Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 9  MTUNZI UHURU MEDIA   Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
Gonga94 ยท Stories

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

" kama nilivyojitambulisha hapo mwanzo naitwa Angelo na nimekuja hapa kwa agizo la Jerry.
" Jerry huyu Double J?
" Ndio huyo huyo.
Lina alitulia kimnya huku akiwa anajiuliza Jerry amejuaje kama yupo pale kituoni.
" Tunaweza kufuatana pamoja.
" Kwenda wapi?
" Aliniambia tukitoka kituoni tuende pamoja nyumbani kwake.
" Sawa lakini nataka kumtafuta shangazi yangu kwanza.
" Sawa fanya hivyo.
Lina alichukua simu yake na kupiga simu kwa shangazi yake. Simu iliita mara mbili kisha ikapokelewa.
" Vipi lina? Shangazi yake aliuliza kwa shauku.
" Shangazi nimetoka polisi kwa dhamana , wewe upo wapi?
" Nimechukua chumba gesti nilikuwa nafikiria kuja kudhamini huko polisi.
" Basi pumzika shangazi nitakuja huko uliko.
" Njoo sasa hivi binti yangu.
" Hapana shangazi sio saizi. Kwanza natakiwa kwenda kuonana na Boss alienitoa polisi baada ya hapo nitakuja ulipo.
" Sawa

Lina alikata simu kisha akaondoka na Angelo wakaelekea nyumbani kwa Jerry.
Lina alishangaa wanaenda kwenye nyumba tofauti na ile iliyokuwa na sherehe siku ile.
" Huku ni wapi?
" Ni nyumbani kwa Jerry.
" Anakaa huku?
" Hii ndio nyumba yake anayoishi japokuwa ana nyumba nyingi sana hapa mjini.
Walishuka kwenye gari na kuelekea ndani ya jumba la kifahari lililopangwa kwa thamani za bei ghari. Kulikuwa na walinzi pamoja na wafanyakazi wa kutosha.
Walikuja sebleni wakamkuta Jerry akiwa anaongea na mwanaume mmoja. Jerry alipomuona Lina aliachia tabasamu na kumkaribisha.
" Karibu sana Lina.
" Asante.
" Karibu ukae.
Lina aliangalia makochi kisha akamuangalia jinsi alivyo nafsi yake ikamsuta ilimbidi aendelee kusimama.
Jerry alikuwa anasafiri kwenye baadhi ya mafaili kisha akakabidhiwa yule mwanaume aliekuwa nae wakaagana.
Jerry alisogea pale walipokuwa wamesimama lina na Angelo.
" Wote mmegoma kukaa?
" Mimi sina muda wa kuendelea kukaa hapa , nimemleta Lina na sasa naomba ruhusa ya kuondoka.
" Nashukuru sana Angelo.

Angelo aliwasha kisha akaondoka na kuwaacha .
" Utasimama hivyo hivyo?
" Mmmh kwa hali yangu niliyokuwa nayo siwezi , hata hivyo nimefanya makosa kuingia ndani .
" Kwanini unajihisi umekosea?
" Nimewahi kusikia mtu akitoka jela au rumande hatakiwi kuingia ndani mpaka afanyiwe mambo fulani.
Jerry alimuangalia kisha akacheka.
" Achana na mambo ya uzushi, hayo maneno hayana maana kabisa. Nifuate.
Jerry walitangulia na Lina alimfuata, walipandisha ngazi mpaka kwenye chumba kimoja kizuri kilikuwa kuna kitanda , kabati na dressing table kubwa na zuria dogo la manyoya la rangi ya off white.
" Ingia hapo bafuni uoge naenda kuongea na dada akuletee nguo ya kubadili.
" Sawa , asante.
Jerry alitoka pale chumbani , kina alivua nguo zake akachukua taulo jeupe lililokuwa limeandaliwa kwaajili yake akajifungua na kuingia bafuni.
Aliita kwa sabuni nzuri zilizokuwa na harufu nzuri , alihakikisha anajisugua vizuri kutoa mikosi . Baada ya kumaliza alikuta kuna nguo zimewekwa kitandani .
Alisogea kwenye dressing table akachukua mafuta na kupaka kisha akavaa nguo safi . Alipomaliza alishuka chini kwenda kuonana na Jerry.
" Karibu huku.
Alipofika sebleni Jerry alikuwa dinning akamuita ili wakale pamoja.
" Najua una njaa , tule kwanza ndio tuendelee na maongezi.
" Samahani nilikuja tu hapa kutoa shukran zangu kwanza , bado nina mambo ya kuyashughulikia haraka.
"Mambo gani hayo ambayo yanabana hayatupi nafasi ya kupata chakula pamoja.
" Shangazi yangu , sijui yupo kwenye hali gani.
" Kwani unajua alipo?
" Yupo kwenye guest moja huko mitaani .
Jerry alinyanyuka na kumfuata Kina pale alipokuwa kasimama.
" Nitaongoza na pamoja na wewe.
Walitoka nje ya nyumba na kupanda kwenye gari dereva aliendesha gari mpaka kwenye guest moja ya zamani iliyokuwa na kibao kilichoandikwa Sheraton guest .
Walishuka kwenye gari wakaingia ndani na kukutana na dada mmoja ambae alionekana ndio muhudumu wa pale.
" Samahani nilikuwa nataka kuonana na mwanamke mmoja wa makamo anaitwa Elizaberth Mwamba .
Kabla yule muhudumu hawaamini is wapi kwa kumpata Lina alimuona shangazi yake.
" Basi yule pale.
Lina alimfuata na kumkumbatia shangazi yake.
" Lina imekuwaje mpaka ukapata dhamana wakati nasikia hawakufika utoke hata kwa dhamana?
" Shangazi ni story ndefu kidogo ila elewa hii dunia ina watu wenye roho tofauti sana sio kila mwenye pesa anamdhsrau na kumgandamiza mtu wa hali ya chini.
" Ni kweli.
" Jerryson Jonathan ndio alituma wakili wake akaja kunitoa.
" Asante Mungu.
" Shangazi nimekuja na Jerry anataka tuondoke hapa tukakae nyumbani kwake kwa muda mpaka pale mambo yetu yatakapo kaa sawa.

Lina na shangazi yake wakibeba mizigo na kwenda kupandisha kwenye gari la Jerry kisha safari ya kuelekea kwake ikaanza.
Siku hiyo Jerry alikuwa mkarimu sana kwao akiwa hudumia kwa kila kitu muhimu walichokuwa wanahitaji.
" Huyu kijana umenijulia wapi?
" Mimi mwenyewe nipo kwenye fumbo yani ananijua kuliko unavyotegemea.
" Mmmh..... Sasa hatma yetu ni ipi?
" Nataka niongee nae kama atanipa kazi.
" Sawa lakini mimi nataka kurudi kijijini. Kwa pesa niliyokuwa nayo nitaenda kulima na kulipa vibarua baada ya hapo nitaangalia miradi mingine ya kufanya.
" Sawa shangazi , hata mimi nilifanikiwa nitakuwa nakutumia pesa .

Kesho yake asubuhi Stephen aliamka mapema na kwenda jikoni ambako kulikuwa na mpishi mpya.
" Umeniandaoia kile nilichokuwa nimemwambia uniandikie jana usiku?
" Ndio kila kitu kipo tayari nimeweka kwenye huo mfuko.
Stephen alichungulia kwenye mfuko akaona vitafunwa na chupa ya chai. Alibeba ule mfuko na kuondoka nao.
Alianza safari kuelekea kituo cha polisi kwaajili ya kumpelekea Lina chai.
Alipofika kituoni alimkuta mama yake ameshafika.
" Inawezekana vipi na mimi nilisema asitokewe hapa?
" Mr Maxwell dhamana ilikuwa ni haki yake na isitoshe alikuja wakili wake.
" Acha kunifanya wakili anamtoa wapi yule mpaka hoi?
Stephen alisogea mpaka alipo mama yake.
" Mama kuna nini?
" Lina hayupo , eti wakaniambia katoka kwa dhamana na alikuja kutolewa na mwanasheria, hivi inakuingia akilini kweli?
" Mwanasheria Lina Kampala wapi?
" Tena sio mwanasheria wa kando kando ni mwanasheria mkubwa sana anayesimamia kesi za watu wa kubwa Angelo. Aliongea askari mmoja.
Stephen na mama yake waliangaliana kwa mshangao.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p

" kama nilivyojitambulisha hapo mwanzo naitwa Angelo na nimekuja hapa kwa agizo la Jerry.
" Jerry huyu Double J?
" Ndio huyo huyo.
Lina alitulia kimnya huku akiwa anajiuliza Jerry amejuaje kama yupo pale kituoni.
" Tunaweza kufuatana pamoja.
" Kwenda wapi?
" Aliniambia tukitoka kituoni tuende pamoja nyumbani kwake.
" Sawa lakini nataka kumtafuta shangazi yangu kwanza.
" Sawa fanya hivyo.
Lina alichukua simu yake na kupiga simu kwa shangazi yake. Simu iliita mara mbili kisha ikapokelewa.
" Vipi lina? Shangazi yake aliuliza kwa shauku.
" Shangazi nimetoka polisi kwa dhamana , wewe upo wapi?
" Nimechukua chumba gesti nilikuwa nafikiria kuja kudhamini huko polisi.
" Basi pumzika shangazi...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-9-mtunzi-uhuru-media-angelo-alimuangalia-na-kutambua-wasiwasi-pa-moja-na-hofu-aliyo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 17  MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
 FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“  7--8  7  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina  alitoka nje  akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 15  MTUNZI: UHURU MEDIA  Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 16  MTUNZI UHURU MEDIA   Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 14  MTUNZI UHURU MEDIA   Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 12  MTUNZI UHURU MEDIA   Stephen alisimama huku  akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina  kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.
 FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 6  MTUNZI UHURU MEDIA    Lina alishuka kwenye gari  na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 11  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 13  MTUNZI UHURU MEDIA   Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi  Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 5  MTUNZI UHURU MEDIA   Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

1.27K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

747
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

591
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

479
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

347
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

260
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

219
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

188
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

185

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.72K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.71K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo๐Ÿ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest