*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
Mama yangu alifurahi sana kuniona🥰🥰🥰kwetu palikuwa pamebadilika sana....
wala sikujua kama pesa nilizokuwa natuma nyumbani zilikuwa zinafanya mambo makubwa kiasi kile🥹
Yani ile pesa kidogo ya mshara wangu mama aliiwekeza kwenye ujenzi🥹🥹🥹nyumba ilifikia kwenye lenta🥺🥹
Mama aliniambia binti yangu niliona ni vyema pesa zako zifanye kitu ambacho kitabakia kama kumbukumbu kwenye maisha yako🥹🥹
Nilimkumbatia mama nikamwambia asante sana mama umefanya jambo kubwa sana😭😭
nililia na kujutia ni kwanini nilibeba mimba angalau ningeendelea na kazi tumalizie kujenga nyumba yetu🥹
Mama na wadogo zangu walijua ninalia kwa furaha lakini mwenzao nilikuwa na mazito ambayo hata sikuweza kuwashirikisha...
Nilitamani at least hata ningekuwa na pesa ya ziada niongezee mifuko ya simenti kwa ajili ya ujenzi lakini sikuwa hata na sh mia🙌..
Natakiwa nifanye juu chini hii nyumba iishe😭😭iwe kwa jua hata mvua lazima itakamilika tu..
Nilijiapia hivyo kisha nikalifuta chozi...
Niliendelea kubakia nyumbani kwetu week moja ikakatika ikafuatia week ya pili na siku zote hizo hakuna cha simu kutoka kwa Kingston wala sms🥺🥺..
Siku moja nilijitoa fahamu nikasema hebu wacha nimpigie🥳🥳🥳 ilikuwa mida ya mchana mchana niliamua kupiga simu ya Kingston..
Simu iliita ikakata bila kupokelewa🥺🥺🥺baada ya nusu saa nikapokea ujumbe et niko class...
Do! Hakuna hata nipigie badae yani niko class basi🥹🥹au sina bahati kwenye ulimwengu huu??, au niitoe na hii mimba nirudi kuendelea na kazi zangu?...
Kutoa mimba ilikuwa kimbembe😰😰siwezi kutoa🥹🥹acha nibaki nayo tu..
Muda ulipita ilipofika jioni nikajua sasa jamaa yuko nyumbani nikarudia kumpigia namshukuru Mungu simu ilipokelewa..
Alinijulia hali na kisha akaniuliza unaendeleaje?? Vipi unataka kurudi mjini,?..
Nikamwambia ndiyo nataka kurudi mjini kwa sababu navyoendelea kukaa hapa nyumbani mama atanigundua na italeta shida😞😞😞..
Okay kipi unachohitaji kwa sasa???... nikakaa kimya😩 kiukweli nilikuwa na shida sana na pesa lakini niliogopa kumuomba Kingston 🤣🤣
Tangu nimfahamu jamaa hajawahi kunipa hata buku😂🙌 sijui nimuombe leo?...
Em acha nijikaze niombe pesa niache ujinga🤣🤣liwalo na liwe bwana nilijisemea hivyo kisha nikamwambia Kingston nilikuwa na shida ya nauli ya kunirudisha Arusha..
Pamoja na pesa kidogo nina shida nayo🙂↔🙂↔huko kutetemeka sasa🤣🤣🤣mpaka nikawa nashikwa na kigugumizi😂😂🙌
Pesa unahitaji kiasi gani??. Aliniuliza🥰🥰🥰weeee kumbe ata so mchoyo😂 sikutaja kiasi mi nilimwambia yoyote tu..
Aliniambia atanitumia nikamwambia nitashukuru...
Hatukuweza kuongea zaidi tuliishia hapo jamaa akakata simu na baada ya muda mfupi alinitumia laki tatu kwenye simu🤩
Nilifurahi sana🙈🙈nilimtumia msg ya kumshukuru hata hakuijibu🤣🤣🤣nilichukua ile pesa nikaigawa nusu nikampa mama ingine nikabakia nayo ya kunirudisha mjini..
Baada ya kupata pesa ilibidi nianze maandalizi ya kurudi mjini...sikuwataarifu wazazi wa Kingston kuwa narudi maana sikuwa narudi kwao nilikuwa naenda kwangu..
Mama yeye nilimuaga nikamwambia narudi kazini wala hakujua kama nina mengi niliyomficha..
Safari kutokea kijijini mpaka jijini Arusha iliwadia na nilipofika Arusha usiku nilipokelewa na Kingston mwenyewe nyiee🥰🥰
Alinipeleka mpaka kule makao mapya🥰🥰akataka kuondoka usiku huohuo nikamwambia please💋💋usiniache peke yangu🫦
Niliing'ata midomo kwa hisia huku nikiwa namng'ang'ania Kingston abakie pale ndani🙈🙈nilitamani kurudia kale ka mchezo kama ka siku ile..
hahahaaa jamaa atakubali kubaki??.. fuatulia sehemu inayofuata..
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni