Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*      *SEHEMU YA 40*  Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
Gonga94 · Stories

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilitamani siku moja mimi nayeye tufunge ndoa awe mme wangu hayo ndo malengo yangu kwake..

Siku tuliyopanga Kingston aje kuwaona watoto iliwadia na kweli asubuhi mida ya saa nne the Boy aliwasili akiwa na zawadi kadhaa za watoto na za kwangu mama watoto🤗

Nilimpokea kwa shangwe na vigelegele🥳🥳🥳na muda huo nilikuwa nimesha muita yule kijana aje kunichukulia mapicha ya kutosha🥳🥳

Huyo kijana ni mfanyakazi wangu wa kwenye restaurant nilimuona ni kijana msitaarabu sana mpole na mwenye nidhamu sana thas why nilimtumia kwenye hii mipango yangu..

Swala la picha lilianzia kule mgahawani siku ya kwanza Kingston anakuja kuniona kuna picha kadhaa pia nilimwambia huyo kijana anipige nikiwa na Kingston..

Kingston alifurahi sana alipowaona watoto wake.... Damu yangu hii🥹🥹🥹alijisemea huku akinikumbatia na kuniambia asante sana kwa kuwa mwanamke jasiri na mama bora kwa watoto wangu🥹🥹🥹

Yote hayo wakati yanaendelea tayari camera ya siri ilikuwa inarecord kila kitu🥰🥰🥰...

Siku hiyo tulikula tukanywa tukafurahi ilipofika jioni Kingston aliondoka lakini aliniomba sana nimruhusu aweze kuwa karibu na watoto wake..

Nilimwambia it's okay hilo halina kipingamizi... nilizidisha ukaribu kwa Kingston kiasi kwamba asubuhi mchana mpaka usiku alikuwa anakuja kula pale mgawahani kwangu...

na kila weekend tukawa tunatoka wote kwenda kuenjoy na twins wetu🥳 ukaribu ule ulimfanya Kingston aanze kunionea wivu sana😩😩

Muda wote akawa anataka kujua niko wapi nafanya nini na kibaya zaidi kilichozidi kumchanganya ni vile nilivokuwa simfuatilii wala kumuuliza chochote juu ya mahusiano yake yeye na lulu🤣🤣🤣...

Kutokumfuatilia kwangu Kingston kulimfanya aamini kuwa mimi nina mwanaume na ndo maana sina shida naye🤣🤣🤣..

Sikuwa na mwanaume ila ni mbinu tu niliamua kuitumia ili ajilete mwenyewe🤣🤣 unajua hao nao ukiwafuatilia wanajiona sana cake😂😂😂...

Jamaa alizidisha wivu mpaka akaanza kuwa analala kwangu😴😴mdogo mdogo tukajikuta kwenye huba zito mapenzi ndindindi💋💋

Baada ya kuhakikisha kuwa Kingston sasa hawezi kuchomoka mikononi kwangu....

Kuna mchezo niliamua kuucheza😴😴😴 kama mnakumbuka niliwaambia kuna picha zilipigwa kwa siri bila Kingston kujua..

Zile picha nilienda kuziweka kwenye picha mbao alafu siku moja mchana kweupeee nikamtuma mtu azipeleke kule ofisini kwa Kingston..

Zilipelekwa picha tatu moja nikiwa mimi na yeye tunakiss🤗🤗🤗picha ya pili akiwa amewabebelea twins wake🤪🤪na picha ya tatu tuko wote mimi yeye na watoto🥳

Zile picha zilikuwa kubwa kama unavyojua picha mbao huwezi kuificha mfukoni😂😂😂inamaana kila mfanyakazi lazima angeziona tu🥳🥳🥳

Nyieeee nyieeeè picha linaanza siku picha zinapelekwa zilipokelewa na lulu maana yeye ndo receptionist wa hapo ofisini kwao🥳🥳🥳...

Alipoziona picha baraaa likaanza watu wakadundana humo humo ofisini wakatoleana matusi mpaka ya nguoni wakaachania hapohapo🤪 vita ya panzi furaha ya kunguru😂😂😂kunguru ndo mimi hapa zarina🤗

Baada ya hilo varangati mwanaume akaenda akachukua mabegi yake akahamia mjengoni💃🏼💃🏼 nikajichukulia Dodo bila hata kutumia nguvu😂

Lulu na Kingston walikuwa wapenzi tu bado walikuwa hawajaoana wala kuchumbiana🤣🤣🤣hata mtoto tu alikuwa hajamzalia🤣🤣🤣

Baada ya kumchukua Kingston kutoka kwa lulu tulianza kuishi wote kwa miezi kadhaa nikamwambia baba la baba sa sikia nikupe mchongo🥳🥳

Twenzetu Arusha kwa wazazi wako ukawaombe radhi muweke mambo sawa🤗🤗🤗

baada ya hapo nitambulishe kwenu nikutambulishe kwetu tufunge ndoa tulee watoto hakuna muda wa kupoteza😴😂😂😂...aku chelewa chelewa nitakuja kunyang'anywa tena🤣

Mshikaji wala hakupinga tulikwea pipa mpaka Arushani pale kwa wakwe tukiwa full family hatujali wala nene🥳🥳🥳

Mama mkwe alipotuona akataka kuleta za kuleta tukamwambia oya maza sikiliza😴😴😴sisi hapa ndo tushapendana upende usipende ndo tunaenda kuoana🥳🥳🥳🥳

Mama ilibidi aachilie kinyongo chake akaanza kucheza pale na wajukuu akaniomba na msamaha siku ile alinikataa akanifukuza na badae akaanza kunizushia namchukua mzee wake mie nilimsamehe kwa yote..

Baada ya hapo tukaenda kwetu💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼nikatolewa posa mahari ikaletwa...

baada ya hapo ikaandaliwa harusi fulani hivi ya kishua... moja ya marafiki niliowaalika kwenye harusi yangu ni Tristan jamaa alishawahi kunisaidia sana nisingeweza kumsahau kirahisi hivo..

Tristan alifurahi sana kuniona nikiwa mshindi🥳🥳alinipongeza nikamshukuru kwa wema aliowahi kunitendea basi bwana mimi na Kingston tukafunga ndoa takatifu..

Wanasemaga mshindi ni yule anayetangazwa kanisani my wenu mimi ndo niliibuka mshindi katika kinyang'anyiro cha kumnga'ang'ania Kingston🤣🤣🤣wenzangu Mary na lulu walizubaa mie nikajichukulia kombe...

Bwana ninaye na ninatamba naye🥳🥳🥳Na mpaka leo hii tuko wote tunapendana sana🥰🥰

kwa sasa tuna watoto watatu wa kike mmoja wa kiume wawili hatuna mpango wa kuongeza kwa sasa ni kukulana tu na kuenjoy maisha🙈🙈...byeeeeeeeee...

*mwisho*

Maoni

You're not logged in

Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..

Nilitamani siku moja mimi nayeye tufunge ndoa awe mme wangu hayo ndo malengo yangu kwake..

Siku tuliyopanga Kingston aje kuwaona watoto iliwadia na kweli asubuhi mida ya saa nne the Boy aliwasili akiwa na zawadi kadhaa za watoto na za kwangu mama watoto🤗

Nilimpokea kwa shangwe na vigelegele🥳🥳🥳na muda huo nilikuwa nimesha muita yule kijana aje kunichukulia mapicha ya kutosha🥳🥳

Huyo kijana ni mfanyakazi wangu wa kwenye restaurant nilimuona ni kijana msitaarabu sana mpole na mwenye nidhamu sana thas why nilimtumia kwenye hii mipango yangu..

Swala la picha lilianzia kule mgahawani siku ya kwanza Kingston anakuja kuniona kuna picha kadhaa pia nilimwambia huyo kijana...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-40-mipango-niliyokuwa-nayo-ni-kumuondoa-king

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35*  Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38*  Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39*  Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 33*  Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 28*  Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37*  Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*  *SEHEMU YA 31*  Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34*  Nilipiga simu ya mama  ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32*  How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30*  Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27*  Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26*  Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29*  Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24*  Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 23*  Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo  ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22*  Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

683
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

652
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19

637
FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18

543
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20

438
BLACK BUTTERFLY 🦋 3

BLACK BUTTERFLY 🦋 3

119
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

63
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.46K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.75K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.21K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.54K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.45K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.4K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest