Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.............

Nikaingia nikoni na kujifanya nasuuza glass ya maji, muda huo huo wifi akaingia

" Oooh afadhali nimekukuta , naomba nitengenezee juice ya ukwaju nataka Sasa hivi"

"Wewe mikono huna.."

"Jamani na hali yangu hi nawezaje kufanya kazi za kusimama mda mrefu au nimwambie Kaka ako"

"Hapana , hapana wifi usimwambie Kaka atanigombeza na kunifukuza usiseme wifi yangu nakuomba......chefu kaseme me kwani namuogopa kwanza in muda gani hiyo mpaka ushindwe kufanya kazi eeh ebu nikuulize una uhakika ya Kaka angu??"

Alistuka kidogo na kuniangalia usoni

" Unaongea vitu gani nawe kwanime nimeolewa na Nani ??"

"Nashangaa na Mimi uanimaindi Sana Mrs.........ju"

Huyo nikatoka nje akabaki akiniangalia , Sasa nikakumbuka kuwa Kaka kesho anatoka na ndio anasababishiwa ajali, nikatoka na kwenda duka la madawa na kununua dawa ya kumfanya mtu ahalishe hovyo hovyo nililipa pesa ndefu maana hizo dawa huwa azitolewi hivyo hovyo, nilipofika nyumbani nikaandaa chakula na kutenga mezani kwakuwa nilikuwa nikimpakulia chakula Bella na precious nikaamua nimpakulie na wifi yangu Kaka akasema

"Haya mahaba ungekuwa unampa kila siku wifi yako angenenepa kuliko wewe "

"Ndo naanza mahaba yaani kwa kaka na wifi mpaka pale nitakapopata shangazi wa pili mie nikavuta na sahani ya kaka na kumpaulia chakula hapo hapo nikamuwekea ile dawa kwani nilikuwa nimeifumba mkononi hakuna aliyekuwa anaelewa kabisa nikarudi jikoni na kunawa mikono kisha nikarudi kupata msos.

Usiku wa siku hiyo hatukulala yaani kwa jinsi Kaka alivyokuwa akiendesha yaani dakika mbili kitandani dakika mbili chooni.

Asubuhi dokta alikuja na kumuwekea dripu la maji na la nguvu na kumuomba apumzike kwa wiki Moja bila kufanya kazi yoyote.

Basi nikawa namuhudumia Kaka angu maana wifi ndio alikuwa akiigiza kuwa ujauzito unamsumbua Sana Sana nikiwa jikoni, napika chakula Cha jioni wifi alikuja na kuanza kunifangia fujo sijui alipanga Nini siku hiyo maana alifika na kuanza kunivuta nywele na Mimi kwaajili ya kujitetea nilimsukuma kwa nguvu Moja kwa Moja akaenda chini na kuangukia tumbo alipiga kelele hizo, zilimshtuka kila mtu niliogopa Sana na kumuangalia, damu zilianza kumtoka nilijua kabisa hapa mimba Basi tena.

Haraka tulimuwaisha hospital tukiwa Mimi Kaka na mama feki wa wifi yangu, toby alitaka Kuja lakini nilimkalia kwani sikuwa nikimuamini yule mama na Dickson kukaa ba Bella wangu.

Tulifika hospital na unauzito ulikuwa ushaharibika, alisafishwa na kupewa dawa kisha tukarudi nyumbani.

Asubuhi na mapema akaanza drama zingine, akiwa amepaki mabegi yake anayavuta kuyaleta sebleni Kaka akawa anamzuia

" Unaenda wapi mbona hatujagombana Nini kinaendelea jamani mama P ebu tulia tuongee "

Wote yulikusanyika sebleni na kuangalia tu

" Eti niendelee kubaki humu sijui Dada ako ndio ameshakutafutia mke mwingine ndomana Jana ameamua kumuua mwanangu "

" Unaongea kuhusu Nini wewe saada anahusika vipi"

"Kumbe ajakuambia, saada waambie Kama wewe ndio ulinisukuma jikoni "

"Lakini........",

Kabla sijamaliza kuzungumza jamani nilipewa bao Moja la uso matata Sana na Kaka Julius nilianza kuona nyota nilianza kulia lakini sio kwaajili ya kapigwa Ni kwaajili bellah anashuhudia mama yake ninavyopigwa nikamuomba Toby akawafungie watoto chumbani

"Tangu siku ile nkmerudi kutoka hospital dada ako ananiattack na kusema nazaa Sana nili nipate urithi Sasa Jana nilimfanya Nini mpaka anisukume ? Nilimwambia tu atengeneze juice ya embe akanijibu yeye sio house girl"

Mda huo Kaka amemkumbatia mkewe ambaye alikuwa akiongea uongo tu, akamuachia na kunifata tena na kunisogelea karibu zaidi na kusema

"Nikajua umebadilika kumbe bado nilikosea Sana kukusamehe, sikia Paki kilicho chako ondoka ondoka na kila kitu unachokiona Ni chako funguo zangu za dukani niachie "

Nilihisi ndoto niliumia Sana maana maneno ya kaka yalinikumbusha kuhusiana na mama na kamili nilitaka kujitetea lakini Kaka hakunipa hiyo nafasi wifi aliendelea kujiliza, mama feki akamchukua na kumtuliza kwenye Kochi niliita kwa hasira

" Toby paki kila kitu chako, "

nami nikaingia chumbani na kupaki vitu vyangu na vya Bella nikiwa na mihasira yangu nikakumbuka kuwa wifi itakuwa Kuna kitu kapanga siwezi kumuacha Kaka angu nikarudi chini na mabegi yangu na kuyaweka mlangoni na kutaka kuzungumza Tena

"Sitaki kusikia chochote kutoka kwako "

Alifoka Kaka Julius , lakini nilimfata na kumziba mdomo, nikasema utakaa kimya nikiwa naendelea kuongea ukiinua mdomo wako nafikili unanijua.

Hapo nilimkumbusha mbali maana nakumbuka nilishawai kumpiga Kaka Julius wakati tuko kwenye mahusiano enzi sa nyuma kabisa Tena nikimkanda kwelikweli.

Nikatoa simu na kuomba kila mtu awashe data video ya kwanza kuwarushia ilimuwa Ni ile ya wifi na dick wakiwa utupu wakitoka chumbani kwa kaka mpaka sebleni na mpaka maongezi yao na yule mama yao.

"Ni Nini hiki umetume, Julius nimesema dada ako ananichukia mpaka anatengeneza video za hizi Mimi nawezaje kufanya hivi na Kaka angu"

Kaka aka.....

ITAENDELEA....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20


SONGA NAYO.............

Nikaingia nikoni na kujifanya nasuuza glass ya maji, muda huo huo wifi akaingia

" Oooh afadhali nimekukuta , naomba nitengenezee juice ya ukwaju nataka Sasa hivi"

"Wewe mikono huna.."

"Jamani na hali yangu hi nawezaje kufanya kazi za kusimama mda mrefu au nimwambie Kaka ako"

"Hapana , hapana wifi usimwambie Kaka atanigombeza na kunifukuza usiseme wifi yangu nakuomba......chefu kaseme me kwani namuogopa kwanza in muda gani hiyo mpaka ushindwe kufanya kazi eeh ebu nikuulize una uhakika ya Kaka angu??"

Alistuka kidogo na kuniangalia usoni

" Unaongea vitu gani nawe kwanime nimeolewa na Nani ??"

"Nashangaa na Mimi uanimaindi Sana Mrs.........ju"

Huyo nikatoka nje akabaki akiniangalia...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1.09K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.06K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*

460
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

242
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

230
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

229
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

224
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

126
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

110
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

102

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.39K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest