Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14  MTUNZI UHURU MEDIA   Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani
Gonga94 Β· Stories

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kwake akiwa anamchungulia nje akamuona Lina amesimama bustani akichuma mauwa. Alifungua dirisha na kumuangalia vizuri.
" Kweli nampenda sioni haja ya kuficha hisia zangu .
Aliamua kutoka nje akamkuta Lina bado anatafuta mauwa.
Alitembea taratibu na kusimama nyuma yake wakati huo lina alikuwa akitaka kuchuma uwa la waridi, alikuwa na tahadhari sana asije akachomwa na mwiba.
" Naweza kukusaidia? Jerry aliuliza, lina akaacha kuchuma na kugeuka kumuangalia. Walipoangalia na usoni Jerry aliduwaa baada ya kuona Lina akiwa kajiremba kwa makeup, alikuwa amependeza sana kuliko siku zote ambazo amewahi kumuona . Lina aliona aibu .
" Nilikuwa najaribu tu.
" Haukuwa unajaribu bali umeweza, Umependeza sana . Lina alitoa tabasamu dogo lililobeba aibu.
" Nilijua umeenda kazini.
" Hapana leo nipo nyumbani ila badae nitatoka na nisingependa kutoka mwenyewe ningependa tutoke pamoja.
" Sawa.
" Tunaenda kwenye sherehe.
" Sherehe ya nini?
" Ni kupongezana tu, huko tutakutana wafanya biashara na familia zao sasa mimi sina wakaenda nae nikaona sio vibaya nikienda na wewe mrembo.
" Hahahaha....
" Mbona unacheka?
" Na kucheka wewe sababu unanipa sifa ambazo sistahili.
" Sikiliza Lina , wewe ni mwanamke mzuri sana . Kuanzia sura , muonekano nikimaanisha umbo na tabia. Imekamilika kila idara.
" Basi acha niseme asante kwa Mungu alienitunukia hivyo vyote.
Jerry akitabasamu na kuendelea kumuangalia.

Hatimae ilifika muda ya saa kumi jioni Lina alipelekwa saloon na dereva kwaajili ya kutengeneza nywele zake na kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria hiyo sherehe.
Lina alihakikisha siku hiyo anapendeza sana , alikuwa ana mambo mawili ya kumfanya apendeze.
Kwanza ni kwaajili ya kumvutia sana Jerry ili zaidi kuchanganyikiwa juu yake na pili hakutaka kumuangusha alitaka aendane nae
Alipo maliza kujiandaa alisimama kwenye kioo kujikaza kama yupo sawa.
Wakati huo Jerry alikuwa amesimama sebleni akiangalia saa yake ya mkononi.
Mara akasikia visigino vya viatu , alinyanyua macho yake kuangalia , alimuona Lina akishika ngazi akiwa amevalia gauni lake la usiku, alikuwa amependeza mno. Jerry alikuwa kamtolea macho huku kila sekunde tabasamu likichanua usoni kwake.

Lina alifika karibu yake na kusimama mbele yake.
" Umependeza sana. Alisema Jerry huku akimuangalia usoni.
" Pia wewe umependeza.
" Aaaaaaa.... Kuna kitu Jeetu alitaka kuongea lakini mdomo ulikuwa mzito .
" Kuna tatizo?
"Hapana twende zetu.
Walitembea hatua zilizolingana kuelekea kwenye gari. Dereva alifungua mlango mlango wa mbele lakini Jerry alikataa kupanda huko.
" Nitakaa nyuma. Alisema Jerry kisha akamgeukia Lina
" Panda. Lina alipanda huku Jerry akimsaidia kushika gauni lake refu na kumuwekea vizuri kisha nae akapanda , dereva akafunga mlango na kupanda kwenye siti yake na kuwasha gari.

Walifika kwenye hoteli moja ya kifahari huko yalikuwa yakiongozwa na magari ya kifahari na watu wa hadhi ya juu, wafanya biashara wakubwa na familia zao.
Jerry alikutana na Nabir akiwa na mke wake.
" Niambie simba dume.
" Safi kama unavyoona.
" Kweli jambo safi. Alijibu Nabir huku akimuangalia Lina.
" Bila shaka huyu ndio Lina.
" Haujakosea. Lina huyu ni rafiki yangu kipenzi, urafiki wetu imezifanya tumekuwa kama ndugu anaitwa Nabir na huyu ni Nayna ni mke wake.
" Asante nimefurahi kuwafahamu.
" Poa sisi karibu sana.
" Asante.
Walienda kukaa sehemu , kumbe wakati wanapita walipishana na mama yake Stephen.
Mama Stephen hakuamini alichokiona .
" Haiwezekani . Aliangaza macho akamuona Stephen akiwa kasimama na vijana wenzie. Alimfuata na kumshika begani.
" Mama ...
" Hebu njoo. Walisomea pembeni kidogo.
" Nimemuona mtu kama Lina.
Stephen alishituka
" Lina yupo kwenye hii sherehe?
" Itakuwa ni yeye jamani , hebu twende ukamuangalie .
Walienda mpaka sehemu walipokuwa wamekaa wakina Lina Stephen aliangalia alihisi ni Lina lakini hakuwa na uhakika asilimia zote. Alizidi kumuangalia kwa makini alipomuona anatabasamu mashavuni alikuwa anabonyea moja kwa moja aliamini kuwa aliyekuwepo pale ni Lina. Mara akamuona Jerry akisogea na kumpa grass ya kinywaji.
Stephen alikunja uso wake kwa hasira.
" Vipi ni yeye? Mama yake aliuliza.
" Ndio ni yeye kwani una shida nae?
" Hapana nilikuwa nataka kujua kama ni yeye na kwanini yupo hapa.
" Ni mwanamke wa Jerry. Stephen alijibu kisha akaondoka na kumuacha mama yake kwenye mshangao.
" Inawezekana vipi kwani walikutana wapi na Jerry?
Mama Stephen alimuuliza mtoto wake lakini Stephen hakumjibu aliondoka na kumuacha mama yake alimuangalia Lina jinsi alivyo mawili na kupendeza .

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 14 MTUNZI UHURU MEDIA Kelsho yake muda ya saa nne asubuhi Jerry alikuwa amesimama kwenye dirisha la chumbani

kwake akiwa anamchungulia nje akamuona Lina amesimama bustani akichuma mauwa. Alifungua dirisha na kumuangalia vizuri.
" Kweli nampenda sioni haja ya kuficha hisia zangu .
Aliamua kutoka nje akamkuta Lina bado anatafuta mauwa.
Alitembea taratibu na kusimama nyuma yake wakati huo lina alikuwa akitaka kuchuma uwa la waridi, alikuwa na tahadhari sana asije akachomwa na mwiba.
" Naweza kukusaidia? Jerry aliuliza, lina akaacha kuchuma na kugeuka kumuangalia. Walipoangalia na usoni Jerry aliduwaa baada ya kuona Lina akiwa kajiremba kwa makeup, alikuwa amependeza sana kuliko siku zote ambazo amewahi kumuona . Lina aliona aibu .
" Nilikuwa najaribu tu.
" Haukuwa unajaribu bali umeweza,...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/fate-to-love-you-14-mtunzi-uhuru-media-kelsho-yake-muda-ya-saa-nne-asubuhi-jerry-alikuwa-amesimama-k

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi fate-to-love-you
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10  MTUNZI UHURU MEDIA    Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 10 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen na mama yake walitoka pale kituoni wakasimama nje na kuanza kujadiliana . " Stephen
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17  MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 17 MTUNZI: UHURU MEDIA Maneno ya Jerry ni kama yalikuwa
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“  7--8  7  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina  alitoka nje  akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 7--8 7 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alitoka nje akaenda kuchukua usafiri na kuelekea nyumbani kwa Mishely. "...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15  MTUNZI: UHURU MEDIA  Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 15 MTUNZI: UHURU MEDIA Baada ya saa chache za sherehe kuendelea, muziki wa taratibu ulianza kupigwa, watu wakaanza kucheza taratibu. Jerry
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16  MTUNZI UHURU MEDIA   Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 16 MTUNZI UHURU MEDIA Siku hiyo ilikuwa siku ya Jerry na Lina kuelezana juu ya hisia zao.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9  MTUNZI UHURU MEDIA   Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 9 MTUNZI UHURU MEDIA Angelo alimuangalia na kutambua wasiwasi pa moja na hofu aliyokuwa nayo Lina.p
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12  MTUNZI UHURU MEDIA   Stephen alisimama huku  akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina  kwa chuki.
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 12 MTUNZI UHURU MEDIA Stephen alisimama huku akitetemeka kwa hasira, macho yake yakiwaangaoia Jerry na Lina kwa chuki.
 FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“1 1--2 Lina alikuwa binti wa miaka 20, mrembo mwenye haiba ya upole, macho makubwa yenye mashiko , yenye mvuto mfano wa mbaramwezi na tabasamu...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6  MTUNZI UHURU MEDIA    Lina alishuka kwenye gari  na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 6 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishuka kwenye gari na kuelekea kwenye lango kuu la hotel anasalimiana na mlinzi kisha akampatia
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11  MTUNZI UHURU MEDIA   Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 11 MTUNZI UHURU MEDIA Lina alishangaa inakuwaje iwe hivyo wakati aliongea na Jerry na akamwambia kaajiliwa? Aliondoka pale jikoni
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13  MTUNZI UHURU MEDIA   Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi  Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 13 MTUNZI UHURU MEDIA Ule usiku Jerry aliamua kutoka nyumbani kwake na kwenda kuonana na rafiki yake kipenzi Nabir. Walikaa na...
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5  MTUNZI UHURU MEDIA   Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
FATE TO LOVE YOU πŸ’“ 5 MTUNZI UHURU MEDIA Alipokuwa njiani alimpigia simu Mishely. " Hallow Mishely... " Lina mbona kama unalia?
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

1.27K
*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*

747
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59

591
*AFANDE MILLAN😎* *57&58

*AFANDE MILLAN😎* *57&58

479
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

347
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

260
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

219
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

210
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

188
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

185

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.72K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.33K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.92K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.71K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
@majario LIVE

Kaka akasema jalia apa ni kwako, na ndo kwa mumeo feel good kuwa apa , jisikie upo kwako kabisaa, na apa ndo kwa mumeo, asikutoe apa kukupeleka kokote, na...

*AFANDE MILLAN😎* *57&58 Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *57&58
@majario LIVE

Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8 Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 7 kwa 8
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 7. Kucheki vizuri alie nikaba kumbe ni vicram, alivyoona nimetulia akaniingiza Kuna chumba jilani, sijui ata alikiandaa saa ngap, kwani we kaka unashida Gani na Mimi? Vicram alitabasam...

 SHAMIRA Sehemu ya 54&55 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; 0742443214 Mwanangu alifika mwaka ila ata kutembea alikuwa hawezi husna akanambia wewe uyu mtoto anaumwa ebu tumpeleke zakiemu hospitali kubwa. Mh nikasema sawa. Mtoto wangu ni karembo jamani yani...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF Post Mpya
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA & Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika CAF
@majario LIVE

wametoa kibali rasmi cha kuthibitisha kuwa uwanja Wa Hoima City uliopo Uganda, unakidhi viwango vya kimataifa vya kuandaa mechi kubwa za soka. Uwanja huo wa kisasa uliopo katika mji wa...

*AFANDE MILLAN😎* *season 3*  *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *season 3* *SEHEMU YA HAMSINI NA SITA*
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Daaah basi mwanangu ibraaa ndo akanipanga hivyo kwamba, nitafuta mama yoyote uku pemba , awe anaongea na zena ,akijifanya ni mama yangu ili impe amani zena , nikaona sio suala...

SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mremboπŸ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu πŸ”₯) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest