Kwanza kila mtu akashtuka sana maana wamezoea kunionea muda wote, wamezoea kuniona mnyonge tu hivyo Leo ni Mara ya kwanza wanaona huu ukichaa wangu ambao niliachana nao tangu tu nilipoingia kwenye penzi la Kijana wao hamad.
My zangu iko hivi, Sawa Mimi ni Mtoto wa shekhe, Sawa nimelelewa kwenye mazingira ya dini lakini kwa upande wangu mwingine Mimi ni Chizi mpaka Chizi Tena Yaani akili yangu ni shwaaaah ndio maana Neha alikuwa akinishangaa nimekuwaje.
“Hamad unamuangalia mke wako fanya kitu “
Alizungumza mama mkwe, kWa sauti ya unyonge hamad akajibu.
“Hiyo ndio hali halisi kwa sasa kwenye ndoa yangu mama, Shamsa amekuwa mbogo umu Ndani ndio maana naitaji sana msaada wenu”
“We hamad nawe ni Chizi kweli Yaani, Yaani huyu msichana anaanzaje kukuendesha kama hivyo, haya mambo ya taraka mmefikia wapi ??”
“Kufika wapi vipi mama na nimeshakuambia kila kitu, Kiukweli mama nachanganyikiwa, huyo Hadija nae ndio ananivuruga kabisa kaondoka Jana usiku anasema awezi kuishi hapa mpaka pale Shamsa atakapoondoka “
Wakati mazungumzo Yao yanaendelea Mimi nilikuwa zangu chumbani kwani baada ya kumchapa kibao Wifi yangu nikaondoka kwa mwendo wa haraka wasije wakanichangia bure 😂🙌.
Wanafamilia walibaki wakijadili hapo mie nikajilaza zangu Sina ili Wala lile Yaani sijali loloseeeeeh 😂 Ila siku hii familia ikinishika sijui nitalia kilio gani maana nawapandisha hasira sana tu.
Majila ya Saa 3 asubuhi nikajiandaa zangu kwani Neha aliniambia Kuwa yupo njiani anakuja kunifuata.
KWa siku hii Bwana nilivaa mavazi ya tofauti na Yale ambayo Nimekuwa Nikivaa kila siku, Yaani Mimi ni mtu wa kuvaa magauni marefu na Makubwa sana lakini muda mwingine ni madela ambayo yamepauka sana kwani hamad aliacha kuninunulia nguo kitambo sana.
Mavazi ambayo nimevaa ameninunulia Neha wangu, Yaani huyu msichana Mungu anitunzie tu, nilipigilia jeans yangu nzuri kabisa, nikavaa na top yangu nyeupe Laba Kali na kinai Nai changu huyo nikatoka nje.
“Mtumeeeeeh “
Hamad alishtuka baada ya kuniona vile nilivyovaa, Mwenyewe alikuwa akinizeesha tu halafu muda huu anabaki akishtuka tu Kama hana akili nzuri.
“Unaenda wapi mke wa mtu wewe. ??”
Mama mkwe wangu aliniuliza.
Niligeuka tu na kumuangalia na pasi na kuzungumza kitu nikataka kuondoka lakini hamad akaniuliza kWa sauti ya hasira sana.
“Shamsa unaenda wapi ??”
“Oooh babe, nilisahau kukuambia, Kama unavyojua mimi uwa sikufichi vitu, naenda kazini mume wangu ili nisiendelee Kuwa Mzigo kwenye maisha yako, tutaonana baadae mume wangu “
Nilijibu kisha huyo nikaondoka zangu.
Aaaaah my zangu Kwanini amkuniambia kamaa uku gym ni mambo mvulugano uwiiiiih hawa Wakaka wa gym jamani 🥹 niseme tu ukweli, katika maisha yangu yote nilikuwa naamini Kuwa hamad ndiye mwanaume mzuri na Mwenye mvuto kuliko wanaume wote wale Ila Leo hapana kwakweli hamad ni toleo la mwisho 😂🙌 Yaani Kama kwenye Kiwanda cha mabati Basi hamad ni Yale mabati ambayo yanaharibikaga akaaah hii gym Ina Wakaka wazuri sana.
“Mrembo utatuma kinywaji gani ??”
Aghaaaaah kwa mume naitwa tutusa uku gym nimeanza kuitwa mrembo na ndio kwanza nimefika 😂🙌 hamad baba kazi unayo.
Aaah ili swali Bwana niliulizwa na boss kubwa Yaani mmiliki wa gym, Basi Mwenyewe wa sauti ya utulivu nikajibu.
“Maji tu yananitosha “
“Aaaah acha zako wewe Kwanini unywe maji ? Agiza chochote kile ata Ukitaka red wine unapata “
Hapo kwanza Mimi na Neha tukaangaliana na kutabasamu kwa haraka mkaka huyu akazungumza.
“Natania mwaya Sina Pesa ya red wine 🍷 Msije mkanikaba kwakujua Mimi Tajiri bure “
Alimaliza kuzungumza kisha huyo akaondoka zake.
“Wewe hawa Wakaka Mbona wazuri jamani “
Nilimwambia Neha baada ya kubaki Mimi na yeye.
“Aaaah wewe Tena, unataka kusema hawa Wakaka wamempita hamad wako ??”
“Achana na masuala ya hamad nawe, Yaani hamad naona Kama anachekea chooni tu 😂🙌, aaah Walahi hii ndio maana hali ya tembea uone “
Muda huo Neha aliganda akiniangalia tu, nilivyoona Kuwa ananiangalia sana nikamuuliza.
“Mbona unaniangalia sana shida nini ??”
“Naweza kusema Kuwa sasa hivi ndio namuona Shamsa wangu, huyu ndiye Shamsa ambaye nilikuwa nikimfahamu, imara, anajiamini lakini pia Mwenye tabasamu pana muda wote usoni mwake “
Daaah nilijikuta nikianza kupata huzuni, ndoa yangu na hamad imebadilisha kila kitu kwenye maisha yangu, labda Kama kipindi kile nisingefanya ujinga Basi Leo hi ningekuwa na maisha tofauti kabisa 😫🥹 Sijui Kwanini sikusikilizaga watu ambao walinionya kuhusu hamad hapo mwanzo.
Neha aliweza kuelewa huzuni yangu kwa utulivu akazungumza.
“Ujachelewa Shamsa, una kila nafasi ya kutengeneza maisha yako, ndoa sio kitu kibaya lakini inategemea Unakutana na Nani, kitu ninachoweza kusema kwa sasa mkabizi Mungu kila kitu kipenzi, na kala hamad ndio fungu lako Basi muombe Mungu ambadilishe”
Aaahh haya Maneno nilikuwa nikiyatamani sana kusikia lakini sikuwa na mtu wa kuniambia lakini hatimaye my wangu ameniambia.
Basi muda ulisonga pale kisha Mimi na boss wangu tukakubaliana pale na kusaini MKATABA kisha Mimi na Neha tukaondoka.
Aaah Neha alikuwa Anaelewa sana situation yangu, kwa kutumia Pesa yake mwaya akanipeleka na kunifanyia shopping ya nguo kadhaa ambazo zingeweza kunisaidia pale kazini kwangu.
Baada ya kila kitu nikarudi Nyumbani na kuendelea na majukumu yangu Kama mama wa watoto wangu.
“Shamsa ni muda wa wewe kuondoka umu Ndani na kuniacha niishi kwa amani “
Alizungumza hamad baada ya kuja jikoni na kunikuta nikiendelea na mapishi.
Niligeuka na kumuangalia kwa muda kisha nikamuuliza.
“Taraka zangu ziko tayali au ??”
“Shamsa umekuwa na Jeuri sana, yani BADALA ya kupiga ata goti na kuomba msamaha ndio kwanza unaulizia taraka kweli, sasa sikia nikija kusikia Kuwa una mwanaume mwingine nje Walahi Tena nitatoka na shingo yako”
“Mimi sio malay* Kama wewe hamad “
Eeeeh gafla tu hamad akanivuta kwa nguvu sana kwa kunikunja na kuniuliza.
“Umesemaje wewe ? Shamsa Nafikili umesahau Kuwa Mimi ndio mwanaume kwenye hii Nyumba ngoja Nikuoneshe “
“Hamad unaniumiza ujue “
Nililalamika maana alikuwa akiniumiza sana.
Kwa haraka hamad akazima jiko na kuanza kunikukusa kwenda chumbani, Tena alikuwa akinipeleka kwenye chumba ambacho alinifukuza na kubaki na Khadija.
“Hamad unaniumiza mwenzio “
“Wewe si kiburi wacha nikuoneshe mimi ni Nani umu Ndani “
Eeeh kwanza kufika tu sebuleni nilianza kuchezea kichapo cha kutosha, Tena Leo hii nilipigwa mbele ya watoto wangu ambao walibaki wakilia tu pasi na Kuwa na masaada wowote ule kwangu.
Baada ya kipigo cha muda mrefu, nililegea mwili mzima sikuwa ata na nguvu ya kujisogeza, hamad akanikukusa moja kwa moja mpaka chumbani na kunisukumia kitandani.
“Hamad unataka kufanya nini ??”
“Na ili Jina la hamad likome kwenye mdomo wako Sawa, Mimi ni mume wako na iwe hivyo Sawa!! Niite mume wangu Niite mume Sawa. “
“Hamad please umeshanipiga vya kutosha “
Hamad Wala hakujali alichofanya ni kusogea Karibu yangu na kulalua kijora changu nilichukuwa nimevaa na bila kupoteza muda akaanza kucheza na mwili mpaka pale alipoona Kuwa amerizika.
“Hamad unataka kuniua au ??”
Nilimuuliza baada ya kumuona akitumia vitu vya kuongeza nguvu za kiume.
“Shamsa Leo kufa ufi ila cha moto utakiona “
Majilani nafwaaaaah mje kunisaidia mimi peke yangu siwezi Tena 🥹🥹
.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments