Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
03 Nov 2025
768 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hapo njiro 🤗🤗si akaanza kunisaka kuwa natembea na baba Kingston🥳
Bahati nzuri lile jumba nilikabidhiwa hatimiliki zote na kwenye hati kuliandikwa majina ya twins wangu🥰🥰..
Zile hatimiliki nilimpa mama akaenda nazo kijijini🥳🥳🥳sie tukabaki kwenye liapatiment tunakula maisha😂😂
Mama Kingston alianza kunisaka na maaskari hataki niende ofisini kwenye kampuni yao na akawa anataka niondoke kwenye lile jumba walilopewa wajukuu zake..
Kumbuka hapo hajawai kuwaona watoto ye kakomalia watoto ni wa mume wake mimi natembea na mme wake na mme wake ameanza kunihonga mali alizochuma naye nyiee😟😟
Nilichafuliwa jina vibaya mnoo😰😰😰niliacha kwenda kwenye ile kampuni yao baba akaniambia hapa Arusha siyo salama tena..
Naweza nikafa kabla Kingston hajajitokeza na huyu mama akakusumbua..hapa cha kufanya tuuze hiyo nyumba tutafute nyumba Dar ukaishi huko na watoto kwa amani..
Nilimkubalia mzee lakini weee lile jumba liliniuma😩😩😩baba aliniambia nisijali atahakikisha huko Dar nimepata nyumba nzuri zaidi kuliko hata ile ya Arusha..
Nyumba ilipigwa mnada muda huo huko Dar kukaanza kutafutwa nyumba ingine ili nihamie huko...
Nyumba ya arusha iliuzwa kimya kimya bila mama kujua baada ya hapo tukaendelea kubakia mpaka pale nyumba itakapo patikana Dar es salaam..
Baba Kingston alimtuma yule kijana rafiki yake huyu kaka anaaminiwa sana na mzee nayeye ndo anayejua siri nyingi za mzee🤗
Huyo ndo alikwenda kututafutia nyumba Dar es salaam namshukuru Mungu nyumba ilipatikana ya kununua
ikakaguliwa ikafanyiwa finishing niliyoitaka mimi baada ya hapo rasmi tukaondoka Arusha mimi na wanangu pamoja na Dada wa kazi tukahamia Dar es salaam..
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kufika Dar es salaam 😂😂🥰nilikaa nikazoea mazingira mzee akaniambia niangalie sasa biashara ambayo ninaweza kuiendesha huko Dar..
Nilimuomba anipe muda wa kufikiria🤗🤗mwenzenu mimi sijasoma niliwaza sana biashara ambayo ninaweza kuimudu nikaona wacha nifungue restaurant🥳🥳..
Restaurant fulani hivi la kibabe litakalokuwa na menu za kila aina..
Nilimshirikisha mzee akasema hiyo ni nzuri sana maana watu kila siku lazima wale🤝❤️..
Yule yule kijana mtunza siri za mzee akatumwa aje kunitafutia eneo zuri kwa ajili ya hiyo biashara..
Eneo lilipatikana likaanza kufanyiwa ukarabati🥰🥰baada ya eneo kukamilika tukaanza kutafuta wapishi...
My wenu nikawa Boss😂😂😂et namimi nikaanza kuwafanyia watu interview waliokuja kuomba kazi kwenye mgahawa wangu nyieee🤣🤣🤣🙌🙌
Maisha ya Dar niliyafurahia sana kwa sababu huku ndiko nilikokuja kukutana na Kingston kwa mara nyingine...
Ilikuwajeee??...
Itaendeleaaaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na f...
🔞 ZOA ZOA YA BABA KAMLETA MLIWA NDOGO KWENYE NDOA🔞 Sehemu ya kumi. 👉 Uwiiiii uwiiiiiiiiiiiiiiii inazama usiingize kwa nguvu Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah...👇
Mke wa kaiwasha akajisusa mboo ikazama mazima...akawa anafilwa kama alivyokuwa anataka...na baba mpaka akamaliza bao la...
MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️🔥 SEHEMU YA 01...05 Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born
Ibrahim tulilelewa na mama tu baada ya baba yetu mzazi kufariki kipindi nipo na miaka saba hapo mama yangu ndio ana uja...
🔞 ZOA ZOA YA BABA KAMLETA MLIWA NDOGO.6..10 KWENYE NDOA🔞 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah yote yako nifanye kote kote asante Aaaaaaah..mmmmmmnh..aaaasssssh..aaah....👇
Baba anapagawa zaidi na makelele atimaye akajikuta dole kazamisha lote mkunduni na anampamp mdogo mdogo uko uko mkundun...
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME). Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
ILIPOISHIA....... Haikupita mda watu walianza kuja kila mtu alifika na kumpiga kibao na kukusanya fundo la mate mdomoni...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
hapo njiro 🤗🤗si akaanza kunisaka kuwa natembea na baba Kingston🥳
Bahati nzuri lile jumba nilikabidhiwa hatimiliki zote na kwenye hati kuliandikwa majina ya twins wangu🥰🥰..
Zile hatimiliki nilimpa mama akaenda nazo kijijini🥳🥳🥳sie tukabaki kwenye liapatiment tunakula maisha😂😂
Mama Kingston alianza kunisaka na maaskari hataki niende ofisini kwenye kampuni yao na akawa anataka niondoke kwenye lile jumba walilopewa wajukuu zake..
Kumbuka hapo hajawai kuwaona watoto ye kakomalia watoto ni wa mume wake mimi natembea na mme wake na mme wake ameanza kunihonga mali alizochuma naye nyiee😟😟
Nilichafuliwa jina vibaya mnoo😰😰😰niliacha kwenda kwenye ile kampuni yao baba akaniambia hapa Arusha siyo salama tena..
Naweza nikafa kabla Kingston...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-37-mama-kingston-bwana-alikuja-shituka-nikiw
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
Maoni