Menu

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - Jiunge sasa upate bonasi ya 500%
Jiunge sasa upate bonasi ya 500%

NI WANGU PEKEANGU epsd 5. Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa

18th Dec, 2025 Views 109

leo sifungui mlango mpaka kieleweke kwanini mimi nakupenda na wewe hunipendi
Vanessa akamwambia hapana hivi uposawa wewe huoni kuwa mimi nishemeji yako nakuomba fungua mlango kwani utasababisha Fred ajue hili
Franco akamjibu sijali huyo Fred nataka mama na baba pia wajue mimi sipendagi kuficha penzi langu hivyo ninapopenda napenda nionyeshe ulimwengu wote
Vanessa akasema hivi unatatizogani wewe mimi sitaki kufikia hivyo nakuomba Franco acha ujinga naomba ondoka
Franco akamwambia unazani utani sasa subili nikuonyeshe nijinsigani nakupenda
Vanessa akaanza kuomba msamaha basi naomba acha basi nimeelewa nitafanya unachotaka Franco,
Franco akamwambia sawa usiku waleo nakuhitaji chumbani kwangu naole wako usije nitakuja kukutoa humu
Vanessa akamwambia sawa Franco nitakuja haya toka humu chumbani
Franco akakubali na kumsogelea akambusu nakisha alifungua mlango nakutoka
Baada ya dakika mbilitu Fred akaingia nakumkuta Vanessa akiwa na wasiwasi , akamuuliza kulikoni mbona uko hivyo mpenzi kama haupo sawa
Vanessa akamwambia mpenzi nipo sawa na wala sina tatizo nawezaje kupitia tatizo kama upo
Fred akamshika na kumkumbatia kabisa mpenzi wangu hayasasa upo mikono sarama hebu jiamini
Vanessa kimoyo moyo akawa anajisemea yaani ungejua sijui utanielewa
Fred akamwambia haya tulale kipenzi jiaminisasa
Vanessa akamwambia mbona najiamini sana,wakacheka na kufurahi wakiwa wamekumbatiana
Usiku Franco alisubili na kusubili ujio wa Vanessa lakini wapi hatimae asubuhi ilifika wakiwa mezani wanakula Franco alimtizama Vanessa na kisha kusema mbele za watu wote pale kuwa tayari ameshapenda sio muda atawatabulisha ampendae huku jicho ameelekeza kwa Vanessa
Kwakweli Vanessa alistuka sana na alizani atamtaja pale aliona Franco hayupo sawa atakuwa kachanganyikiwa kabisaa
Ndugu walifurahi kusikia hivyo na wakampongeza nakumtakia hongeara haraka amtambulishe tumjue Franco akataja jina Vanessa............ je unadhani ndio kamtaja tayari au laah endelea kufuatlilia
.
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA

MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NI WANGU PEKEANGU epsd 5. Alipoingia Franco akaubana mlango na kumwambia Vanessa  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-5-alipoingia-franco-akaubana-mlango-na-kumwambia-vanessa

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in

gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ni-wangu-pekeangu-epsd
NI WANGU PEKEANGU epsd  4.  Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
NI WANGU PEKEANGU epsd 3.  Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd 3. Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu
NI WANGU PEKEANGU epsd   6.  Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd 6. Akataja jina Vanessa hadi Vanessa alishtuka na kuangusha grass
NI WANGU PEKEANGU epsd  7.  Franco akapiga goti chini kisha akaanza kumwambia

SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest