Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
......

Mimi Ni binti wa miaka 25 na Ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili, nilikuwa na mdogo wangu ambaye kwa Sasa alitakiwa kuwa na miaka 18 mdogo wangu alijulikana Kama kamili, lakini kamili alizaliwa na ugonjwa wa ukoma wa ngozi na alikuwa mlemavu alikuwa na mikono tu lakini haujaaliwa miguu na hi ndio ilikuwa sababu kubwa ya baba kutuacha na kutelekeza familia.

Kamili alizaliwa nikiwa na umri wa miaka saba na nilikuwa darasa la kwanza, tulikuwa tukiishi kwenye nyumba yetu ambayo ilikuwa na vyumba viwili mjini dar es salaam maeneo ya mbagala rangi tatu, mama alikuwa muuza mboga mboga mtaani na baba alikuwa Ni muajiliwa katika kampuni kubwa Sana hapa dar es salaam na Kaz hiyo alipata mwezi mmoja kabla kamili kuzaliwa hivyo hatukuwai kula mshahara wake kwani baba aliondoka nyumbani pale tu alipogundua kuwa mama amejifungua mtoto mwenye kasoro.

Maisha yalianza kuwa mabaya kwani biashara ya mama haikuweza kukidhi maitaji yetu, ukizingatia Yuko na mtoto mdogo na anayeitaji uangalizi wa hali ya juu, muda ulienda nilisimama shule, lakini sio kuwa mama alitaka hapana niliacha mwenyewe kwakuwa sikuwa nikipenda kusoma, yaani nilikuwa bozongwa la mwisho kabisa, nashukuru Mungu nimeubwa nimeumbika๐Ÿฅฐ.

Maisha yaliendelea ingawa shida ndio zilikuwa zikiongezeka siku baada ya siku hata majilani walitutenga kwa kudai mama mchawi, ndio maana amepata mtoto wa namna hiyo, kipindi hiko mbagala sio Kama ya sasa hivi jamani, mama hakujali aliangaika Sana kwaajili yetu.

Nakumbuka Kuna siku nilicheza na watoto wenzangu lakini njaa ilikuwa ikiniuma sana na nyumbani hakuna kitu na mama alienda mtaani kutembeza mboga akiwa na kamili Kuna mmama nakumbuka alimfata meanae kwaajili ya kupata chakula Cha mchana niliamua kumfata ili nipate kula SI unajua utoto Tena

" Na Mimi naomba kula njaa inaniuma Sana na mama hayupo "

Yule dada aliniangalia Sana akacheka

" Kumbe Hadi watoto wa wachawi wanakuwaga na njaa"

Alizungumza hivyo dada huyo lakini sikuwa nimemuelewa akanisogelea karibu na kunifinya mashavu, kisha akasema

"Chakula nakupa lakini Kama utakubali kufanya kila ninachokuambia "

Haraka haraka nikakubali , Basi nikapewa ukoko na maharage nilikula Sana niliona kabisa huyu Dada amenisaidia maana njaa ilikuwa kali sana, nilimshukuru na kuondoka.

Kesho asubuhi na mapema mama akaondoka nikiwa nimeshakunywa uji akaniambia Kama nitasikia njaa ameniwekea uji mwingine ndani nilifurahi na kuondoka kucheza, yule dada aliyekuwa amenipa chakula akanifuata na kuniambia nimsafishie vyombk vyake, nilisafisha vizuri kabisa kwani mama alinifundisha kufanya Kazi nikiwa mdogo Sana

" Kumbe unajua kuosha eeeeh vipi chakula leo hautaki...??"

Nikamjibu

" Mama ameniwekea uji leo "

" Sikia mtoto mzuri mama yako hakupendi wewe anampenda kamili ndio maana anakuachia uji halafu wao wanakula ubwabwa, nitakupa chakula ule sawa..."

Nilikubali nikala pale ugali na dagaa nilifurahi sana

Mama aliporudi majila ya saa 10 akiwa amerudi na mboga zake ilionesha kuwa biashara ilikuwa mbaya akaniuliza

" Mbona uji ujanywa....??"

Nikamjibu kuwa nimeshiba

"Umekula wapi....??"

" Kwa mama side alinipa ugali"

"Saada mwanangu nilikuambiaje usile kwa watu ndio maana nilikuwekea chakula chako hapa mbona uelewi"

Nikakumbuka maneno ya yule dada

" Usimwambie mama ako kama umekula kwangu sawa maana uoimwambia tu ataougombeza kwasababu akupendi "

Hapo niliona kabisa mama anipendi nikamwambia

" Kumbe unipendi "

Mama alistuka Sana na mtu mzima Ni mtu mzima tu alijua kabisa Kama nimemezeshwa sumu akamfata mama side

" Mmenitenga mtaa mzima hapa kisa Nina mtoto mlemavu Basi niachieni wanangu, unataka niwe na upweke wa kiasi gani eeeh... ? Mnataka niishije nakuomba Sana Sana "

Kisha maama akaondoka na kumuacha mama side na akicheka.

Siku iliyofuata mama hakutaka kabisa kuniacha nikaingia nae mtaani alikuwa akipiga kelele za kuuza mboga njia nzima lakini hakukuwa na wateja hata kidogo, njaw iliniuma na kamili alikuwa akilia Sana kutokana na njaa ja kuchoka baada ya kuchomwa na jua kali

" Lakini mama mbona watu awanunui kwasababu umembeba mtoto ambaye Hana miguu....??"

Nilimuuliza mama akujibu kitu Zaidi tuliingia kwa mama ntilie akanunua chakula Cha 1000 tukala kisha tukaendelea kuuza mboga, nilibaki nikifurahi baada ya mama kuninunulia chakula.

Siku zilienda na miaka kukatika lakini nilitokea Sana kumchukia mama baada ya kulishwa maneno ya sumu na majilani na walionesha kunijali sana

Hatimaye nikatimiza miaka 18 hapo mzuri Sasa najionaa Mimi tu, nataka kuvaa kisasa Zaidi nataka kuvaa mavazi ya ghali, na nilishaanza michezo ya hivyo nilipata mashoga wa hovyo sana ambao ndio niliwaamini Sana , na muda huo kamili alikuwa na umri wa miaka 11 lakini ndio alikuwa akisota baada ya kukosa miguu mama alikuwa akimpa uangalizi wa hali ya juu..

Nakumbuka ilikuwa Ni weekend majila ya saa 1 usiku nilijiandaa kwaajili ya kwenda club na marafiki zangu ambao wengi walinipita umri, sema nilikuwa na mwili mkubwa ukizingatia mshepu na jinsi nilivyokuwa najiweka nikaonekana na Mimi mkubwa.

"Saada mwanangu unaenda wapi mda huu eeeh si nilishakuambia sitaki matembezi ya usiku jamani angalia na mavazi uliyovaa jamani eeeh umekuwaje wewe"

" Shida yako unataka nionekane kibibi Kama ulivyo wewe si ndio....??"

Nilijibu Kisha nikainua pochi yangu kutaka kuondoka lakini alinishika mkono na akitaka kunizuia, niligeuka kwa hasira na kumsukuma alianguka chini lakini sikujali nikaondoka zangu mie"

Nilikula raha zangu za kila aina uko, na kulejea nyumbani saa 2 asubuhi pombe zikiwa Bado azijaniisha kabisa kichwani, nilimkuta mama akiwa amelala pale pale chini nipiokuwa nimemuacha, na kamili pia alikua amelala juu ya mama, moyo wa uwoga uliniingia na kumuangalia mama nilishika kila pande nilishtuka Sana baada ya..............

ITAENDELEA....
Tangazo - ila baba mkwe full story soma yote hapa
ila baba mkwe full story soma yote hapa
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO

......

Mimi Ni binti wa miaka 25 na Ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili, nilikuwa na mdogo wangu ambaye kwa Sasa alitakiwa kuwa na miaka 18 mdogo wangu alijulikana Kama kamili, lakini kamili alizaliwa na ugonjwa wa ukoma wa ngozi na alikuwa mlemavu alikuwa na mikono tu lakini haujaaliwa miguu na hi ndio ilikuwa sababu kubwa ya baba kutuacha na kutelekeza familia.

Kamili alizaliwa nikiwa na umri wa miaka saba na nilikuwa darasa la kwanza, tulikuwa tukiishi kwenye nyumba yetu ambayo ilikuwa na vyumba viwili mjini dar es salaam maeneo ya mbagala rangi tatu, mama alikuwa muuza mboga mboga...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-01-anza-nayo

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

9.97K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.45K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.28K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.05K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.01K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.96K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.93K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest