Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 13        KWa mwendo wa taratibu nikamsogelea sabra na kWa sauti ya chini na yenye u serious
Gonga94 · Stories

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 13 KWa mwendo wa taratibu nikamsogelea sabra na kWa sauti ya chini na yenye u serious

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
sana nikamwambia.

“Katika vitu ambavyo sitaki utani kabisa Basi ni watoto wangu, sabra Kaa mbali na mambo ya watoto wangu”

Wala sikutaka kupoteza muda kisha huyo nikaondoka na kurudi zangu kazini, kabla sijaanza kufanya chochote kile, ujumbe mfupi wa simu ukaingia kwenye simu yangu na ulitoka kwa sabra na ulisomeka hivi.

“Mimi ndio naweza kukusaidia wewe kupata watoto wako hivyo kama utaitaji msaada Nipo kukusaidia Wifi yangu kipenzi nakupenda “

Aaah kuna watu jamani aibu hawana kabisa, Yaani huyu sabra ni Mmoja kati ya watu ambao wamechochea sana ndoa yangu Kuwa ya moto, kuna kitu sikuwai kuwaambia, sabra huyu Niliishi nae pale Nyumbani kwangu kwa mwaka mmoja eeeh cha moto nilikiona, sabra alihakikisha Kuwa kila siku nalia, alihakikisha Kuwa amani kwangu ni kitu cha ajabu sana, halafu Leo hii anataka kujifanya Kuwa yeye ni msaada kwangu.

Nikiwa nimeshikilia simu yangu gafla muda huo huo alikuja mtu na kunishika begani Walahi nilishtuka sana na kujikuta nikitupa simu chini.

“Uko Sawa kweli ??”

Max aliniuliza, Yaani boss wangu.

“Yaaah, yeah Niko Sawa “

Nilijibu kWa sauti ya wasiwasi sana.

“Njoo upumzike uku “

Alizungumza boss wangu kisha akanishika mkono na moja kwa moja akanipeleka ofisini kwake na kunipatia maji ya kunywa.

“Pumzika kwanza “

Alizungumza max kisha akatoka nje.

Kiukweli siku yangu ilikuwa ngumu sana, nilijikuta nikiwawazia sana watoto wangu, kuna Namna nilitamani ata kwenda kuwaona lakini sikuruhusiwa kwani kesi ndio kwanza ipo mahakamani.

Majila ya Kama saa 2 usiku hivi, muda ambao nilikuwa najiandaa kwenda Nyumbani, max alikuja na kuomba kunirudisha Nyumbani, kwa wakati huo Mimi na max tulikuwa tumezoeana sana hivyo sikuweza kukataa haraka nikakubali na safari ya kwenda Nyumbani kwetu ikaanza.

Kwakuwa nilikuwa na mawazo sana ata sikuwa naangalia gari ilikuwa inaenda wapi gafla tu nikajikuta nikiwa nje ya Jumba la sinema.

“Uku wapi ??”

Nilimuuliza Max.

“Hauko sawa Shamsa hivyo Basi Nafikili hapa pataibua mood yako nzuri “

“Max bwnaa usingejichosha ningeenda tu Nyumbani kupumzika”

“Usijali wewe ni mtu wangu wa Karibu sana Sawa, so relax and let’s go babe girl”

Ila nyie huyu kama anajua kucheza na akili yangu, Mwenyewe nikajikuta nikitabasamu na kwa pamoja tukaingia kwenye jumba la sinema.

Eeeeh nilitaka kusahau Bwana ata Kama Mimi ni mtu mzima lakini Nyumbani kwetu Nyumbani kuingia Ndani mwisho ni saa 3 usiku 😂🙌 Yaani ikipita muda huo tafuta pa kulala tu maana eeeh cha moto utakiona, Basi nikachukua simu yangu na kumwambia mama Kuwa nitalala kwa Neha kwani mama yangu anamjua Neha.

Mimi na max tukaangalia movie pale na movie ikaja kuisha saa 7 kasoro usiku.

“Neha Apokei simu “

Nilimwambia max uku Nikiwa natamani ata kulia 😂🙌 Yaani Mimi nilipanga nikitoka hapo niende kulala kWa Neha, Picha linaanza Neha Apokei simu.

Nilijitaidi kupiga simu mfululizo mwisho Neha akatokea.

“We nawe ata ujaniambia mapema, me Nipo uku ukweni shoga Angu, shemeji yangu Mdogo anamvisha mchumba wake Pete”

😂😂🙌 kweli nguo ya kuazima aistiliiii……….. malizieni waenga 😂 Yaani Leo ndio nitajua Sijui kabisa.

“Twende kwangu “

Alizungumza max.

Niligeuka na kumuangalia sana mwisho Nikacheka.

“Unacheka nini sasa na Mimi nakuambia ukweli Kama utaki kwangu Twende kwenu tukamgongee baba yako “

“Acha bwna “

Mpaka nilipofikia jamani Sina changuo hapa ni kwenda kulala kwa max tu.

Basi safari ikaanza pale moja kwa moja kuelekea Nyumbani kWa max.

Mkaka wa watu akiwa bize na kuendesha gari, Mimi nilikuwa bize kuangalia uzuri wake tu, nisiwe Muongo nimemtamani huyu kaka sio kidogo 😂🙌 majilani mnisiadie kumwambia ikiwezekana awe wangu tu au amtaki shemeji jamani 😂🙌.

Hatimaye tulifika Nyumbani kwa Max nyieeeh macho yalinitoka na kubaki nikishangaa huo mjumba ulivyokuwa mkubwa.

Baada ya muda geti lilifunguliwa na max akaingiza gari Ndani.

“Karibu sana Shamsa”

“Weeeh kwanza subili ulikuwa unajenga Nyumba au Ikulu ??”

Max akaniangalia kwa muda kisha akacheka sana na kuniambia.

“We mjinga sana ujue sasa Ikulu iko wapi hapa 😂 Binti Ebu shuka Twende uko “

“Max “

Nilimuita kwa sauti ya utulivu sana, max akageuka na kuniangalia tu nakubaki akinisikiliza.

“Hivi uku ata ukiniteka napigaje Kelele Mimi 🥹 hivi kuna mtu anaweza akanisikia kweli 😂”

Max alijikuta akicheka sana maana hakutalajia kabisa Kama nikamwambia kitu Kama iko.

“Shamsa acha Basi Ebu Twende ona mama anavyotuangalia”

Hapo kwanza nikashtuka sana na kuangalia mbele ambapo nikamuona mwanamke mtu mzima akiwa Amesimama kwenye mlango mkubwa wa kuingilia Ndani.

“Wewe kumbe upo na mama yako ??”

Niliuliza nikiwa na wasiwasi wa hali ya juu Wala sikutalajia Kama kutakuwa na watu wengine hapo kwake.

Kwa pamoja tukashuka, haraka max akanisogelea na kunishika mkono maana aliona Kuwa Nina woga Fulani hivi.

“Shikamoo mama “

Nilimsalimia mwanamama huyo uku nikikunja goti kidogo.

“Marahaba mkwe yangu Karibu sana “

Alijibu mama huyo Tena kWa kuniita mkwe, haraka nikamgeukia max na akanikonyeza tu akimaanisha nitulie.

Basi nilibaki nikijichekesha tu, mama huyo akanikaribisha kwa furaha sana na bashasha ya hali ya juu akiamini Kuwa Mimi ni mkwe wake.

“Wewe hiki ndio chumba cha wageni au ??”

Nilimuuliza Max baada ya kunieleka kwenye chumba ambacho kilikuwa na Picha zake nyingi sana.

“Hapana hiki ni chumba changu “

Alijibu max na kusogea kitandani kisha akakaa na kuning’iniza miguu yake.

“Karibu ukae”

Alizungumza max na kushika mkono wangu akitaka nikae Karibu yake.

“Max ungenipeleka kwenye chumba cha wageni tu chumbani kwako sio Sawa kabisa”

“Naelewa lakini Tulia kwanza aaah mama yangu Ana shida ya akili kidogo na hapo amekufananisha na mke wangu “

Nyieeeeh kumbe Ana mke huyu 🥹 Yaani kitendo cha kusema mke wangu Ka moyo kangu kakafanya paaaah, na sio tu kufanya paaaah nilijikuta nikiumia sana, huyu kaka sijamtamani tu lakini nimependa kabisa na nazani kwakuwa ananijali sana 🥹🥹.

Kwa mshtuko wa hali ya juu nikamuuliza.

“Mke ?? “

ITAENDELEA….

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 13 KWa mwendo wa taratibu nikamsogelea sabra na kWa sauti ya chini na yenye u serious

sana nikamwambia.

“Katika vitu ambavyo sitaki utani kabisa Basi ni watoto wangu, sabra Kaa mbali na mambo ya watoto wangu”

Wala sikutaka kupoteza muda kisha huyo nikaondoka na kurudi zangu kazini, kabla sijaanza kufanya chochote kile, ujumbe mfupi wa simu ukaingia kwenye simu yangu na ulitoka kwa sabra na ulisomeka hivi.

“Mimi ndio naweza kukusaidia wewe kupata watoto wako hivyo kama utaitaji msaada Nipo kukusaidia Wifi yangu kipenzi nakupenda “

Aaah kuna watu jamani aibu hawana kabisa, Yaani huyu sabra ni Mmoja kati ya watu ambao wamechochea sana ndoa yangu Kuwa ya moto, kuna kitu sikuwai kuwaambia, sabra huyu Niliishi nae pale...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mume-wangu-alivyoniolea-mke-wa-pili-sehemu-ya-13-kwa-mwendo-wa-taratibu-nikamsogelea-sabra-na-kwa-sa

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mume-wangu-alivyoniolea-mke-wa-pili-sehemu-ya
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 15 🔥      Kwanza nilishtuka sana na haraka nikatoa mikono yangu ambayo ilikuwa imemkumbatia ...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 15 🔥 Kwanza nilishtuka sana na haraka nikatoa mikono yangu ambayo ilikuwa imemkumbatia ...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 07
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 07
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 08
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 08
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 14       “Yaaah mke wangu, Shamsa Nafikili ungekaa kwanza then ndio tuzungumze”
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 14 “Yaaah mke wangu, Shamsa Nafikili ungekaa kwanza then ndio tuzungumze”
   MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 09....10        Nyie nilianza kulia Kama Mtoto Mdogo na kuomba...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 09....10 Nyie nilianza kulia Kama Mtoto Mdogo na kuomba...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 12         Kwanza nilishtuka sana na kujiuliza huyu ni Nani na Kwanini...
MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 12 Kwanza nilishtuka sana na kujiuliza huyu ni Nani na Kwanini...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

569
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

516
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

505
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*

*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*

424
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 63💘💘

323
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

298
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50

298
REALLY LOVE* 16

REALLY LOVE* 16

149
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10

43
MALAIKA  SEHEMU YA 1

MALAIKA SEHEMU YA 1

39

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.17K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.9K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.31K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini, Post Mpya
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini,
@majario LIVE

hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbili mnamo 2030, na kupindukia mnamo 2031 na 2047. Kupitia Shirika...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minong’ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

“Malaika! Malaika mwanangu!” “Naam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?” Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  💛 💚 ❤️   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA “Ndio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule” “Yesu.....” Nilipagawa huku nikiwaza...

YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️   SEHEMU YA 08 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 08
@majario LIVE

NA MR AB Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni ** Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo “Vipi mke wangu?...

YENYE KIRUNGU 💛 ❤️💚  SEHEMU YA 07 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 ❤️💚 SEHEMU YA 07
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA Piiiiiiiii, alipiga honi konda, nikasogea na kuchungulia vizuri, kweli ilikuwa kama nimetabiri hivi, nilimshuhudia Jerry anashuka kwenye pikipiki amevaa shati na suruali ya kitambaa akasogea “Mke wangu Anita” Alisema Jerry...

YENYE KIRUNGU 💛 💚❤️  SEHEMU YA 06 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 💚❤️ SEHEMU YA 06
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA “Wewe Anita......Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud. Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama “Anitaaaa.....wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika “Yupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa”...

YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️   SEHEMU YA 05 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 05
@majario LIVE

MR. AB Tulipoishia Ile nimefika sebuleni kulikuwa na giza, nikapapasa swichi na kuwasha taa. Sikuamini, nimewasha taa hivi, naona mwanaume kasimama katikati ya chumba amevaa boxer tu, ana tattoo zake ameinamisha kichwa chini. Kuinua...

YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️
@majario LIVE

Na Mr AB SEHEMU YA NNE Alifanya kuniwekea kunako, akaisukumiza kikaingia kile kichwa tu “Ooohhh..bhaaan...” Nilihema kwa hisia huku nikijisukumiza nyuma ikawa inaingia taratibu hadi ulipoingia mpaka mwisho. Ilinitekenya halafu akaanza kuchochea...

YENYE KIRUNGU 💛💛❤💚 SEHEMU YA TATU Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛💛❤💚 SEHEMU YA TATU
@majario LIVE

"Daah mbona haisimami?" Nilimuuliza boss wa mume wangu "Ngoja niondoke nitarudi siku nyingine leo sijisikii vizuri" alijibu akipandisha suruali yake halafu akatoa shilingi elfu 20 akanipatia "shika hii" "Mh asante" nilisema...

YENYE KIRUNGU💛💚❤  SEHEMU YA PILI Post Mpya
YENYE KIRUNGU💛💚❤ SEHEMU YA PILI
@majario LIVE

Tulipoishia Asubuhi ilipofika Nilijikuta namtext boss wa mume wangu "Wewe" nilituma asubuhi na mapema maana niliamka na nye** vile vile "Niambie madam" "Ninahitaji mboo" Nilimuandikia ujumbe huo ili nione atajibuje, yaani akijibu vizuri tu...

YENYE KIRUNGU 💛💚❤ 🔞 Post Mpya
YENYE KIRUNGU 💛💚❤ 🔞
@majario LIVE

Sehemu ya kwanza Mume wangu ni mtu msiri sana ambapo ni mara nyingi tumekuwa tukigombana hasa pale ninapogundua kwamba kuna mambo ya muhimu amenificha kwa muda murefu. Hata hivyo ugomvi haijaweza...

Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952. Post Mpya
Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.
@majario LIVE

Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia...

Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai Post Mpya
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
@majario LIVE

Msanii maarufu “Toss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA. Mrembo huyo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest