Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
Gonga94 ยท Stories

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SONGA NAYO...............

Kila mtu alistuka baada ya kuona jeneza likishushwa, watu walianza kulia bila kujua lilikuwa jeneza la nini au limembeba nana wakati huo nilikuwa nimemshika mwanangu nikijiambia tuliza akili hakuna kibaya kimetokea tulia, nikiwa naendelea kujipa moyo baba mkwe alinisogelea na kumchukua mtoto kisha kuniambia pole sana, nilihisi kuchaganyikiwa yaani kweli Benny leo analetwa akiwa kwenye jeneza, nilishazoea aje nimpokee acheze na mtoto wake.

Sikumbuki ilikuwaje nilikuja kuamka nikiwa kitandani kwangu pembeni alikuwako wifi yangu vero akiwa amevalia mavazi meusi na Mimi nilikuwa nimevikwa mavazi meupe,

"Bella Yuko wapi ...??"

Nilimuuliza Vero

"Yupo na mama kule nje unajisikiaje....??"

" Kidogo afadhali, Benny Yuko wapi ajarudi tuuu ??"

Wifi Vero aliinuka na kunikumbatia Vero alilia Sana hapo nikakumbuka Mara ya mwisho mwili wa Benny ulikuwa umeingizwa ndani akiwa kwenye jeneza na ulikuwa umeharibika Sana baada ya kugongwa na gari kubwa ambalo lilivamia duka letu la nafaka, nilipoteza mume na duka ambalo lilikua likiendesha maisha yangu ya mume wangu pamoja na Bella wetu.

Nikamuomba wifi atoke nje na aniache peke yangu , nilikwa ndani siku hiyo sio kawaida nilikuwa nasali muda wote na kuomba msamaha, kwa niliyoyatenda nyuma niliona kabisa naadhibiwa kwa unyama ambao nilikuwa nimeutenda kipindi kirefu kilichopita, baada ya muda bellah aliletwa ndani na mama mkwe, niliona mama mkwe anamaumivu makali Sana akutaka hata kuniangalia akaondoka baada ya kumuweka bellah kitandani nilimuita

" Mama....."

" Ishia hapo hapo eti mama kama uliweza kumuita mama yako shangazi unawezaje kuniita Mimi mama mtoto nuksi wewe nilikuwa nakusubili kwa hamu Sana , nuksi zako umemletea mwanangu uoni aibu wewe eeeh "

Aliongea kwa hasira Sana Kisha akanitupia daftari langu ambalo nilikuwa nimeandika historia yangu niliogopa Sana nilijiuliza maswali mengi Nini hatima yangu baada ya mama kujua haya juu yangu je nitaendelea kuishi hapa au ndio nitafukuzwa kama mbwa ? Nililia uku nikimuangalia bellah wangu ambaye alikuwa aelewi chochote

Majila ya saa kumi tulielekea makaburini kwaajili ya kumpumzisha Benny nyie sio Siri nilikuwa nalia na kuzimia mda wote, uwepo wa Benny kwangu ndio ulikuwa kila kitu kwa kipindi hiko, baada yamazishi tulirudi nyumbani nikajifungia ndani na bellah wangu mda wote naangalia picha za Benny anaangalia video ambazo nilikuwa nikijirekodi na Benny nilitamani iwe ndoto na niamke pembeni nimkute Benny akiwa amelala lakini haikuwa hivyo ๐Ÿ˜ญ Nina makosa sawa lakini kwani sistahili msamaha ?? Kwani ukiwa mkosefu ndio utakiwa kuwa na furaha jamani ? Kwani ukiwa una makosa ndio watu wakutenge mbona Benny alinipenda sana , kwani Benny sio binadamu Kama binadamu wengine jamani.

Baada ya wiki mbili kupita nikiwa nje nafua alikuja Amina nilimsalimia Kama kawaida lakini aliishia kunisukuma tu mpaka nikaanguka chini,

"Una Nini Amina we shida yako Nini niache Basi siko sawa "

" Unaanzaje kuwa sawa muuwaji mkubwa wewe Benny wangu angenisikiliza mpaka Leo angakuwa anaishi "

Nilipata hasira hizo nikasema huyu Sasa tunazidi kuzoeana na anavuka mipaka, nikamrukia nilimpiga siku hiyo nilimpiga yaani nilikumbuka mateso yote ninayopitia hasira zikaishia kwake, kwakuwa watu wa nyumbani walikuwepo walikuja na kuamua ugomvi

"Mmmmh huyu ndo mfiwa huyu ndo mke ambaye tunaamini kuwa na maumivu juu ya kifo Cha mume wake SI ndio , nimesema huyu mwanamke simtaki umu ndani "

Alizungumza mama mkwe akiwa analia, yaani aliona Mimi ndio mkosaji hakutaka kuulia Nini kilitokea nilio a Sasa Ni too much wacha niondoke tu Sina namna Sina jinsi Bora nikatafute maisha Kama Mungu amepanga niteseke Basi Ni sawa tu kuliko kubaki umo ndani ambapo nilikuwa naambiwa kuwa nimemuuwa benny, yaani tangu kifo Cha Benny baba mkwe na Vero tu ndio walikuwa wakinielewa lakini wengine wote walikuwa maadui kwangu hata wifi yangu mkubwa ambaye alitoka mwanza na kuja kwaajili ya mazishi alinichukiw ingawa hakuwai kukaa na Mimi , niliingia ndani na kupaki mabegi yangu , nilichukua Simu na kumpigia dereva ambaye tulikuwa tukimtumia kubeba nafaka kupeleka dukani.

Baba mkwe akaingia chumbani kwangu na kuzungumza na Mimi

" Mwanangu hala ya Sasa naona Hapa mtaumizana kabisa na uvumilivu unanishinda Mimi yaani nimetoka kumzika mwanangu lakini madrama kila siku nachoka kweli, Sasa naomba ukakae mijini kule Kuna mtu utakutana nae atakupigia atakupeleka sehemu nzuri naomba ubebe kila kitu kilichomo umu, maana ulileta wewe ukiwa na Benny sawa "

Nilimuelewa Sana baba na kukubali, yeye na wifi Vero wakanisaidia kutoa viti nje ingawa bado ilileta maneno kwanini niondoke na vitu vya Benny lakini baba mkwe alinitetea kwa kusema Ni kwaajili ya kusaidia malezi ya Bella, kwakuwa hata mama mkwe alikuwa akimpenda Bella alikubali ingawa sikujua ni kweli au shingo upande.

Gari ilifika na nikaiaga familia ile na kuondoka, nilikuwa nikilia mwanzo was Safari mpaka nilipofika kwenye nyumba ambayo baba alinielekeza, kulikuwa Ni mjini lakini Ni uswazi Sana kwanza hiyo nyumba yenyewe nilikuta wasichana Kama nane wamekaa nje wanapiga umbea.

Nilishusha vitu na kuanza kupanga bila kupumzika, uku Bella nikiwa nimembeba mgongoni, mmoja Kati ya wale wasichana aliinuka na kuja kunipokea Bella nilimshukuru sana.

Siku mbili zilipita nilianza hata kuwa mwenyeji ingawa nilikuwa mtu mwenye mawazo Sana, kumbukumbu kuhusu Benny azikuweza kufutika kichwani mwangu.

Nilikuwa na pesa kiasi nilibaki nazo nikaona hizi nikikaa hivi hivi zitaisha na sitakuwa na kitu Cha kufanya kilichokuwepo Bora nianzeshe biashara, nikafungua genge kwani nilikuwa na uzoefu nao, katika wasichana wote nilizoeana na mmoja tu ambaye alionekana simple Sana kuliko wengine na ndio alikuwa ata akinisaidia kumbeba Bella

"Dada saada mama alikuwa amekaa na bellah amesema umepeleke hospital maana joto lake sio la kawaida "

Sikutaka kusubili niliogopa Sana maana Bella ndio familia pekee niliyokuwa nayo karibu, nikajiandaa na Moja kwa Moja tukaenda hospital alipimwa na kuonekana kuwa anahoma Kali Sana na nimonia ilikuwa ikimshika polepole, hivyo tukapewa kitanda kwaajili ya uangalizi zaidi, Mambo yalizidi kuwa magumu nilitumia pesa nyingi Sana kumuuguza bellah uku nyumbani biashara ya genge ilisimama kabisa nilihisi kuvurugwa yaani

Baada ya wiki mbili niliruhusiwa kurudi nyumbani hapo Sina hata Mia mkononi, maana hata kurudi kutoka hospital nilitembea mpaka nyumbani, kipindi chote nilichokuwa hospital hakuna ahata mmoja kutoka katika familia ya Benny ambaye alikuja ingawa niliwapa taarifa za ugonjwa, niliporud pia nilimtafuta baba lakini haupatikana , nilipompigia wifi Vero alikata Kisha kuzima simu kabisa

" Sasa Ni Mimi na Bella tu Mungu tusimamie "

Niliona kabisa ndio tushatelekezwa, nishukuru Kodi nililipa ya miezi sita lakini niliwaza ikiisha je ? Ukiachana Kodi nitakula Nini na Bella atanyonyaje Kama Mimi sili kichwa kilikuwa kinapata moto tu, hapo nilikumbuka mama alivyokuwa akiangaika kwaajili yetu lakini niliona afanyi kitu.

Maisha yalibadilikq yakawa ya shida, ili kupata hela ya kula nikaanza kuuza vitu vyangu vya ndani na kununua chakula na kuweka ndani niliuza kabati la nguo na dressing table, hapo kidogo nilikuwa na chakula Cha kutosha , ingawa Bella alikuwa ajafikisha miezi sita niliamua kumuanzishia uji tu niliona kuwa maziwa yangu ayamtoshi.

Nakumbuka siku Moja nilikuwa nimekaa kibalazani peke yangu mda huo Bella alikuwa ameondoka na fatuma lilikuja gari zuri la kifahari na kupaki pale nje, nilistuka kwani nililipita honi.

Akashuka mbaba wa makamo, akiwa amembeba Bella nilishtuka inakuwaje Bella Yuko na huyu ikiwa aliondoka na fatuma

"Habari......"

Alinisalimia baba huyo ndipo nikatoka kwenye butwaa na kumjibu

" Salama , eeeh baba namuomba mwanangu kwanza "

"Tulia kwanza kwahiyo wewe ndio saada SI ndio au wewe ndio mama bellah??"

" Ndio Ni mimi, Nini kimetokea fatuma yuko wapi....?"

"Funga mdomo wako uko unakuwa Kama ujielewi we mwanamke wa aina gani eeeh unamtumia mdogo wako na mtoto wako kuomba omba ili mpate hela ukiwa wewe umelala......."

Nilistuka hatari......

ITAENDELEA.....



FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14

SONGA NAYO...............

Kila mtu alistuka baada ya kuona jeneza likishushwa, watu walianza kulia bila kujua lilikuwa jeneza la nini au limembeba nana wakati huo nilikuwa nimemshika mwanangu nikijiambia tuliza akili hakuna kibaya kimetokea tulia, nikiwa naendelea kujipa moyo baba mkwe alinisogelea na kumchukua mtoto kisha kuniambia pole sana, nilihisi kuchaganyikiwa yaani kweli Benny leo analetwa akiwa kwenye jeneza, nilishazoea aje nimpokee acheze na mtoto wake.

Sikumbuki ilikuwaje nilikuja kuamka nikiwa kitandani kwangu pembeni alikuwako wifi yangu vero akiwa amevalia mavazi meusi na Mimi nilikuwa nimevikwa mavazi meupe,

"Bella Yuko wapi ...??"

Nilimuuliza Vero

"Yupo na mama kule nje unajisikiaje....??"

" Kidogo afadhali,...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.01K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

461
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

204
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

203
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest