Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wanaonekana watumishi mbalimbali katika falme hiyo wakiwa wanahangaika huku na huku kutokana na jambo kubwa lililokuwa linaendelea usiku huo katika jumba hilo la kifalme.

"Kyaoooo mfalme,ni salamu iliyokuwa inatumika katika falme iyo ya ADELI
"Setuleeeeeee,mfalme aliitikia salamu"
"Mfalme Malikia Andwaa kajifungua mtoto wa kiume"
"Emesema????"
"Mfalme mkeo kajifungua mtoto wa kiume"
"Hahahahahaha ni furaha iliyoje katika jumba hili tukufu la kifalme ,pongenzi kubwa kwako bi yetunde kwa kazi kubwa uliyoifanya,umekuwa mkunga wa mda mrefu katika falme yetu hii na sasa ni mda wa wewe kupatiwa zawadi itakayofaa kwa kazi kubwa uliyoifanya"
"Mtukufu mfalme na fanya ivi kwa ajili ya kulinda ufalme wako, isingependeza kulipwa chochote kile, hii ni fahali kubwa kwangu mimi kama bi yetunde kuwa mkunga katika falme hii tukufu"
"Hii ni amri mimi kama mfalme nakupa ni lazima upoke zawadi nitakayokupa".
ilikuwa ni amri ambayo hutakiwi kuipinga kutoka kwa mfalme.
"Nitashukuru mtukufu mfalme kwa zawadi yoyote utakayonipa nami nitaipokea kwa kutii agizo lako"bi yetunde ilibidi akubali amri ya mfalme.

Mfalme pamoja na mkunga huyo walielekea kumwangalia Malikia andwaa baada ya kujifungua mtoto wa kiume kama tarifa zilivyomfikia mfalme .

Mwite mfalme kojo aliyekuwa na siku nzuri baada ya kupokea tarifa njema za Malikia andwaa kujifungua mtoto wa kiume.

"Malikia hongera kwa kujifungua mtoto wa kiume"
"Lindiwe mtumishi wangu nafikiri mfalme kojo atakuwa na furaha sana huko aliko alitamani mtoto wake wa kwanza awe wa kiume"
"Ndio malikia na mda sio mrefu atakuja kukuona yeye pamoja na bibi yetunde".

*****************

Polini anaonekana asikari akikimbia kwa kasi licha ya kuwa kuna giza lililotanda katika msitu huo ila hakujali alifika karibu na kambi waliyokuwa wameweka wenzake na kuanza kuita kwa nguvu na kuwafanya ata wale walinzi waliokuwa wamelala usiku huo kuamka kwa kelele za asikari yule,
"General,General,General kuna tarifa mbaya"
"Tarifa gani izo mpaka unawapigia kelele asikari wangu waliopumzika usiku huu?????"
"Katika jumba la kifalme, mfalme kojo amefanyikiwa kupata mtoto wa kiume tofauti na mtabili alivyotuambia"
"Ujinga gani huu unaniambia, general alikasilika kwa tarifa zile alizoletewa na mplelezi wake wa siri"
"Ndio general mtabili alitudanganya"
"Atafutwe popote alipo nataka kabra hapajakucha awe ameletwa hapa nikate kichwa chake kwa mikono yangu mwenyewe haiwezekani atudanganye sisi kuwa malikia atajifungua mtoto wa kike na sio wa kiume na pia wewe rudi katika jumba la kifalme uendelee kupokea habari kutoka kwa mpepelezi wetu"
General alichafukwa aligawa asikari wake waende kumtafuta mtabili upesi na haraka aletwe mbele yake kabra hapajakucha.

************

Katika jumba la kifalme mfalme kojo na bi yetunde wanafika kwa Malikia andwaa, na mfalme kojo anafurahi kumuona mtoto wake wa kiume alijikuta anacheza akiwa amemubeba mwanae mikononi na kushindwa kuizuia furaha yake mbele ya watumishi wake.
"Mfalme!!!! mtabili amekuja yupo hapa anahitaji kukuona,ilikuwa ni sauti ya mlinzi aliyeleta tarifa ile mbele ya mfalme kojo"
"Mwambie aingie,mfalme kojo alimjibu mlinzi yule".
"Kyaoooooo myukufu mfalme....."
"Setuleeeeee"
"Mfalme najua upo kwenye kipindi cha furaha kwa sasa ila kuna tatizo kubwa sana kwa huyo mtoto wako".
Mtabili aliongea na kuwafanya wote waliokuwa mle ndani wamwangalie mtabili yule.
"Tatizo kubwa???"
"Wote humu ndani naomba mtupishi,nibaki mimi,malikia pamoja na mtabili,sauti ya mfalme kojo ilisikika na kuwafanya watumishi watii amri ile ya mfalme wao"
"Mfalme mwanao anatatizo kubwa sana nimeonyeshwa na miungu"
"Tatizo gani hilo mtabili???""
"Mwanao itakuwa ngumu kuongonza ufalme huu wa ADELI mtukufu mfalme"
"Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???,Malikia andwaa aliongea"
"Mfalme pamoja na Malikia mtoto wenu ni kipofu hapo alipo.....ITAENDELEA

Ndio kwanza tumeanza je? Mfalme kojo pamoja na Malikia andwaa watachukua uamzi gani baada ya kusikia mtoto wao ni kipofu na je? General atafanyikiwa kumpata mtabili anayemtafuta kwa kitendo cha kumdanganya???. Tukutane sehem inayo fata

Maoni

You're not logged in


profile
mjukuu 12 Dec 2025 07:35
Ndio kwanza tumeanza je? Mfalme kojo pamoja na Malikia andwaa watachukua uamzi gani baada ya kusikia mtoto wao ni kipofu na je? General atafanyikiwa kumpata mtabili anayemtafuta kwa kitendo cha kumdanganya???. Tukutane sehem inayo fata.
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme

wanaonekana watumishi mbalimbali katika falme hiyo wakiwa wanahangaika huku na huku kutokana na jambo kubwa lililokuwa linaendelea usiku huo katika jumba hilo la kifalme.

"Kyaoooo mfalme,ni salamu iliyokuwa inatumika katika falme iyo ya ADELI
"Setuleeeeeee,mfalme aliitikia salamu"
"Mfalme Malikia Andwaa kajifungua mtoto wa kiume"
"Emesema????"
"Mfalme mkeo kajifungua mtoto wa kiume"
"Hahahahahaha ni furaha iliyoje katika jumba hili tukufu la kifalme ,pongenzi kubwa kwako bi yetunde kwa kazi kubwa uliyoifanya,umekuwa mkunga wa mda mrefu katika falme yetu hii na sasa ni mda wa wewe kupatiwa zawadi itakayofaa kwa kazi kubwa uliyoifanya"
"Mtukufu mfalme na fanya ivi kwa ajili ya kulinda ufalme wako, isingependeza kulipwa chochote...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-sehemi-ya-01-anza-nayo-ni-katika-ufalme-wa-adeli-majira-ya-usiku-katika-jumba-kubwa-la

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu-sehemi-ya
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

898
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

203
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest