Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
Gonga94 ยท Stories

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO......

Nilimungalia Sana Betty uku nikijiuliza amesikia au maana Betty alikuwa Kama anafurahia ile kazi ya mule ndani na alikuwa na chuki sana tangu nimefika maana nilimpita kila kitu hivyo ilikuwa Ni bifu bifu, nikamshika mkono Sabrina na kutoka nae nje lakini Betty akasema

"Mmmmh tuone hiyo Siri Kama itadumu "

Hapo nilijua kabisa Betty amejua ukweli nilipata wasiwasi sana, nikamuomba Benny akae na Sabrina ili nikamuhudumie, alikuwa Ni Chris mteja wangu maarufu kabisa kijana mdogo mwenye pesa za kutosha, na tangu nifike hakuwai kubadili msichana Zaidi yangu.

"Chris naomba hivi kwanini kila siku unakuja kwaajili yangu kwanini usichague wanawake wengine "

"Sema una maneno mengi mno"

"Anyway nilikuwa naitaji unisaidie naitaji kumtorosha mtu ni mjamzito maadamu akijua tu atamtoa na Ni hatari sana kwasababu Ni imekuwa kubwa mno "

"Weeeh na huu ulinzi uliopo umu ndani...??"

"Najua lakini tafuta njia ya kumtoa huyu binti tu ikiwezekana usiku wa Leo nakuomba Sana "

Nikapiga na magoti kabisa kwani nilidhamilia kabisa kumsaidia Sabrina kwanza Ni binti mdogo lakini anayopitia makubwa ingawa sikujua maisha yake kiundani, basi Chris akakubali na kusema atanipigia kunipa plan ya kumtoa sabrina.

Baada ya muda nilirudi kwa Benny lakini ajabu sikumkuta Sabrina

" Sabrina Yuko wapi ...??"

"Madam Grace amekuja kumchukua sijui Kuna mteja haata sielewi"

"Uwiiii Benny jamani unamuachaje Sabrina aondoke na madam "

" Kwani Kuna nini?? Kuna kitu unanificha au ??"

" Sina Cha kukuficha lakini pia nilitaa nikitoka uku nije nikuambie , Sabrina ni mjamzito wa miezi sita sitaki madam ajue "

" Mungu wangu Betty kwani anajua maana nilimuona anacheka baada ya madam kumchukua Sabrina"

Hapo nilipata wasiwasi Zaidi nikatoka mbio mpaka chumbani kwa madam lakini sikumkuta nikarudi chumbani kwetu nikamkuta Betty na madam wakiwa na Sabrina .

" Upuuzi Kama huu sitautaka tena sawa...??"

Alizungumza madam akimwambia Sabrina Betty alikuwa akicheka tu kama chizi kaona jalala jipya, nilipofika wao wakatoka nje , nikamfata Sabrina aliyekuwa amelala kitandani

" Wamekufanya Nini ...??"

Sabrina aliishia kulia tuuu niliogopa sana na kumuuliza Tena Kisha akajibu

" Nimepewa vidonge vya kutoa mimba naogopa Sana da saada nisaidie nasikia maumivu makali sana "

Jasho lilikuwa likimtoka Sabrina kama maji, mwili ulikuwa na jito Sana muda huo huo damu zikawa zinamtoka nyingi Sana , sijakaa vizuri niliona mapovu yakimtoka mdomoni na puani apo nilichanganyiikiwa Zaidi nikaita

"Beniiiiiiiiiiiiiii"

Kisha nikatoka nje nikiitilia jina la benny kwani yeye ndo mtu wa karibu Sana kwangu bila kupoteza muda tulirudi chumbani nikiwa na Benny na watu wengine, Benny alipiga magoti na kumuangalia Sabrina , akamfumba macho ambayo yalikuwa wazi kisha akainuka na kunikumbatia, sikutaka kuamini kuwa Sabrina amefariiki , madam alisogea karibu na kumfunika Hadi usoni yaani nilitamani kumrukia lakini ndo hivyo sikuwa na uwezo, nilitoka nje nikiwa nimechoka mwili Hadi akili, wengi walikuwa na uzuni sana masiba wa Sabrina lakini pia hawakujua amekufa na nini, nilimfata Betty kwa hasira Sana

" Tofauti yako na ibirisi ni nini...??"

Nilimuuliza Betty ambaye akuonesha kuogopa hata kidogo mwisho akajibu

" Naweza nikawa mbaya sana Tena sana lakini me Nina imani na wewe unamabaya yako Tena inaweza kuwa Zaidi yangu "

Kisha akaondoka nikijiuliza huyu anajiamini hivyo kisa Nini , maneno Yale yaliniumiza Sana nilimkumbuka mama na mdogo wangu kamili kwa jinsi ambavyo niliishi nao vibaya sikuwai kuwajali wala kujua kuwa wao ni watu wa muhimu kwangu, nililia sana siku hiyo Benny alipata kazi kubwa sana kunibembeleza maana nililia kupita marelezo.

Kulikuwa kimya tu hakukuwa na chochote sikusikia kusema kuupeleka mwili hospital Wala monchwari, sikusikia habari za kuweka msiba nilibaki nikiwa sielewi, majila ya saa sita usiku wote tuliitwa sebleni, na madam , nilishangaa kukuta mwili wa Sabrina ukiwa umefungwa nguo nyeupe ukiwa umelazwa chini yaani kilio changu kiliongezeka.

" Tutampumzisha mwenzetu usiku huu Kama kawaida na Sheria za nyumba hi, Sabrina alikunywa sumu hatujui sababu Ni Nini tumuombee Mungu ampokee"

Alizungumza madam Grace na aliongea uongo mtupu yaani nilitamani nimshike nimkung'ute mpaka ashike adabu, wakaja mabaunsa wawili na kuchukua mwili wa Sabrina Kisha sisi tukafatia nyuma, kwa Mara ya kwanza niliona chumba ambacho madam alikuwa akitumia kuchoma miili ya watu waliopoteza maisha nikawa najiuliza kwahiyo hata Mimi nikifa humu nachomwa na familia yangu haitajua, nachomwa na hata Kaka angu Julius atojua nilipo, mawazo yalikuwa mengi mpaka nikahisi naenda kuwa chizi.

Ilipita wiki Moja nikiwa naumwa sana mwili hauna nguvu hata kidogo Mimi ni kitandani tuu hata nguvu ya kula Sina nikasema Sasa na Mimi nakufa na kuchomwa Kama sabrina, nilikua nikilia tuu

"Mama Kama bado uko na kinyongo uko uliko naomba unisamehe sana NISAMEHE mama haya maisha ninayoyaishi ninadhabu kubwa mno nitoe katika mateso hata mama najua wewe ukinisamehe Basi nitayaepuka matatizo "

Nilikuwa nikiongea kimoyo moyo muda wote niliwaza kuwa machozi ya mama yanafanya kazi kwangu yaani nalipwa mateso ambayo nilimtesa mama.

Kutokana na kuumwa kwangu madam alinipa wiki sita za kupumzika, bila kufanya chochote wateja wangu waliambiwa na walikuwa wakihudumiwa na mabinti wengine, Zaidi nilikuwa nikikutana na Benny tu ingawa kwa Siri sana, hali yangu iliimarika na dokta aliyekuwa akituhudumia alikuja kuangalia Hali yangu kama naweza kuanza kazi au laah, nilipimwa na kuonekana Niko sawa kabisa

" Ila hongera sana saada unaenda kuwa mama uko na ujauzito wa wiki tatu na siku nne "

Eeeeh hizi taarifa zilinipa presha sio ya kawaida ๐Ÿ˜‚ hivi mnaijua presha Nyie kumbukumbu zote za saada zilikuja kwa wakati mmoja

"Dokta please taarifa hizi zisifike kwa madam nisaidie nataka kumsurprise maana kila siku alikuwa anataka kuitwa Bibi so naomba usimwambie mpaka nianze Mimi "

Basi dokta akakubali alivyoondoka tu nilitoka nje haraka na kumtafuta benny, lakini niliambiwa kuwa amepatateja anamuhudumia, yaani hiyo miteja mimama mijitu mizima ilikuwa inanibowa Sana kila wakija wanamtaka Benny tu utazani hakuna vijana wengine. Nilikaa nikimsubili kwa hamu sana na uwoga wa Hali ya juu sana.

Baada ya muda alitoka na alikuwa akiagana nawanamke flani hivi nilistuka kumuona mama yangu wa kambo, yaani nilikuwa nikimchukia huyo mwanamke haraka nikamshika Benny mkono na kuondoka nae.

"Huyu mama ameanza Kuna lini hapa....??"

" Muda alikuwa anahudumiwa na Toby lakini SI unajua toby amekuwa wa madam baada ya Mimi kukataa, so Leo amenichagua Mimi "

" Usije ukakubali Tena ni mke wa baba angu yule "

"Weeh Seema kweli kumbe uko na familia "

" Utajua yote Nina daftari nimeandika kila kitu kuhusu maisha yangu, tuachane na hayo, jiandae kunizika Benny "

" Are you mad...?"

Aliuliza Benny

"Unajua kabisa hiyo lugha kwangu ni ugonjwa na uko bize kuniongelesha, Benny Nina mimba yao Ni ina wiki tatu na siku nne "

"What ........"

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10


SONGA NAYO......

Nilimungalia Sana Betty uku nikijiuliza amesikia au maana Betty alikuwa Kama anafurahia ile kazi ya mule ndani na alikuwa na chuki sana tangu nimefika maana nilimpita kila kitu hivyo ilikuwa Ni bifu bifu, nikamshika mkono Sabrina na kutoka nae nje lakini Betty akasema

"Mmmmh tuone hiyo Siri Kama itadumu "

Hapo nilijua kabisa Betty amejua ukweli nilipata wasiwasi sana, nikamuomba Benny akae na Sabrina ili nikamuhudumie, alikuwa Ni Chris mteja wangu maarufu kabisa kijana mdogo mwenye pesa za kutosha, na tangu nifike hakuwai kubadili msichana Zaidi yangu.

"Chris naomba hivi kwanini kila siku unakuja kwaajili yangu kwanini usichague wanawake wengine "

"Sema...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1.1K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.07K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*

469
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

242
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

233
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

230
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

226
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

127
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

110
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

102

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.39K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest