Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.............

Kila mtu alistuka maana hawakuwa wakiamini kinachoendelea.

" Kiukweli Mimi na saada tumeishi tofauti muda saada alilelewa na mama Mimi nimelelewa na shangazi, Mimi naenda kwa shangazi saada alikuwa ajazaliwa tumajuana na saada mwaka juzi kwenye msiba wa mama, lakini kabla ya kujuana hapo kwenye msiba Mimi na saada tulishakuwaga na bifu uko ujanani, lakini pia tuligombana, unajua saada anahuruma Sana alikuwa akimtetea baba kwa jinsi alivyonitenganisha Mimi na mama angu hivyo hasira zangu nikaamua kujitenga nao "

Julius hakusema ukweli wa mambo alificha kila kitu yaani hakutaka kufunguka sana.toby alibaki akifurahi tu yaani wifi yangu akanikumbatia kwa kufurahi kunijua, bellah na mtoto wa kaka Julius walikuwa wakijuana kwani walikuwa shule moja wakabaki waacheza Mimi nakaka Julius tukatoka nje , alitaka kujua niliishije baada ya kutoka nyumbani kwa baba.

Sikuwa na budi au sababu ya kumficha nilimueleza kila kitiu kuanzia kuishi na mwanaume ambaye alinidhurumu, mpaka kufika kwa madam grace, na kuhusu benny na kila kitu , wakati huo nilikuwa nalia tuh sikuweza kujizuia machozi yangu maumivu yalikuwa makali sana , ndugu msomaji kama ushawai kupitia kipindi kigumu halafu siku unatakiwa kuhadithia nafikili haya maumivu mnayaelewa

"Unajua nini Kaka Julius natamani mama angekuwepo nimuombe msamaha ingawa namuomba kila siku lakini Sina uhakika Kama amenisamehe au ananisikia naumia Mimi nafikili yote ninayopitia Ni laana tu kwa nilichomfanyia mama "

"Noooh usiseme hivyo please"

Nilikaa chini nilikosa nguvu kabisa ya kusimama Julius pia akaanza kulia yaani tulikuwa Kama watoto, Bella akaja akiwa na precious mtoto wa Julius na kuanza kututekenya hapo tukaanza kucheza na kukimbizana uku na uku , niliona maana halisi ya kuwa familia

Muda ulivyoenda tukaagana na kila mtu akashika njia yake mda huo Bella alilala na alikuwa amebebwa na Toby

"Ila saada wewe na Julius watu wa ajabu Sana yaani siku ile bandani natoa utambulisho kumbe mnajuana hamkutoa dalili yoyote"

"Tena umenikumbusha nilibanwa mkono pale kulia nataka lakini naogopa yaani Julius anaakili fupi Sana yule "

"Ila Mungu mkubwa amewaunganisha Tena "

"Ndo kitu ambacho nitaendelea kumshukuru Mungu Leo kesho na hata milele"

Asubuhi wote tukiwa tumelala tulisikia honi ya gari nikawa wa kwanza kutoka , nilikuta gari ya Julius na gari kubwa, tulisalimiana mwisho akasema kuwa amekuja kunichukua nikaishi kwake kwani atoweza kuishi mbali na Mimi tena, sikukataa niliona familia inaungana upya.

Tukabeba mizigo hao mpaka masaki kwa Kaka Julius wifi yangu mama precious alifurahi Sana alitupokea kwa bashasha kubwa, toby akaanza kupanga chumba chake nami nikapanga chumba changu na Bella wangu niliona mwanga mpya wa maisha yangu na familia yangu .

Nilipokuwa chumbani naendelea na upangaji wa vitu wifi yangu alikuja na kusimama pembeni

"Karibu wifi yangu "

"Ajabu mgeni anamkaribisha mwenyeji wake"

Nikacheka na kusema

"Jamani kwa sisi watanzania yeyote anayekujaa baada ya mwenzie Basi tunasema Ni mgeni umekuja chumbani umenikuta Basi wewe Ni mgeni wangu wifi yangu "

"Mmmmmmmmmmh no wonder like brother like sister"

Aliongea hivyo Kisha akaniangalia juu chini Kisha akaondoka, nikahisi Kama ameninyali hivi na nikaona kuwa hakufurahishwa na ujio wangu lakini nikajioa Moyo kwa kisema kuwa Ni mawazo yangu tu

Baada ya wiki Kaka akanioa flem nzuri sana na kuniambia kuwa amaniagizia mzigo wa nguo za dukani nitakuwa nikiendesha biashra yangu mwenyewe, nilifurahi Sana Mungu alitenda juu yangu.

Baada ya mwezi mmoja duka lilizoeleka, nilikuwa na wateja wa kutosha yaani ilikuwa raha tupu. Ndipo wifi yangu akasema kuwa mama yake anaumwa uko kijijini anaitaji Kuja hapo kwaajili ya kujiuguza, Kaka akakubali na akawatumia nauli, na baada ya siku mbili akawa ameshafika, lakini hakuwa amekuja peke yake alikuja na kijana ambaye kwa muonekano alionekana Ni mkubwa kuliko Julius.

Na tulitambulishwa kuwa Ni Kaka wa wifi yangu , lakini Ni mama mkubwa na mdogo, maish yakaendelea.

Nakumbuka siku hiyo Toby nilimuomba aende dukani kwani sikuwa nikijisikia vizuri nilitumia muda mwingi kulala, nikiwa nimelala nilikuja kuamshwa na mama wa wifi yangu alikuwa akinitikisa kwa nguvu Sana

" Unalala tu Kama kwako kwahiyo unataka mwanangu afanye kila kitu umu ndani SI ndio "

"Mmmmh mama shikamoo kwanza "

" Ningekuwa nazitama ningeenda kusimama stendi ningepata kibao, yaani hapa utandoka kabla unavunja ndoa ya mwanangu"

" Unaongea kuhusu Nini mama....??"

Muda huo huo akaingia wifi yangu

" Mawifi mnajua kujizima data nakuambiaje hapa siachiki utachagua kuondoka au kubaki kwanza Sina uhakika Kama ninyi Ni ndugu kweli isije ikawa nakaa na mke mwenzangu "

"Wi..............."

Kabla sijamaliza kuita jina lake tulisikia honi ya gari namoja kwa moja nilijua ni Kaka wifi akatoka nje mbio na maka yake akafata nikabaki najiuliza huyu mama anaumwa kweli , au ndio wamekuja kuninyoosha Mimi tu

Kaka alipoingia wifi akaanza maigizo yake

"Afadhali umekuja yaani tangu asubuhi saada amelala ndani ataki kutoka chakula nimeweka hapo hataki kula mpaka nimekirudisha jikoni"

Kaka akaja mbio chumbani kwangu na kunikuta nikiwngaika kuonuka akanishika na kuona mwili wa moto Sana na Nina tetemeka kupita maelezo akanibeba na kunitoa nje uku akilalamika

" Kwani Irene we Ni mtoto mdogo uwezi kujua mtu anayeumwa na mzima kwahiyo
nisingerudi angekaa ndani tu mda wote???"

"Lakini m............."

"Niondolee mdomo hapa na ufungue mlango"

Akafungua mlango haraka nikawekwa kwenye Gari Kisha Kaka akapanda mbele kwajili ya kuondoka na wifi akataka kupanda

" Unaenda wapi mama anaumwa hapo, na watoto wanarudi kutoka shule "

Kaka siku hiyo alionekana kuvurugwa Sana baada ya kuona naumwa kiasi kile haraka akawasha gari nikapelekwa hospital nzuri ya private iliyoko mikocheni. Nilipokelewa na kuanza kupewa matibabu

"Dokta naomba mumpime kila ugonjwa namaanisha kila ugonjwa sijui ini Figo sijui Nini maana huyu Nina uhakika hajawai kufanya check up ya mwili wake wote "

Alizungumza Kaka akiwa na dokta Basi kutokana na hali yangu kuwa mbaya nilipewa kitanda kwaajili ya uangalizi wa muda.

Majibu yalirudi na kaka akaitwa na dokta

" Aaaah tumefanya kama ulivyoomba , tunashukuru majibu sio ya kutisha "

"Ananini dokta "

"Kilichomfanya awe hivyo ni utumbo umejikunja anaonekana hali vizuri yaani hivyo utumbo unajikunja, anatakiwa kufanyiwa upasuaji cha pili, sijui Kama mnajua lakini yeye ni muathirika wa ukimwi sijui Kama mnafahamu"

Kaka Julius aliinuka kwa kuchanganyikiwa.

"Dokta naomba mumtibie kwanza akiwa sawa nitangea nae sijui Kama anajua au laah sielewi daaaah saada mbona mdogo bado mdogo wangu jamani"

"Calm down Julius she's fine na Kama unachanganyikiwa kisa ukimwi nikwambie sio kitu Cha kutisha kiasi iko, Kama ilivyosema kuwa utaongea nae Basi tusubili kuongea nae"

"Sawa"

"Tutafanya maandalizi upasuaji kesho asubuhi "

Julius alirudi nyumbani na kuchukua baadhi ya nguo zangu na kuwapa taarifa kuwa Nimelazwa na nitafanyiwa upasuaji.

Kila mtu alionekana kusikitika lakini wifi yangu na mama yake walikuwa Ni wanafki tu

" Me nitalala hospital sitaweza kurudi asubuhi labda une na bellah asiende shulw huyu lakini pia tobby akirudi utamwambia akae na Bella maana ndio amemzoea sana pasipokuwa na uwepo wa mama yake"

Julius aliacha maagizo na kuondoka majila ya saa mbili alikuwa ameshafika hospital alifika wodini lakini hakunikuta, alimtafuta dokta aliyekuwa akinihudumia lakini pia ilishindikana alizunguka Sana bila mafanikio mwisho akaenda mapokezi kuuliza

"Samahani Ness namuulizia saada............"

"Ooooh weee ndio Julius sio ??"

" Ni Mimi"

"Saada amepelekwa muhimbili Hali yake Imebadilika gafla na madokta wengi leo hawapo kwajili ya upasuaji zaidi ya dokta kimu ambaye asingeweza kufanya peke yake "

"Umesema muhimbili SI ndio ??"

"Ndio alikupigia Sana hukupokea "

Julius akatoka mbio mpaka kwenye gari Safari ikaanza Kuna muhimbili.......

ITAENDELEA....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17


SONGA NAYO.............

Kila mtu alistuka maana hawakuwa wakiamini kinachoendelea.

" Kiukweli Mimi na saada tumeishi tofauti muda saada alilelewa na mama Mimi nimelelewa na shangazi, Mimi naenda kwa shangazi saada alikuwa ajazaliwa tumajuana na saada mwaka juzi kwenye msiba wa mama, lakini kabla ya kujuana hapo kwenye msiba Mimi na saada tulishakuwaga na bifu uko ujanani, lakini pia tuligombana, unajua saada anahuruma Sana alikuwa akimtetea baba kwa jinsi alivyonitenganisha Mimi na mama angu hivyo hasira zangu nikaamua kujitenga nao "

Julius hakusema ukweli wa mambo alificha kila kitu yaani hakutaka kufunguka sana.toby alibaki akifurahi tu yaani wifi yangu akanikumbatia kwa kufurahi kunijua, bellah...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.01K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

458
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

202
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest