Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NI WANGU PEKEANGU epsd 20
Gonga94 ยท Stories

NI WANGU PEKEANGU epsd 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Waliingia maharusi kisha walifunga ndoa na kuelekea kupiga picha baada ya picha walienda ukumbini watu walifurahi sana harusi ilikuwa kubwa yenyekufana nakupendeza Franco na Vanessa walipendeza sana Vanessa alikuwa anadeka sana kwa Franco hakika na Franco pia alimdekeza kimahaba Vanessa
Harusi ilipoisha Franco alimchukuwa mkewe na kuenda nae hanimun zanziba walikaahuko siku saba na kisha waliludi nyumbani kwa kina Franco kwa muda wajiandae wakatafute nyumba yawao wawili walikuwa na mahaba pale ndani kanakwamba nimgeni huyo Vanessa alikuwa muda woote yupo begani mwa Franco hakutaka kuwapa nafasi watu wakae nae hivyo alimkip bize sana nakazini wanaenda wote walifanikiwa kupata nyumba na walihama nyumbani pale na kuhamia kwao walikuwa na furaha baada ya muda mchache Vanessa alikuwa mjamzito hakika mapenzi yaliongezeka kwa Franco alikuwa Vanessa akohoi Franco anamkimbilia mbio jamani nyinyi raha ya mapenzi umpate yule anayekupenda utajua mapenzi nimatamu au rah
Hakika wawili hawa jamani walipendana muda wa kukalibia kujifungua walienda Canada huko ndipo alipojifungulia Vanessa na mtoto wake alikuwa na ulaia wa nchi mbili kalikuwa kazuri sana kakiume familia ilikuwa yenyefuraha sana mamaake Vanessa na babaake Vanessa walifurahisana mtotowao alikuwa na furaha na muda ulipofika walikabiziwa ofisi ya baba kuwa ya Vanessa ashilikiane na Franco
Pia wazazi wa Franco walielewa mapenzi waliokuwa nayo Vanessa na Franco hivyo waliamua kuwapa radhi zao kumkubali Vanessa na tayari wamepata mjukuu
Fred alikuwa hana budi aliamua kuwaalika siku moja nyumbani akakaanao nakuongea nao kisha aliwaambia hana tena kinyongo nao hivyo wawena amani kisha alimbeba mtoto nakuwaomba naweza kutoka na mwanangu walimwambia wewetuu walicheka na kufurahi kwakweli ilikuwa familia yenyeupendo na yakubutia maana wanapenda sana kilasiku kama ndio wapenzi wapya hakika Franco nimwanaume mwenye haba zito hata mama wa Vanessa alifurahi sana kuona mwanae yuko nafuraha na mwanaume mwenye mapenzi walikuwa wanawavutia watuwoote Franco alikuwa anawaambia kuwa Vanessa niwake pekeake.......mwisho wa hadithi hiii ila ndio mwanzo wa hadithi nyingine endelea kututuatilia

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NI WANGU PEKEANGU epsd 20



Waliingia maharusi kisha walifunga ndoa na kuelekea kupiga picha baada ya picha walienda ukumbini watu walifurahi sana harusi ilikuwa kubwa yenyekufana nakupendeza Franco na Vanessa walipendeza sana Vanessa alikuwa anadeka sana kwa Franco hakika na Franco pia alimdekeza kimahaba Vanessa
Harusi ilipoisha Franco alimchukuwa mkewe na kuenda nae hanimun zanziba walikaahuko siku saba na kisha waliludi nyumbani kwa kina Franco kwa muda wajiandae wakatafute nyumba yawao wawili walikuwa na mahaba pale ndani kanakwamba nimgeni huyo Vanessa alikuwa muda woote yupo begani mwa Franco hakutaka kuwapa nafasi watu wakae nae hivyo alimkip bize sana nakazini wanaenda wote walifanikiwa kupata nyumba...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ni-wangu-pekeangu-epsd
NI WANGU PEKEANGU epsd   16.
NI WANGU PEKEANGU epsd 16.
NI WANGU PEKEANGU epsd 3.  Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd 3. Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
 NI WANGU PEKEANGU epsd  5.  Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 5. Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd  15
NI WANGU PEKEANGU epsd 15
NI WANGU PEKEANGU epsd  4.  Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
NI WANGU PEKEANGU epsd  11.
NI WANGU PEKEANGU epsd 11.
NI WANGU PEKEANGU epsd  7.  Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
NI WANGU PEKEANGU epsd 7. Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia
NI WANGU PEKEANGU epsd  17.
NI WANGU PEKEANGU epsd 17.
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
NI WANGU PEKEANGU epsd 18.
NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd  8.
NI WANGU PEKEANGU epsd 8.
NI WANGU PEKEANGU epsd  10
NI WANGU PEKEANGU epsd 10
NI WANGU PEKEANGU epsd   12.
NI WANGU PEKEANGU epsd 12.
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
NI WANGU PEKEANGU epsd 19.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63

1.44K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65*

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*

688
JOGOO WA KIENYEJI 1----5

JOGOO WA KIENYEJI 1----5

264
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.

221
SHAMIRA Sehemu ya 65&66

SHAMIRA Sehemu ya 65&66

216
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.

202
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.

202
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14.

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.

176
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)

SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)

166
SHAMIRA 67 to 70

SHAMIRA 67 to 70

114

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.76K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.47K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.84K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.72K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea๐Ÿ’ต" Nyie njooni niwaambie kitu โ€ฆโ€ฆโ€ฆ mnazijua chapati? Sambusa je ? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

SHARON 1 mpka 5 Post Mpya
SHARON 1 mpka 5
@majario LIVE

๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ *SHARON* Sehemu ya 1 Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa...

Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Post Mpya
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ
@majario LIVE

Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa...

SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3) Post Mpya
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 71 Mwandishi; lissa wa huru media Nikamwambia sawa nashukuru kama mimi ndo kiboko yako. Basi mchumba akaenda kuoga akatoka mwepesi kabisa akavaa kisha akachuku pochi aknihasabia laki 8 .akanipa...

๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA Post Mpya
๐Ÿšจ SIMAMA KWANZA USIPITE! ๐ŸŒ BATTLE YA WAREMBO WA DUNIA
@majario LIVE

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ na USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Wote wamevaa rangi za nchi zaoโ€ฆ lakini NANI AMEUA STYLE ZAIDI? ๐Ÿ‘‘๐Ÿ”ฅ โš ๏ธ CHAGUA NCHI MOJA...

SHAMIRA 67 to 70 Post Mpya
SHAMIRA 67 to 70
@majario LIVE

62 MPK 70 (SEASON THREE) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 67&68 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikiwa nawaza sana pale akaingia husna .akagonga mlango...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
@majario LIVE

:01 Natafuta ni wapi nianzie na ni wapi nimalizie, sijui kabisa yaani kwa maana moyo wangu, roho yangu, na hisia zangu vyote kwa pamoja vimejawa na furaha isiyo kifani. Maisha yangu ni...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 14. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 14.
@majario LIVE

Alinilegesha jamani king anajua kuandaa, anajua kutia sio Polepole jamani, nilijikuta nimempa yote bila kumbania, jamaa kumbe kiu ilikuwa kubwa na Mimi nilikuwa naukata kweli make kufanya hii kitu na...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65* Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ)  EP 13. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 13.
@majario LIVE

Tulifika nikakuta mke mwenzangu tayari yupo ukweni na anamimba japo ilikuwa haionekani, nilitukanwa matusi yote, Mimi tasa, maskini sina msaada wowote, nilikuwa niwakulia tu ukizingatia, sijawai tumia hats uzazi wa...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 12.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Baada ya king kuzimia,ilibidi apate huduma ya kwanza, Mimi ilibidi niludishwe kwenye Sheree, tulimaliza saa Saba usiku, nilikuwa nimechoka mno, nilioga nakuingia kulala, hata vicram pia alikuwa hoi,...

JOGOO WA KIENYEJI 1----5 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 1----5
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 1 Mwandishi:lissa mwalla Naitwa Talya jones,ni mtoto wa pili katika familia ya watoto wawili,wakwanza kakangu tommy na mie ndio last born sasa,baba yetu alikua mwanajeshi na mama yetu ni nesi.baba...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11. Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) EP 11.
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE Mama alipokea nikamuita atoke nje,vicram alibaki tu akinishangaa, mama alitoka akatukalibisha ndani, niliomba niongee nae pembeni, tulitoka nililia Kwa mama mpaka na mama nae akaanza kulia, badae nikaamua...

SHAMIRA Sehemu ya 65&66 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nilimuangalia sana nikamuuliza unamuongeleaa mtoto gani kwanza .akanambia ahaa si mtoto wangu ambae ulikuwa unakujaga nae nyumbani kuomba msada ama.nikasema sawa kumbe unakumbukumbu. Unahisi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest