Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu lililofanya uso wake ingawa kama nuru.
Gonga94 ยท Stories

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu lililofanya uso wake ingawa kama nuru.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Lina alikuwa anaishi na shangazi yake mjini tangia alipokuwa maliza elimu yake ya msingi.
Kwakuwa alikuwa yatima shangazi yake alibeba jukumu la kumchukua kijijini na kuja kumsomesha .

Shangazi yake hakuwa na kazi ya maana alikuwa mfanyakazi wa ndani katika familia moja ya kitajiri ya bwana mmoja aliyetambulika kwa kina la Maxwell, tajiri aliemiliki jumba la kifahari lenye walinzi, bustani na magari ya kifahari.
Yeye na mke wake Maurine alikuwa na watoto wawili wa kiume, mkubwa alikuwa anaitwa Amor ambae alikuwa kazini na Stephen kijana wa mwisho aliyekuwa na umri kama wa Lina na ndio kwanza alikuwa amemaliza chuo na kurudi nyumbani kwao.
Stephen alikuwa kijana mtanashati, mwenye haiba ya kujiamini na macho ya kuvutia , mwili wa mkakamavu wa mazoezi.
Kila mwanamke aliemuona alivutiwa nae .
Sifa za Stephen zilifanya apendwe na wasichana na wengine walikuwa wazazi kwake na kumueleza hisia zako kuwa wanampenda.
Huyo ilisababisha Stephen kutembea na wasichana wengi sana na kuwaacha.

Baada ya Stephen kurudi chuo akakutana na Lina, safari hii lina alikuwa amenawiri sana .
Stephen alipomuona alianza akuvutiwa nae na kutamani kukutana nae sehemu iliyotumia ili kumuelezea hisia zake lakini haikuwa rahisi sababu kila alipokuwa lina na shangazi yake alikuwepo.

Siku moja Mida ya usiku Lina alikuwa jikoni akisafisha viombo, Stephen alitembea kwa kunyata na kwenda kusimama nyuma yake na mkono yake akazungusha kiunoni kwa Lina.
Lina alishituka na kugeuka haraka kuangalia ni nani aliemshika .
" Stephen unafanya nini?
" Nimekukumbatia , najisikia amani sana kufanya hivi.
" Hapana , ondoka bwana , niache tusije tukakuta.
" Ni nani atakuja huku saizi?
" Hiyo tabia yako mimi sipendi.
Aliongea lina huku akiwa na hofu na moyo wake ulikuwa unadunda kwa nguvu .
" Lina usijifanye mtoto hujui kile ninachomaanisha .
" Unamaanisha nini?
" Upendo , nakupenda Lina.
" Wewe ni boss wangu.
" Kwani Boss hana moyo wa kupenda?
Lina hakuwa na jibu la kumpa walikuwa wakiangaliana usoni huku akili zao zikiwa mbali, kila mtu aliwaza lake kichwani mwake . Lakini ghafla walishituka baada ya kusikia mtu akikohowa.
Waligeuka kuangalia mlangoni wakakutana macho kwa macho na bi Eliza shangazi yake Lina.
Lina akijisigeza nyuma haraka, Stephen alienda kuchukua chupa ya maji kwenye friji na kuondoka.
Bi Eliza alimsogelea Lina.
" Wewe nini kinaendelea hapa?
" Hakuna kitu shangazi.
" Hakuna kitu wakati nimeona ulikuwa umesogeleana na Stephen na akili zenu zilikuwa zimefika mbali sana . Vipi kama angewakuta mama yake au baba yake?
" Nisamehe shangazi.
" Huo mchezo sitaki kukuona upo hapa kwaajili ya kazi na sio kuja kutembea na watoto wa boss .
" Lakini sina uhusiano nae na ni yeye amenishitukiza akanishika.
" Akakushika wapi?
" Huku kiunoni lakini sikutaka nilikuwa namwambia aniachie .
" Wewe usije ukaniletea matatizo hapa.
" Sawa shangazi haitajirudia.
Stephen hakukoma mara kwa mara alikuwa akimfuatilia Lina, Lina alikuwa anamkwepa sana na kuna muda alikuwa akimuona karibu yake moyo wake ulikuwa uunadunda kwa kasi sana.

Siku moja Shangazi yake Lina alikuwa safarini kijijini. Usiku Lina alikuwa kwenye nyumba yao amekaa kitandani kwaajili ya kujiandaa kulala.
Ilipofika saa tano za usiku, akiwa amelala usingizi alihisi kama anaguswa miguuni kwake Alishtuka, akawasha taa haraka. Alikutana uso kwa uso wa Stephen akimuangalia huku akiwa anatabasamu.
โ€œStephen!? Umeingiaje hapa?โ€aliuliza kwa mshangao na hofu kubwa maana alikuwa amefunga mlango wa sebleni.
Stephen alitabasamu kwa upole.
โ€œNilipita dirishani, nilijua uko peke yako. Lina nimeshindwa kuzuia hisia zangu tena.
" Nataka kujua umeingiaje hapa ndani.
" Nimepita dirishani, dirisha la sebleni lipo wazi.
โ€œLakini si sawa sijapenda ujue . alisema kwa sauti ya kujiamini japo mwili wake ulikuwa ukitetemeka.

Stephen alinyoosha mkono wake na kushika kiganja cha Lina
โ€œNaelewa Sikutaka kukutisha ila hii ndio nafasi nzuri kwangu kuzungumza na wewe Lina , Nimekuja kusema ukweli wangu . Lina nimekupenda tangu zamani. Sio kwa kutamani bali kwa mapenzi yangu ya dhati kutoka moyoni mwangu.
Lina alimuangalia kwa tahadhali kisha akasema
โ€œStephen moyo wangu haujajua bado unachotaka, mimi ni mwanamke ambae najiheshimu sana na sitaki mtu avunje heshima yangu.
โ€œNitaheshimu hilo.
" Ninaamini vipi?
" Nitakuonyeaha kila dalili ya kuonyesha naoundena na kukuthamini.
Lakini kabla sijaondoka, naomba kitu kimoja.
Lina hakuwa na jibu alikuwa akimuangalia tu usoni.
"siyo kwa nguvu ni ombi tu.โ€
โ€œKitu gani?โ€
โ€œDakika moja ya kukaa kimya tukitazamana bila kusema neno. Ili nijue kama kweli moyo wangu hauko peke yake.
Lina aliangalia chini kwa aibu, Stephen alimnyanyua kidevu kwa kidole fumba chake.
Wakawa wanaangaliana.
Kulikuwa na ukimya wa hali ya juu Lina alijikaza sana kumuangalia sababu Stephen hakuna nafasi ya kuangalia pembeni.
Baada ya dakika tano Stephen alitabasamu, akapumua kwa nguvu na kusema
โ€œAsante hiyo imetosha kuna kitu nimekiona kwako, nitakupa muda wa kufikiria na wala sita kulazimisha. Alisogea karibu na kumbusu Lina kwenye shavu.
" Uwe na usiku mwema malkia ukae nga'a mfano wa mbaramwezi

Baada ya hapo alinyanyuka akatokea dirishani alikoingilia kimya kimya akarudi kwenye jumba lake kubwa la kifahari, akimuacha Lina akifikiria usiku mzima juu ya kile kilichotokea.

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 2

MTUNZI UHURU MEDIA

Siku zilienda Lina akaanza kumuweka Stephen moyoni mwakle , hatimae penzi lilianza kukuwa taratibu.kila mara nyakati za usiku walikuwa wakikutana kwa siri sana. Hata kuna wakati walikuwa wakikutana nje ya nyumbani badae kila mmoja alirudi nyumbani kwa wakati wake.

Siku moja walikuwa wamesimama chini ya mti, kulikuwa na mwanga hafifu ambapo sio rahisi mtu kuwaona.
" Huwa napenda sana nipate muda mwingi wa kukaa na wewe mpenzi.
" Najua lakini si unajua nabanwa sana na kazi na mama yako alivyo mkali sasa.
" Usijali kadili siku zinavyoenda kila kitu kitakaa sawa. Na mama yangu atakuchukulia kama mkwe.
" Sio rahisi.
" Mimi ndio nimependa kwanini wao wa iingilie kwenye mapenzi yangu?

Maongezi yaliwanogea na kujisahau kabisa.
Mara lilisikika gari likiwa limesimama getini na mlinzi alifungua geti na gari iliwasha taa full na kukamilika pale walipokuwa wamesimama . Mama na baba yake Stephen waliwaona Lina akataka kukimbia lakini Stephen akamzuia.
" Stephen acha niende.
" Uende wapi?
" Wazazi wako wakinikuta hapa italetaa shida.
" Kila kitu niachie mimi nitamaliza .
Lina alisimama lakini alikuwa anaogopa sana.

Gari ilipoingia na kwenda kuegeshwa kwenye maegesho mama yake Stephen alishuka kwenye gari na kuwafuata.
" Mnafanya nini huku kwenye giza usiku huu?
" Tunapunga upepo.
" Upepo? Kwani ndani hakuna Ac? Wewe Lina kwenye nyumba yenu hakuna feni?
" Ipo madam.
" Mama sio kila siku feni, sijui AC hata huu upepo wa Mungu unafaa sana tu.
" Stephen hakujua vizuri sana , unamtongoza lina."Mama....
" Sitaki kusikia mama , sijui nini. Lina kaa mbali na Stephen sitaki kabisa uanzishe mahusiano nae maana likitokea la kutokea wala siwezi kupokea kama mkwe . Hiyo ni tahadhali nakupa.
Maneno ya mama Stephen yalikuwa kama mwiba iliochoka kwenye moyo wa Lina.
" Mama maneno gani hayo ya kumwambia mtu.
" Sitaki kuongea zaidi Lina ondoka nenda ndani kwenu.
Lina aliondoka haraka bila kugeuka nyuma , huku nyuma Stephen alikuwa akilalamika kwa kupeperushwa ndege wake.
" Stephen kina sio mwanamke wa hadhi yako kumbuka wewe ni msomi na unatoka kwenye familia inayoheshimika.
" Sasa hapo inaingilia aje na mahusiano?
" Siwezi kumkubali Lina kama mwanamke wako hilo liwekwe hapo akilini kwako.
Alisema na Stephen kisha akaondoka.

Kesho yake kulipokucha kitu cha kwanza mama Stephen alimfuata shangazi yake Lina.
" Eliza ongea na mtoto wako , mkanye akaembali na kijana wangu , akae mbali na Stephen.
" Kwani kuna nini madam?
" Wale watoto wapo kwenye mahusiano na mimi sitaki kusikia wala kuona Lina na Stephen wakiwa na uhusiano.
" Sawa madam, nitaongea nae.
" Kama hatakuwa muelewa unajua nini nitafanya.
" Naelewa madam.
Baada ya hapo mama Stephen aliondoka na
Eliza akimtafuta lina na alijaribu kumkanya sana na kumkumbusha baadhi ya matukio yaliyotokea kipindi cha nyuma.
" Lina nilikwambia acha kuwa na ukaribu na Stephen hukusikia ona sasa mama yake amekuja kunilalamikia. Unakumbuka kilichomkuta Mishely?
" Ndio.
" Basi jiandae na wewe, na ikitokea umefukuzwa utarudi kijijini.

Eliza alimkanya sana Lina lakini ilikuwa kazi bure mapenzi yake na Stephen na lina yalikuwa yakishamiri kwa siri sana.
Siku moja Stephen alimuomba lina waende kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yake wa karibu .
Lina alikubali na kumuaga shangazi yake kuwa ataenda kumtembelea Mishely . ( Mishely alikuwa mfanyakazi mwenzao lakini aliishia kufukuzwa baada ya kugundulika ana mahusiano na Amor kaka yake Stephen)
Shangazi yake alimkubalia .

Jioni Lina alitangulia kutoka na kwenda kumsubiri Stephen huko mbele.
Baada ya muda Stephen alifika na gari yake akamchukua wakaenda kwenye nyumba moja ya ghorofa, waliingia kwenye lift mpaka walipofika ghorofa ya sita walielekea kwenye nyumba ya sherehe huku mambo yalikuwa ni moto , muziki mkubwa, watu waliingua na zawadi . Kulikuwa na vinywaji vya kila aina.
Stephen alimtambulisha Lina kwa marafiki zakekana mpenzi wake wapo waliomuangalia kwa dharau kutokana na jinsi alivyo vaa mavazi yake hayakuwa ya bei ghali kwa kiasi fulani walimuona kama mtu wa hali ya chini.

Stephen alimchukua akampeleka kukaa sehemu, alimtelekeza hapo na kuwa Bize na wenzake. Lina alikuwa kajikunyata huku akishangaa shangaa wadada ambao walikuwa wakijipitisha huku wakiwa wamevalia vinguo vifupi.
Kuna muda Stephen alimfuata Lina.
" Mpenzi naomba unisubiri hapa kuna mtu naenda kumuangalia hapo chini.
" Unaniacha hapa?
" Usiogope hii ni sehemu salama na sita Chelewa kurudi.
" Sawa.
Lina alikaa pale huku akiendelea kushangaa jinsi watu walivyokuwa wanasherekea na wengine walifanya vituko kwa ulevi.

Kuna muda Lina alihitaji kwenda chooni , alimfuata dada mmoja akamuuliza yule dada akamuelekeza.
Lina alienda chooni na kumaliza haja zake, wakati anarudi alishitukia kavutwa na kwenda kutulia kwenye kifua cha mwanaume ambae hakuwa anamfahamu.
" Wewe vipi mbona umenivuta?
Lina aliuliza lakini yule mwanaume hakujibu, ghafla alisogeza midomo yake na kumbusu Lina.
Lina alimsukuma na kujitoa kwake.
" Kichaa wewe. Alisema lina kwa hasira kisha akaondoka , yule mwanaume alikuwa kasimama akimuangalia mpaka alivyopotelea.

Lina alirudi kukaa huku akiwa anamsubiri Stephen. Alianza kuhisi upweke na kujisikia vibaya alihisi Stephen kamtelekeza pale. Alipoangalia pembeni alikutana macho na yule mwanaume alimvuta na kumbusu.
" Huyu mjinga anakuja kukaa huku na ananiangalia bila aibu.

Wakati huo Stephen alikuwa ametoka na mwanamke wake mwingine ambae wanaendana kiuchumi na ni mwanamke wa muda tangia walipokuwa chuo. Walikuwa kwenye moja ya hotel ya karibu wakifanya yao.
"Tasha wewe ndio mwanamke pekee ambae unafikisha moyo wangu yani hata nikiwa usingizini ukipiga simu na kunihitaji lazima nitakuja.
" Mmmh...
" Sasa mbona unaguna mpenzi?
" Sikuamini Stephen ulinitesa sana chuo kila siku nilikuwa na gombana na wasichana wenzangu sababu yako.
"Stephen wa sasa sio yule mvulana wa chuo. Sasa mimi ni mwanaume ninaejielewa.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu lililofanya uso wake ingawa kama nuru.


Lina alikuwa anaishi na shangazi yake mjini tangia alipokuwa maliza elimu yake ya msingi.
Kwakuwa alikuwa yatima shangazi yake alibeba jukumu la kumchukua kijijini na kuja kumsomesha .

Shangazi yake hakuwa na kazi ya maana alikuwa mfanyakazi wa ndani katika familia moja ya kitajiri ya bwana mmoja aliyetambulika kwa kina la Maxwell, tajiri aliemiliki jumba la kifahari lenye walinzi, bustani na magari ya kifahari.
Yeye na mke wake Maurine alikuwa na watoto wawili wa kiume, mkubwa alikuwa anaitwa Amor ambae alikuwa kazini na Stephen kijana wa mwisho aliyekuwa na umri kama wa Lina na ndio kwanza ...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-1-1-2-lina-alikuwa-binti-wa-miaka-20-mrembo-mwenye-haiba-ya-upole-macho-makubwa-yen

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 17  MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
 FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“  7--8  7  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina  alitoka nje  akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 15  MTUNZI: UHURU MEDIA  Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 16  MTUNZI UHURU MEDIA   Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 9  MTUNZI UHURU MEDIA   Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 14  MTUNZI UHURU MEDIA   Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 12  MTUNZI UHURU MEDIA   Stephen alisimama huku  akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina  kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 6  MTUNZI UHURU MEDIA    Lina alishuka kwenye gari  na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 11  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 13  MTUNZI UHURU MEDIA   Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi  Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 5  MTUNZI UHURU MEDIA   Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
FATE TO LOVE YOU ๐Ÿ’“ 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

1.26K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

718
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59

493
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58

426
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

345
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

257
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

218
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

188
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

179

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.72K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.71K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo๐Ÿ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest