Alisema hivo tu akakata simu... nilimpigia ili niweze kumtumia nauli wala hakupokea😰😰
Nilimwandikia msg mama naomba unisamehe nakupendaa🥹🥹akakaa kimya nilimtumia nauli nikamtumia na maelekezo bus la kupanda na linaoondoka kutoka kule kwetu..
Siku iliyofuata mmasai akatua mjini ana hasira vibaya mnoo yelewi ataning'oa shingo akinionaa😂😂
Itaendelea....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
niliingiwa na emotin za kulia pale nilipoisikia sauti ya mama ikiita hello mamaa leo umetukumbuka..
Niliachilia machozi huku nikimwambia ndiyo mamaa🥹🥹🥹shikamoo mama... akaitikia marahaba kwanini unalia??? Uko sawa kweli?.
Nikamwambia ndiyo mama niko sawa🥹🥹🥹lakini unalia🥺🥺🥺...nikamwambia samahani mama🥹
Ehee kuna nini niambie🥺 mama mimi🥹🥹🥹nimeee🥹🥹nimejifungua waa🥹🥹
kabla sijamalizia watoto nikamsikia mama akisema eeenheee🥺🥺hayo ndo ulienda kuyafanya huko zarina😰😰umejifungua mtoto na nani??
Miezi yote tisa ya mimba ukanificha we mtoto😭😭unataka kuishi maisha ninayoishi zarina😭😭mama alianza kulia na kunilaumu..
Ndo maana sikutaka uende mjini nilijua tu lazima uharibikiwe mwanangu😭 mama aliendelea kunilaumu...
Nilimuomba anisamehe japo hakupenda ila alinisamehe🥹🥹aliumia mno..
Mwanaume ulozaa naye yuko wapi??.. nikamwambia ata sijui aliko mama🥹🥹alinikimbiaaaaaa😔🥹😰
Pumbavu🥺🥺🥺mi nikajua unaenda...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-34-nilipiga-simu-ya-mama-ikaita-na-kupokelew
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..