Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO...........

Nilipofika mlangoni kwake nilisikia sauti ya watu wawili wanaongea ilikuwa ni yeye na mama yake, kwanza nikajuliuliza tangu lini uyu mama anaingia chumba Cha mkwe wake na mwanae au Mila ya wapi hiyo au kipi kilichomfanya aingie humu

" We nawe nimechoka kila siku Mara umemlia milioni Mara Nini sikia wewe kwasababu mwanangu dikson anakupenda sana nikakubali wewe kuolewa na huyu kijana kwaajili ya hela lakini pia nilikubali kuigiza mama yako lakini miaka inaenda na Mali haujazurumu ata kidogo "

"Eeeeh jamani mnafikili hi kazi rahisi, ndio maana nimewaita wewe na mwanao mje mnisaidie, hata Mimi nimemisi kukaa na dick wangu naumia kumuita kaka "

Nilihisi kaa masikia yangu hayasikii vizuri na muda huo nilikuwa nikiendelea kurekodi sauti zao walikuwa wakijiachia wakizani wako peke yao

" Sasa endelea kujiachia akuzalishe mke wa pili sitakubali kabisa na utaachana na mwanangu "

"Nisaidie sasa mama me nimefikilia Julius afe tu maana Mimi Ni mke halali nitapata kila kitu "

"We na huyu dada ake ??"

"Huyu tuna uhakikq gani Kama Ni Dada yake , kingine mama bellah nammudu kabisa, nataka kujua mazaifu yake tu "

Nikatoka na kurudi chumbani kwangu nikiwana hasira za kutosha yaani nilivimba nusu kupasuka nikawa nazunguka uku na uku, Sasa nikawa najiuliza dikson Ni Nani ambaye anasema amekuja au Yuko njiani maana huyu kaka yake aitwi Dickson Sasa huyo Dickson Yuko wapi au wamemficha humu ndani, jamani hivi unajua maswali nilikuwa na maswali ya kutosha ambayo majibu Sina nikapata kabis njia ya kutaka kumjua kiundani nikaona tunaishi na lishetani ndani, siku zote nilikuaga najua shetani Ni Mimi na madam Grace kutoka na matendo yetu kumbe Kuna wengine huku ๐Ÿ˜.

Siku hiyo nilichelewa kuwaandaa kina Bella hivyo gari ya shule iliwaacha ikabidi niwapeleke kwa huba, na niliwai kurudi, nilikuta milango yote iko wazi nikawaza Sana Kuna Nini mpaka milango iachwe hivi, nje pia mfungua geti hakuwepo, nikaingia ndani kila kitu Kiko sawa sebleni nikaenda chumbani kwangu kuko sawa nikawa natembea tembea uku na uku, nilipofika chumbani kwa Kaka yangu nikasikia sauti ambazo sijielewi kabisa nikawaza Kaka hayupo kasafiri huku wifi Yuko na Nani mlinzi au ? Nikapata shahuku ya kuchungulia lakini Moyo mwingine ulikuwa unaniambia itakuwa kaka karudi amemmisi mke wake wakasahau kufunga na milango, Sasa najishauri chungulia nyingine inaniambia acha, niliogopa kuchungulia nikatoka na kwenda kukaa sehemu ambayo Kama watatoka nje nitawaona na nitajua Kam Ni Kaka na wifi au wifi na mlinzi.

Baada ya muda kweli walikuwa wanatoka nikasimama sehemu ambayo wasingeweza kuniona, nilistuka nilipomuona wifi na mwanaume ambaye alitutambulisha kuwa Ni Kaka yake mtoto wa mama ake mkubwa Tena walitoka wakiwa watupu wanakisi tu, nilitamani nijitokeze wanione Zaidi nilivuta simu na kurekodi Ili kupata ushahidi kamili yaani sikutaka Mambo mengi mie.

Wakasogea Hadi sebleni

"Nilikumisi sana Dickson wangu "

Alizungumza wifi hapo ndo na Mimi nafunguliwa akili kumbe huyu ndio dick na ndio mama yake Ni huyu mtu mzima kisheta nikajibana na kurudi chumbani.

" Kavae mlinzi anaweza kurudi mda wowote "

"Nimemtuma mbali ujue na bado naitaji kuwa na wewe "

Muda huo huo mama mkwe feki wa Kaka angu aliamka na kutoka nje na kukuta wale wakiwa sebleni utupu kabisa

" Nyie mna akili kweli eeeh mtu akija akarudi gafla mtasema Nini tu na Kaka ake ??"

"Nani Sasa mtu na Kaka ake nawe acha kujifanya mwema "

"Kavaeni me mtumzima naona mbali tutatimuliwa hapa Kama mbwa "

Basi dick akaondoka, wifi yangu akachukua kanga iliyopo kwa mama dick na kujifunga, mda huo nilikuwa gorofani narekodi kila kitu yaani, Kisha nikajitokeza na kujifanya najinyoosha na kupiga miayo, kila mtu alistuka

"Eeeh wifi kumbe upo ndani umerudi saa ngapi??"

"Mda Sana sikukuta mtu hivyo nikaenda kulala ndani mlienda wapi ??"

"Me nililala ndo nimeamka , mama pia ndo ameamka,,,oooh na Kaka nae huyo Naona ndo anaamka "

Alizungumza hivyo baadaya kumuona dick anatoka ndani kwake, dick akanisalimia na kuaga kuwa anatoka nikabaki na wifi yangu na mama yake feki

"Afadhali kaka angu katoka ninakazi na wewe "

Alizungumza wifi na kunisogelea

"Wifi kwani wewe utaki kuolewa....??"

"Mungu akinijaalia mume mwema nitaolewa me najua wakati wangu haujafika "

"Oooh kumbe unasubili mtu mwema me Nina rafiki yangu anatafuta mke "

"Mungu atamsaidia atapata mke "

"Acha kujizima data wewe mama bellah me sikutaki humu ndani sawa "

Nilitamani kumuwashia Moto lakini nikasema ili sebene nitalianzisha Kaka akiwepo huu sio muda sahihi, nikamuacha akiwa anaendelea kubwata ye na mama ake mkwe wa mchongo.

Baada ya wiki tatu Sasa tukiwa dinning room tunakula familia nzima ilikuwa Ni chakula Cha usiku na Kaka alikuwa amesharudi wifi akainuka na kwenda kutapika Kama mtu mzima nilishaelewa nikasema movie karibu inaanza ngoja nimuache amalize matrela yake.

Asubuhi wakaenda hospital nakaka, wakarudi Kaka alikuwa na furaha sana Sana yaani akatuita wote sebleni na kutuambia kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili Basi tukawapongeza pale kila mtu akaendelea na mishe zake, Mara nyingi Julius akishinda nyumbani uwa anapenda kulala hivyo alienda ndani kulala, nikamuona dick na wifi yangu wanachukuzana mpaka chumbani kwa dick nami mbio mpaka dilishani nikaseti simu pale kwajili ya kurekodi

", Unaona ujinga wako mtoto wangu wa pili anaenda kuzaliwa kwenye hi nyumba na nakosa Haki ya kuitwa baba Kama previous kakazana kuniita mjomba "

" Nivumilie kesho kila kitu kinaisha nimeshaongea na watu wa kumsababishia ajali niamini Mimi "

Wakaongea mengi Kisha mama precious akatoka nami huyo nikatoa komwe langu na kulipeleka jikoni .

ITAENDELEA.....




FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19


SONGA NAYO...........

Nilipofika mlangoni kwake nilisikia sauti ya watu wawili wanaongea ilikuwa ni yeye na mama yake, kwanza nikajuliuliza tangu lini uyu mama anaingia chumba Cha mkwe wake na mwanae au Mila ya wapi hiyo au kipi kilichomfanya aingie humu

" We nawe nimechoka kila siku Mara umemlia milioni Mara Nini sikia wewe kwasababu mwanangu dikson anakupenda sana nikakubali wewe kuolewa na huyu kijana kwaajili ya hela lakini pia nilikubali kuigiza mama yako lakini miaka inaenda na Mali haujazurumu ata kidogo "

"Eeeeh jamani mnafikili hi kazi rahisi, ndio maana nimewaita wewe na mwanao mje mnisaidie, hata Mimi nimemisi kukaa na dick...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.01K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

458
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

202
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

190
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest