Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
04 Nov 2025
865 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
baada ya hapo nikaitunza kwa ajili ya kuituma hapo keshooo..
Mwenzenu siku hiyo usingizi haukuja🙁🙁siku iliyofuatia mimi ndo nilikuwa wa kwanza kuamka🤣🤣🤣..
Nilijizungusha zungusha mpaka saa moja na nusu ilipofika nikaingia kuoga baada ya hapo nikajitayarisha kuelekea ofisini🙈🙈
Nilipofika tu ofisini nikamuita yule kijana ni mojawapo ya watumishi wa pale ofisini kwangu..
Nikamtuma anipelekee ile bahasha yenye barua ofisini kwa kina Kingston na ahakikishe mhusika ndo kaipokea😓😓..
Barua ilipelekwa mida ya saa tatu hivi za asubuhi... ilipofika saa nne na nusu nikaona namba ngeni inanipigia😩😩..
Nilienda kupokelea chooni🙈🙈 ili kama ni Kingston akiniumiza nililie huko chooni weee mpaka nikomee🤣🤣🤣..
Baada ya kupokea simu kweli nikasikia sauti ya the Boy Inaita Helloo..
Nyieeeee nilisisimka mwili mzima mapigo ya moyo ndo usiulize🙈🙈🙈...
Ilibidi sasa namimi niitikie Helloo😓😓..Zarina?.. nikaitikia yes..
Ni mimi Kingston where are you right now???.. uko wapi saivi??...
Nikamwambia niko kazini🥹🥹 where??. Nikamwambia pale ulipokuja kula jana🥹🥹... really?.. nikamwambia yes..
Nikija hapo saivi nitakukuta??... nikamwambia ndiyooo yani mpaka nalia nyieee🙈🥹..
Okay mamaa nitakuja hapo sasa hivi... nikamwambia sawa Daddy I'm waiting for youuuu🥹🥹🥹...
Akasema okay then akakata simu😔😔😔.. nilitoka kule chooni nikaenda kukaa parking kwenye gari😔😔😔baada ya muda mfupi nikaona inaingia gari pale parking na haikupita muda Kingston akanipigia tenaaaa🙈🙈🙈..
Nilipokea akaniambia toka nje kuna gari fulani fulani hapo ndo niko humo nikamwambia okay Daddy I'm coming yani naliaa kuliaaaaa🙈🙈..
Unajua bwana baada ya kujifungua nilinenepa kidogo baadhi ya maeneo....
haswaa huku kwenye hips na makalioni yani ukiona utasema nimeenda kuchonga shepu uturuki lakini walaaa Ni nachoro🤣🤣🤣
Zarina wa sasa nilikuwa siyo yule zarina kijakazi kadogo dogo kimbaumbau🤗🤗🤗huyu zarina wa sasa ni Boss lady mwenye confidence yake🤗🙌
Nilitoka kwenye gari langu nikamfuata Kingston pale kwenye gari lake🥳🥳 alishuka akanifungulia mlango huku mimacho ikiwa imemtoka kodo🤣
zarina how are you mama... nikamwambia I'm very fine...you??? Akajibu I'm fine too..
tuli hug🫂🙈 sikutamani kumuachilia🙈🙈nilitamani anikumbatie tu nilie kifuani kwake anibembeleze anifute machozi😩🙈🤗
Na kweli aliponikumbatia tu mi nikang'ang'ania kifuani🙈🙈🙈alipojaribu kunitoa nikaanza kulia🙈
Akaanza kunibembelezea palepale kifuani kwake nililia mpaka nikaloanisha nguo yake🙈🙈🙈..
Alinipa maneno matamu na mtu ukishampenda unamwelewa kwa haraka😓😓nilinyamaza pale mshikaji akaniomba nimpeleke waliko watoto akawaone😰😰..
Nilimwambia it's okay nitakupeleka lakini siyo sasa hivi...
kabla ya kukupeleka walipo watoto unatakiwa ukajiandae na ujitayarishe kuwa unaenda kuwaona watoto wako..
Kingston aliniambia ni sawa nimekubali lakini kabla ya yote naomba kwanza unisamehe...
Nilimwambia tu kuwa nilishamsamehe ndo maana nimemtafuta...
Tuliongea ongea pale tukapanga weekend ijayo baba atakuja kuwaona watoto wake🙈..
Nilipanga Kingston akija tu kuwaona watoto huo ndo utakuwa mwisho wa mahusiano yake na lulu kuna mchezo nilipanga kumchezea wa hatari sana..
Ni mchezo gani,... fuatilia sehemu inayofuata...
Mwandishi Babie Love
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Hapo ni Golden Harvest Studios mwaka 1972 pale ambapo kijana mdogo Jackie Chan alijihisi anauwezo sawa na mpiganaji bora wa dunia wa muda wote Bruce Lee,Na
kutaka kumpandishia Bruce Lee ila watu wakaingilia na Jackie Chan mwenyewe anasema alishukuru watu waliingilia na pia b...
🔞 ZOA ZOA YA BABA KAMLETA MLIWA NDOGO KWENYE NDOA🔞 Sehemu ya kumi. 👉 Uwiiiii uwiiiiiiiiiiiiiiii inazama usiingize kwa nguvu Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah...👇
Mke wa kaiwasha akajisusa mboo ikazama mazima...akawa anafilwa kama alivyokuwa anataka...na baba mpaka akamaliza bao la...
MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️🔥 SEHEMU YA 01...05 Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born
Ibrahim tulilelewa na mama tu baada ya baba yetu mzazi kufariki kipindi nipo na miaka saba hapo mama yangu ndio ana uja...
🔞 ZOA ZOA YA BABA KAMLETA MLIWA NDOGO.6..10 KWENYE NDOA🔞 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah yote yako nifanye kote kote asante Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah....👇
Baba anapagawa zaidi na makelele atimaye akajikuta dole kazamisha lote mkunduni na anampamp mdogo mdogo uko uko mkundun...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
baada ya hapo nikaitunza kwa ajili ya kuituma hapo keshooo..
Mwenzenu siku hiyo usingizi haukuja🙁🙁siku iliyofuatia mimi ndo nilikuwa wa kwanza kuamka🤣🤣🤣..
Nilijizungusha zungusha mpaka saa moja na nusu ilipofika nikaingia kuoga baada ya hapo nikajitayarisha kuelekea ofisini🙈🙈
Nilipofika tu ofisini nikamuita yule kijana ni mojawapo ya watumishi wa pale ofisini kwangu..
Nikamtuma anipelekee ile bahasha yenye barua ofisini kwa kina Kingston na ahakikishe mhusika ndo kaipokea😓😓..
Barua ilipelekwa mida ya saa tatu hivi za asubuhi... ilipofika saa nne na nusu nikaona namba ngeni inanipigia😩😩..
Nilienda kupokelea chooni🙈🙈 ili kama ni Kingston akiniumiza nililie huko chooni weee mpaka nikomee🤣🤣🤣..
Baada ya kupokea simu kweli nikasikia sauti ya...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-39-baada-ya-kuiandika-hiyo-barua-pale-mwisho
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..