Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Oct 2025
368 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Aliomba niketi nikaketi🙂alikuwa ananiangaliaaa mpaka nakwepesha macho🙈🙈swali la kwanza kabisa Kingston akaniuliza uko tayari kuwa mama??..
Nilimwambia ndiyo niko tayari😔😔 how old are you???... nikamwambia nina miaka 17😰😰..
Alitikisa kichwa kwa masikitiko🥹🥹ni kama vile alikuwa anajutia kwa alichokifanya😞😞Kingston alikaa kimya kwa muda badae akaniambia we ni mdogo sana🥺..
Umesoma mpaka level gani??. Nikamwambia nimeishia form one...why kwanini???
Unaweza kunieleza kidogo kuhusu familia yako??...nikamwambia its okay ninaweza..
Ilibidi sasa nianze kumwelezea kila kitu kuhusu mimi na familia yangu😔😔😔nilimdanganya pia kuwa nilishindwa kuendelea na masomo kwa sababu sikuwa na mtu wa kunisomesha🤣
Kingston alinipa pole kwa yote baada ya hapo akaniambia pale ndani siyo salama tena💔💔itabidi niondoke..
Mama weeee🥹🥹nitaenda wapi siwezi kwenda nyumbani na hii hali mama ataniua kweli vile kaka mama ataniua nikirudi na hii mimba😭
Nililia mno hiyo siku🥹🥹kwanza nilihisi nikiondoka pale ndani Kingston nitamkosa🙌🙌
Nilimwambia wewe kama hunitaki niache tu mimi niendelee na kazi nitailea mimba yangu mwenyewe wala sitokusumbua😭
Kingston aliniambia huwezi kufanya kazi na hiyo mimba zarina na pia unahitaji uangalizi wewe bado ni mdogo ni lazima urudi nyumbani ili mama akakuangalie mpaka utakapojifungua..
Nimeondoka kijijini kuja kufanya kazi niisaidie familia yangu ndani ya mwaka mmoja tu narudi nyumbani bila chochote kitu alafu et narudi na mzigo mwingine...
Nilimwambia Kingston bora aniue lakini nyumbani sirudi😭😭😭🙌siwezi kwenda kumuongezea mama yangu mzigo na ilihali mizigo aliyonayo hawezi hata kuimudu..
Usiwe mbishi zarina unatakiwa unisikilize kile ninachokuagiza ukifanye🥺🥺Kingston alianza kuwa mkali nikaona huyu asiniletee za kuleta nikaondoka chumbani kwake kwa hasira nikaenda jifungia chumbani kwangu...
Sikuwa tayari kukubaliana na yale maamuzi yake😢😢kibaya zaidi kwa muda ule sikuwa na hata senti tano..
Mimi siku zote nilikuwa nafanya kazi pesa namtumia mama yangu kijijini zimsaidie na wadogo zangu😢😢😢
Just imagine leo hii nirudi nyumbani na ujauzito sina hata pa kushika mfukoni sina hata mia we kuweza????
Niliusimamia msimamo wangu siondoki hapa bila kujua wapi naenda na kwa misingi gani 🥺🥺
Nilimwambia Kingston kama kweli ana huruma na udogo wangu na kama kweli anahitaji mtu wa kuniangalia mimi na mtoto aliyeko tumboni basi aweke kila kitu wazi kwa wazazi wake wao wataniangalia mimi..
Nini kitafuata???...unahisi Kingston atakubaliana na wazo la zarina,?.
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
Aliomba niketi nikaketi🙂alikuwa ananiangaliaaa mpaka nakwepesha macho🙈🙈swali la kwanza kabisa Kingston akaniuliza uko tayari kuwa mama??..
Nilimwambia ndiyo niko tayari😔😔 how old are you???... nikamwambia nina miaka 17😰😰..
Alitikisa kichwa kwa masikitiko🥹🥹ni kama vile alikuwa anajutia kwa alichokifanya😞😞Kingston alikaa kimya kwa muda badae akaniambia we ni mdogo sana🥺..
Umesoma mpaka level gani??. Nikamwambia nimeishia form one...why kwanini???
Unaweza kunieleza kidogo kuhusu familia yako??...nikamwambia its okay ninaweza..
Ilibidi sasa nianze kumwelezea kila kitu kuhusu mimi na familia yangu😔😔😔nilimdanganya pia kuwa nilishindwa kuendelea na masomo kwa sababu sikuwa na mtu wa kunisomesha🤣
Kingston alinipa pole kwa yote baada ya hapo akaniambia pale ndani siyo salama tena💔💔itabidi niondoke..
Mama weeee🥹🥹nitaenda...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-24-weee-niliogopaa-sijui-anataka-kusema-nini
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..