VYOTE NDANI GONGA94
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
“ umefanya nini wewe, mbona umenibusu, ikabidi nimuulize Feisal ..
“ mbona nabil amekutamkia maneno yake ya ajabu na haujahoji, sasa mimi kukubusu kuna shida gani ? usijali sisi ni marafiki ambao tutatengeneza nguzo za mapenzi taratibu, akajibu Feisal
Kwa upande wa nabil sasa alikuwa anahisi kupasuka, moyo ulikuwa una muuma kupita kiasi cha kawaida, akawa anataka kuja tulipo ila akawa anaona aibu, akawa anazunguka zunguka tu, anawaza anitumie sms au aachane na mimi…
Chakula hakiliki, na kitu na kitanda kilikuwa kama kimemwagiwa misumari ya moto, vocation ikageuka connection, yaan akawa atulii, mara aende kwenye gari kana kwamba anataka kuondoka mara arudi, mama yake akamuona namna anavyo hangaika sana, ikabidi amfate kisha amuulize shida ni nini?..
“ hamna shida mama nipo sawa, akajibu nabil..
Karibu nusu saa nzima nakuona unahangaika tu, au unaumwa ? akaendelea kuuliza mama yake nabil..
“ hapana mama siumwi na nipo sawa, usiwe na mashaka na mimi, akaendelea kusema, mama yake akamuangalia kisha akasema “ usijali ukiwa na shida yoyote ile usiogope kunambia maana mimi ni mama yako na siku zote nipo kwa ajili yako, akasema mama yake nabil kisha akaondoka zake…
Sasa huku kwa mimi na Feisal tukawa kama hatuelewani, nilikuwa nashangaa kwanini apige video call kisha ndio anikiss, alikuwa na maana gani? Nikaanza kuona kama usalama wangu utaanza kuwa mgumu, nikataka kurudi zangu nyumban…
Feisal akaja kunishika mkono kisha akasema “ zinura naomba unisamehe na nakuahidi hili halitakaa litokee tena, ni wivu tu ndio ulikuwa unanisumbua mamaa, na sikuwa nimemaanisha chochote, yale maneno ya nabil yameniuma, maana nilishamfata na kumuuliza kama ana mahusiano na wewe akakataa na akasema hata hana hisia na wewe, sasa kama hajali kuhusu wewe kwanini azungumzd maneno kama yale, huoni alikuwa anataka kuniumiza tu, embu nambie ukweli, kwani umeshawah kulala nae?..
Kikawaida ukiangalia hilo swali ni lepesi lenye majibu ya ndio au hapana, ila kwa upande wangu lilikuwa ni swali gumu sana, kwa maana nililala nae, na nisiku moja tu nyuma, yaan hata harufu na msisimko wa joto lake bado haukuwa umeondoka mwilini mwangu moja kwa moja..
“ mbona kimya, una maanisha kuw mambo yote ambayo ameyasema nabil ni kweli? Akauliza tena kwa sauti ya msisitizo zaidi..
“ hapana, hapana sio kweli, il pia sitaki kuwa na mahusiano na wewe, naomba nirudishe nyumban tafadhali sitaki matatizo mimi, nimekuja huku kutafuta kazi na sio kutafuta mabwana, nikajibu, na Feisal akatangulia mbele ikabidi nimfate nyuma, tukaenda kupanda kwenye gari na safari ya kurudi nyumban ikaanza…….
Basi bana tumefika nyumba tukamkuta nabil anazunguka zunguka tu, alipotuona akatuangalia kwa hasira kisha akapitiliza moja kwa moja mpaka chumban kwake…
Mimi nimeingia ndani nashangaa sms inaingia kutoka kwake, “ usinambie na huyo umempa kama ulivyonipa mimi jana..
Nikashangaa huyu anasema nini? Yaan ananiona mimi kama Malaya tu si ndio, kwanini aniulize swali kama hilo, nikawa najiuliza maswali ambayo hata mimi mwenyewe sikuwa na majibu yake…
Siku mjibu, akatuma sms nyingine inasema “ au bado upon a huyo bebi wako mnapeana tu, ila ujue kuwa wewe sio mtamu hata kidogo kwa hio usidhan kama atainjoy…
Nilishikwa na hasira, nikataman nimfate chumban kwake nianze kumtukana, ila nikaona nitulie kwa sababu pale nilikuwa nyumban kwa watu na sikuona busara kuharibu furaha za watu kwa mambo yangu binafsi…
Basi bana baada ya nabil kuona sijibu sms zake akapiga, ila sikupokea, sikuwa nataka aanze kunihamishia kisirani chake mimi, alipoona sipokei akatoka, nilikuwa nimekaa ukumbini na ndugu zake wengine, kwa sababu tu;ikuwa tumekutana pale, familia kama nne, kwa ajili ya vocation na wakati tunaingia faisal nae alipitiliza chumban kwake, mimi nikaona nikae zangu ukumbini niendelee kujiburudisha na movie…
ITAENDELEA …
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
