Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
21 Oct 2025
247 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Iko mafichoni huko sehemu fulani hivi hakuna mzunguko wa watu wengi ndo tulienda kutibiwa huko..
Mimi na Kingston tulikaribishwa katika chumba cha dactari tukamkuta Dactari mmoja hivi mbaba mstaarabu sana..
Karibuni sana vipi habari zenu??..tukaitikia salama Dactari..
Ninyi ni wanandoa??.... tukabaki tunatizamana😂badae Kingston akajibu hapana Doctor sisi siyo wanandoa..
Okay sawa kati yenu nani anaumwa??? Nikasema ni mimi hapa..
Dactari aliomba niingie mimi tu ninayeumwa Kingston akatakiwa kusubilia nje...
Hakuwa mbishi alikubali kusubilia nje mimi nikaingia kwa Dactari😴😴😴..
Nilielezea ninavyojisikia from A up to Z🤭🤭🤭iliandaliwa report ikatumwa maabala nikaambiwa niende nikafanye vipimo..
Nilichukuliwa vipimo wakati huo Kingston alikuwa ananisubilia pressure iko juu juu ni anajikaza tu🙈🙈
Baada ya kuchukuliwa vipimo majibu yalitoka nina mimba🙌🙌niliyapokea yale majibu kwa uoga wa hali ya juu mpaka Dactari akaniuliza mbona unatetemeka sana kuna shida??..
Nilijikaza tu nikamwambia hakuna shida yoyote😰😰nilitoka na majibu yangu mkononi nikasogea sehemu alipoketi Kingston natetemeka nyieee🙈😺
Jamaa aliponiona tu na ile hali akajua tayari kishaumana😂😂 aliniomba ile karatasi ya vipimo akaiangaliaaaaa baada ya hapo akaiweka mfukoni🙌🙌🙌..
Tulitoka kwenda mapokezi kulipia baada ya hapo tukaondoka😩😩😩njia nzima Kingston alikuwa kimya🙌🙌..
Sehemu tulipokuwa inaonekana nayeye ni mgeni maeneo yale...aliendesha gari umbali kidogo kutokea pale hospital akasimama..
Akaniuliza unajisikia kula nini??...
Mi nikakaa kimya nikawa namwangalia tu😰😰😰nilitaka at least aseme chochote kuhusu mimba kwanini haongei😰..
Alipoona sijibu chochote akaniuliza tena utakula nini nataka nitafute sehemu ya chakula tafadhari hebu nijibu nachokuuliza...
Sijisikii kula kaka😔😔 why??? Aliuliza kwa nini nikabaki nakodoa tu macho sina majibu😟😟..
Unatakiwa ule ushibe okay??? Nikamwambia sawa😞😞..haya niambie utakula chakula gani nitafute sehemu tutakapokipata...
Nilimwambia najisikia kula menyu fulani😞😞 akatoka kwenye gari akawafuata watu waliokuwa jirani na tulipoegesha gari nahisi alienda kuwauliza sehemu tunapoweza kupata chakula..
Alielekezwa akarudi kwenye gari tukaondoka pale mpaka kwenye restaurant moja hivi ndipo tulipokula hapo baada ya hapo tulirudi nyumbani..
Mpaka muda huo bado Kingston alikuwa hajatia neno juu ya ujauzito..
Tumefika nyumbani kila mtu akaelekea chumbani kwake😓😓huko chumbani nilikuwa nalia tu nakujiuliza itakuwaje😔😔
Ulipita muda kidogo Kingston akaniita chumbani kwake akaniambia anataka tuzungumze...
Ni mazungumzo juu ya nini??.
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya tisa
(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mbwana toa mkono uko. ( Mimi naendelea ...
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tum
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, teg...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
Iko mafichoni huko sehemu fulani hivi hakuna mzunguko wa watu wengi ndo tulienda kutibiwa huko..
Mimi na Kingston tulikaribishwa katika chumba cha dactari tukamkuta Dactari mmoja hivi mbaba mstaarabu sana..
Karibuni sana vipi habari zenu??..tukaitikia salama Dactari..
Ninyi ni wanandoa??.... tukabaki tunatizamana😂badae Kingston akajibu hapana Doctor sisi siyo wanandoa..
Okay sawa kati yenu nani anaumwa??? Nikasema ni mimi hapa..
Dactari aliomba niingie mimi tu ninayeumwa Kingston akatakiwa kusubilia nje...
Hakuwa mbishi alikubali kusubilia nje mimi nikaingia kwa Dactari😴😴😴..
Nilielezea ninavyojisikia from A up to Z🤭🤭🤭iliandaliwa report ikatumwa maabala nikaambiwa niende nikafanye vipimo..
Nilichukuliwa vipimo wakati huo Kingston alikuwa ananisubilia pressure iko juu juu ni anajikaza tu🙈🙈
Baada ya kuchukuliwa...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-23-tulienda-kwenye-hospital-moja-hivi-iliyok
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..