Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NASEMA KWA MAMA 28--29 ENDELEA.
Gonga94 · Stories

NASEMA KWA MAMA 28--29 ENDELEA.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
28--29
ENDELEA.
????NASEMA KWA MAMA
Zilikuwa ni gari za polisi....

Waliingia Askari kama sita na kuwachukua akina Razac...

Lidya alipewa karatasi fulani akaweka saini yake kisha kuwakabidhi...

Naombeni nimkute Central Dar es Salam.. Aliongea Lidya akiwapa maagizo wale Askari...

Nilikuwa kimya.... Wakati huo akina Razac na wenzie wanaondolewa mule ndani na Askari.....

Tulitoka pia na kupanda gari la polisi hadi kwenye Lodge tulipowahi kurekodiwa na mama yake Dayana..

Tulimkuta Dada wa mapokezi ametulia tu anaangalia TV..

Lidya aliingia hadi kwenye chumba cha mapokezi na kumtoa....

Aliagiza Askari wampakie kwenye Gari pia.....

Gari liliondolewa haraka lakini mimi na lidya tulibaki Moshi mjini...
*******

Muda ulikuwa umeenda ilikiwa ni mchana kwa wakati ule..

Tulitafuta sehemu tukala chakula cha mchana kisha kupanda Tax kurudi nyumbani kwa Dokta...

Tulifika na kuketi sebuleni hadi saa kumi jioni alipokuja Mama yake Dayana kutoka kazini kwake.....

"" "" Watoto wa yule mama walikuja na kuketi sebuleni wakiwa wanamfurahia sana mama yao...

Lakini mimi nilikuwa kimya tu namwangali Dayana..

Nilikuwa nikimtafakari udogo wake na baadhi ya mambo aliyokuwa akiyafanya..

"" "" " Mama pole na majukumu.. Nadhami nilikwambia kazi yako ni ndogo sana...
Aliongea Lidya....

" "" "kwanini unasema hivyo Mwanangu lidya.???
Aliongea yule mama....

" "" Nimeshaupata mkanda mzima wa yale matukio.....

Muhusika mkuu ni kijana mmoja anaitwa Razac... Ndio aliweka utaratibu wote hadi kukurekodi....

Pia nimewashika na wametangulizwa Dar es salam wote pamoja na Muhudumu....

Naomba tupande ndege tuwahi dar es salam ili wakifika watukute na tupate habari kamili...

Alimaliza kuongea Lidya na kumtazamaa yule mama.

Muda huo macho yangu yote yalikuwa kwa Dayana nimuone atafanyaje kwasababu niliamini kabisa anamjua vyema huyo Razac.

Chaajabu Dayana hakuwa na dalili ya kuogopa chochote....
Alikuwa ametulia tu kamkumbatia mdogo wake wanapiga story kama vile haelewi mazungumzo yetu...

"" “"" Nashukuru sana.. Kwasasa naomba tukaoge tuvae tuende Airpot tuanze safari.. Aliongea mama yake Dayana...

Waliinuka na kwenda kuoga kisha kuvaa, walikuja kutuaga na kuondoka zao....

Nyumba ilibaki kimya sana.. Dayana hakuwa na hamu hata kunitazama....

"" "" Dada.. Twende ndani mimi sitaki kumuona Frenk... Aliongea Mariana.....

Nenda tangulia ulale mimi nitakuja baada ya mda ngoja tuongee na Frenk..

Mariana aliinuka na kuingia ndani...

Dayana alinitazama na kunisogelea pale nilipo kaaa....

"" "" frenk nakupenda ila tamaa inakuzidi sana,
Ungekuwa unajitambua ungepata kila kitu, tatizo malaya sana wewe kaka..

Nimekuvumilia vyakutosha ila umenichanganya sana baada ya kutembea na mdogo wangu....

Umeamua kumpa mdogo wangu pia Maradhi niliyo kupa.....

Nashukuru sana.... Lakini nimeumia sana ila nitafanyaje sasa....
ALIONGEA DAYANA....

"" "" "Unasemaje Dayana.??? Maradhi gani tena....
Niliongea kwa upole hadi machozi yalikiwa yanaanza kunitoka....

" "" "Nimeathirika... Kwahiyo sasa nyumba nzima tumeambukizana.?? Hata Afsa wa upelelezi umemuambukiza pia.???? Kwasababu nilishaambiwa kuwa ulifanya nae mapenzi pale Lodge...
Aliongea Dayana kwa kujiamini na kuinuka kwemda ndani kwao.....

Nilitulia kimya nikitafakari maisha yangu huku mapigo ya moyo yakiwa mbio sana...

Nilikuwa bize kufuta machozi,

Nililia sana baadae mimi pia niliinuka ili niingie ndani kwangu....

Nilivyo simama tu kwenye kochi kabla sijapiga hata hatua moja nilishangaa nimepigwa na kitu kizito kichwani..

Nilidondoka chini kama gunia... Sikuelewa tena nini kiliendelea pale.

ENDELEA....


*******
*******

Lidya na mama yake dayana walikuwa ndio wanafika Dar es Salam..
Bila ya kuchelewesha muda walichukua tax hadi Central kituo kikuu cha polisi kwa pale jijini...

Lidya aliingia na kutaja namba zake za usajili,
ziliingizwa kwenye kompyuta,
ilitokea picha yake na cheo chake kisha kuruhusiwa kuingia ndani ya kituo kama afisa wa jeshi la polisi...

Aliingia na kuelekea moja kwa moja hadi ofisini kwa mkuu wa kituo kile...
Kilikuwa ni juu ya ghorofa...
Lidya akiwa na mama yake Dayana walipanda ngazi hadi kwa mkuu...

Walianza na kutoa maelekezo kwa secretary lakini waliambiwa kuwa mkuu anao wageni hivyo walipaswa wakae kusubiri...

Lidya na mwenzie hawakuwa na tatizo,
walienda kwenye kiti karibu na mlango wa kuingilia kwa mkuu na kutulia huku wanapiga stori mbili tatu..

*******
"" "" Hivi lidya.. Ulivyoniambia kuwa huenda muhusika wa haya yote anatoka kwangu ulikuwa unamaanisha nini.??? Aliongea mama yake Dayana...

"" "" "" Mama.. Unadhani jana asubuhi tulivyofika moshi mwanao alikuwa anatoka kwenda wapi.???
Ulijiuliza kiundani au ulipotezea tu.????

Niliamini kama huenda kuna baadhi ya vitu ulianza kuhisi kumbe bado...

"" "" Mama ukweli ni kwamba..
Tangu umesafiri na mwanao alitoka,
hakurudi nyumbani hadi siku unakaribia kurudi..
Alikuwa nyumbani kwa mwanaume mmoja anaitwa Razac..
Huyo mwanaume ni mfanya biashara wa madawa na amehusika kutengeneza sinema yote ya picha zako za uchi ili apate pesa kwa mrija..

Yupo humu huyo kaka ni miongoni mwa tulio wakamata...
Pia alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao Dayana..
Nadhani ndio sababu ya hadi mwanao kukataa chuo....

ALIONGEA LIDYA KWA MSISITIZO SANA HUKU ANAMTAZAMA MAMA YAKE DAYANA...

"" "" "" Uuuuuuuhhhhhhh... Mama yake dayana alishusha pumzi na kujiegemeza kwenye kiti..

Sikutegemea kama Dayana angekuwa mpumbavu kiasi hiki..
Aliongea mama yake dayana.....

Wakati huo Mlango wa mkuu wa kituo ulikuwa unafunguliwa...

Alitoka mkuu wa kituo na wageni watatu nyuma yake....

Alikuwepo Boss wa kampuni ya "" PEACE OCEAN""" ya uingizaji wa mizigo kutoka china,

Mzee huyo alikuwa ni boss wa lidya kwani lidya alikuwa ni Secretary kwa mzee yule, na kule alikuwa akimpeleleza kuhusu rushwa ya ngono..

Ushahidi wote alikuwa nao Lidya na alikuwa akimhesabia siku tu za kumkamata....

"" "" Lidya aliiinuka baadaa ya kumuona yule mzee katoka ofisi kwa Mkuu wa kituo tena wakiwa wanacheka...

Nyuma ya yule mzee alikuwemo Razac na mkaka mmoja aliekuwa amevalia Suti nyeusi..
Nadhani alikuwa ni mlinzi wa yule mzee....

"" "" "" " Shkamoo mkuuu... Aliongea Lidya kwa sauti ya upole baada ya kumsogelea mkuu wa kituo....

" "" "Samahani nilikuwa na shida na wewe..
Pia hawa hapa ni wageni wangu.. Wanaenda wapi.??

Aliendelea kuuliza Lidya..

Yule mzee alicheka kwa dharau na kumwambia......

" "" "" "Sikiliza binti...... Jambo usilo lijua ni usiku wa giza.. Utalijua taratibu. Naomba tu uwe mpole...

Pia Razac ni kijana wangu wa kumzaa... Hapa nilikuja kumuwekea dhamana na tayari naondoka nae..
ALIONGEA YULE MZEE NA KUMSHIKA RAZAC MKONO ILI WATOKE...

"" "" " Mkuu... Hawa ni watuhumiwa wangu. Nilipaswa mimi ndio nije kuwahoji kwasababu najua sababu za kuwakamata. Unapowaachia unakuwa unanikosea mkuu wangu....

Aliongea Lidya....

Mkuu wa kituo alimtazama tu lidya bila kumwambia chochote....

Lidya aliogopa sana na kubana miguu yake kisha kupiga saluti kwa unyenyekevu sana

Mkuu wa kituo akaondoka na wageni wake....

Lidya aligeuka nyuma kumtazama Mama yake Dayana lakini hakumuona....

Alishtuka kidogo na kuamua kwenda kumuuliza Secretary wa mkuu wa kituo....

Alishangaa kumuona Mama yake Dayana kajificha nyuma ya Secretary...

"" "" Mbona hivyo mama.???
Aliuliza Lidyaaa.....

"" "" "Mwanangu. Lidya naomba tuondoke hapa.....
Yule mzee alietoka humo ndani ni mzee hatari sana.
Ndiye aliniteka na kuagiza watu wake wanibake na kwenda kunitupa porini.....

Sikutaka anione jamani..." "" uuuuuhhhhhhhh..
Naomba tuondoke....

Aliongea Mama yake Dayana na kumshika Lidya mkono kisha kuanza kushuka ngazi za kituoni kwa kasi sana.....

ENDELEA.......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NASEMA KWA MAMA 28--29 ENDELEA.

28--29
ENDELEA.
????NASEMA KWA MAMA
Zilikuwa ni gari za polisi....

Waliingia Askari kama sita na kuwachukua akina Razac...

Lidya alipewa karatasi fulani akaweka saini yake kisha kuwakabidhi...

Naombeni nimkute Central Dar es Salam.. Aliongea Lidya akiwapa maagizo wale Askari...

Nilikuwa kimya.... Wakati huo akina Razac na wenzie wanaondolewa mule ndani na Askari.....

Tulitoka pia na kupanda gari la polisi hadi kwenye Lodge tulipowahi kurekodiwa na mama yake Dayana..

Tulimkuta Dada wa mapokezi ametulia tu anaangalia TV..

Lidya aliingia hadi kwenye chumba cha mapokezi na kumtoa....

Aliagiza Askari wampakie kwenye Gari pia.....

Gari liliondolewa haraka lakini mimi na lidya tulibaki Moshi mjini......

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nasema-kwa-mama-28-29-endelea

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nasema-kwa-mama
NASEMA KWA MAMA*  *SEHEMU YA 41, 42, 43, 44, 45 & 46*
NASEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA 41, 42, 43, 44, 45 & 46*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 23, 24 na 25*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 23, 24 na 25*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 33, 34 & 35
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 33, 34 & 35
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 15 na 16* ********
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 15 na 16* ********
NASEMA KWA MAMA 38,39,40  *38*
NASEMA KWA MAMA 38,39,40 *38*
NASEMA KWA MAMA*  *SEHEMU YA SITA 06, 07,
NASEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA SITA 06, 07,
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 30, 31, 32,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 30, 31, 32,
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 26, 27,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 26, 27,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 19 na 20*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 19 na 20*
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 21, 22,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 21, 22,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA TANO 05*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA TANO 05*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 13 na 14* *****
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 13 na 14* *****
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 17, 18,
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 17, 18,
NASEMA KWA MAMA* 1-----2
NASEMA KWA MAMA* 1-----2
NASEMA KWA MAMA  **** 3--4
NASEMA KWA MAMA **** 3--4
NASEMA KWA MAMA  *SEHEMU YA NANE 8--9
NASEMA KWA MAMA *SEHEMU YA NANE 8--9
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 10*
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 10*
NASEMA KWA MAMA  SEHEMU YA 11, 12
NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 11, 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112

1.15K
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 70...71💘💘

602
MY WANGU❤️ sehemu ya 113

MY WANGU❤️ sehemu ya 113

528
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*

499
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

199
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8

176
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4

111
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6

108
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7

86
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6

79

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.96K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.7K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.43K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.33K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫶
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY 🦋 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa “ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair — Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic “rich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❤️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO 💍❤️* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… “Wewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza “Huyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. “Sikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. “Working with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest