliza Franco alimbeba Vanessa kama kawaida yake hakika Franco anamahaba sana alifanya yale yoote ambayo Fred hakuyafanya kwa Vanessa alimjali kwakila muda dakika sekunde alimpa furaha anayostahili hivyo alifanikiwa kuuteka kirahisi moyo wa mtoto wakike alikuwa anampenda sana
Walioga kwa mtindo wakuogeshana na baada ya hapo walifutana maji kisha walivalishana na kuondoka kwenda kwenye gari kwaajili ya kurudi nyumbani kwani muda ulikuwa umeenda ila haikuwa tatizo sana kwakuwa tayari anavibari vyoote vywa wazazi wa Vanessa alimludisha na kumuingiza ndani kwao kisha aliwasha gari kuelekea kwao nayeye alifika nyumbani akaingia ndani kulala........je harusi itafanikiwa Fred anawaza nini unataka kujua endelea kufuatilia simulizi taaaamu sana
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
