Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
Gonga94 ยท Stories

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SONGA NAYO........

Nilikutana uso kwa uso na mama mkwe, nilipomsalimia nilipokea bonge la sonyo nikabaki sura ndogo naangalia chini akanipita na kubeba jembe lake na kuondoka

"Tumalize shughuli za hapa leo tunaenda clinic nataka kila kitu kiwe sawa lakini pia nataka kuangalia biashara ya kufanya pesa zinaweza kusha hizi"

Baada ya kumaliza kila kitu tulijiandaa na kwenda hospital za mjini na ilikuwa private hospital yaani Benny alikuwa na mbwembwe Sana , lakini pia alikuwa akijulikana Sana maana kila Kona walikuwa wakimjua nikawa napata kazi ya kutambulishwa tuu.

Tulifika hospital na kuanza kupata vipimo baada ya muda mfupi tuliitwa na dokta kwaajili ya majibu

"Aaaah niwape hongera kwa hatua nzuri mliyofikia Mungu awajaalie"

Akatoa maelezo mengi pale, na kusema kuwa sitakiwi kuwa na mawazo maana naweza nikaatalisha ujauzito wangu na maelezo mengine mengine, tukarudi nyumbani nikiwa nimenunua blenda la juice na matunda nilifika na kuanza kuandaa matunda

"Eeeeh wifi kufika na kufika mikazi pumzika bwana"

Aliongea Vero ambaye alionekana kutokea kunikubali sana.

YOTE NI 500 TU!

Majila ya jioni Vero alikuwa akielekea kisimani nikaomba niende kupaona SI unajua Tena ukiwageni mgeni, hapo kumbukeni Nina nywele ya Bei kichwani yaani watu wa kijijini walikuwa wananishangaa Mimi tu.

Tulifika kisimani na kukuta wasichana wengi sana yaani kama mjini kwetu tu walikuwa wamekaa kupiga umbea badala ya kuchota maji.

"Mmmmh Vero huyo Naona uko na mgeni Leo "

Alizungumza msichana mmoja ambaye tulimkuta kisimani na Amina alikuwa akiniangalia kwa hasira tu

" Yeah Niko na wifi yangu wa wafaida, mke wa kaka angu mpendwa kabisa handsome la Kijiji "

Hapo nilijikuta nikicheka maana Vero alivyokuwa anajinadi Kama anaimba mashahiri

"Kaka ako gani huyo ambaye Ni handsome ambaye sisi hatumjui ??"

"Ahahahahahaha ebu acha unafki wewe Inamaana Kaka angu benny umjui wewe au
?? Mnataa kusema Amina ajawaambia kuwa kaka angu karudi na mke"

Kila mtu akamgeukia Amina yaani Kama wanamuuliza kumbe unajua ๐Ÿ˜ na hausemi kitu, hapo niligundua pia Vero na Amina Ni maadui yaani chui na paka, nikawasalimia na kila mtu akaitika kwa shauku kubwa sana nikabaki nikijichekea tu, tukachota maji na kutaka kuondoka, lakini, Amina akanifuata na kuniambia

"Mechi haijaisha bado usilolijua Benny ananipenda Sana "

Sikujibu kitu nikaondoka zangu mie , tulifika nyumbani na kukutana na mama mlangoni

" Kwahiyo wewe ndio hauna kichwa Cha kubebea ndoo una kichwa Cha kuweka hayo majongoo yako tu "

Nikajisemea kimoyo moyo

" Kumekucha Sasa huyu na Amina Awana tofauti kabisa "

Nikakaa kimya nikaingia ndani bila kumjibu yaani hiyo ilimchoma Sana aliumia Mara dufu

Majila ya usiku tulikaa Mimi na Benny chumbani akaniambia

"Nimeongea na Toby leo "

"Weeeh umempataje ? Umemwambia tulipo ? Me naogopa si unajua ye na madamu Ni watu wa karibu anaweza kutuchoma "

"Nilimtafuta ili nimsalimie lakini nimepata mengi, picha linaanza yeye anatoloka usiku wa leo nilimemuelekeza njia tuliyotokea sisi, lakini mule ndani Ni jehanamu walahi, stellah amefariki, jack, Lily na gidioni wamefariki "

"Subili kwanza gidioni niliyekuwa namuita zilla ??"

" Ndio "

"Mbona Ni wengi na wamekufa kwa muda mfupi Sana ๐Ÿ˜ญ"

"Amesema gidioni alikuwa anaumwa ameumwa bila kupewa matibabu na akupewa mapumziko wateja alikuwa akiwahudumia Kama kawaida, Lily alinyongwa alikamatwa akaotoloka ao wengine Ni kutolewa ujauzito, uwezi amini Betty naye anataka kutoloka "

"Na Mimi mda huu ningekuwa nimeshachomwa mwaya"

"Usiseme hivyo"

" Asante Sana Benny Asante kwa kila kitu kwa mabaya niliyoyafanya sikustahili kabisa kutendewa haya mpaka mda mwingine nahisi mama ako Yuko sahihi kunichukia"

"Acha bwana usiseme hivyo "

Nililia nyie siku hiyo niliwaza Kama wataweza kutoka.

Siku zilienda ingawa niliishi kwa shida kutokana na chuki ya mama mkwe na Amina ambao waliungana ili kuhakikisha kuwa wananitoa katika maisha ya Benny.

Hatimaye nilijifungua mtoto wa kike nilimshukuru Mungu kwa kila kitu, hapo kidogo niliona moyo wa mama mkwe unabadilika, alikuwa akinihudumia vizur Sana katika kipindi changu chote Cha uzazi, maana kipindi hiko tayali tulifungua duka la nafaka mjini, hivyo Mara nyingi Benny alikuwa akishinda mjini,

"Mtoto analia kaa nae naenda kisimani narudi "

Alisema mama mkwe nikaitikia nakuendelea kumbembeleza mtoto, lakini siku hiyo bellah alikuwa akilia sana kuliko kawaida, bellah Ni jina la mtoto wangu jamani, alilia sana siku hiyo niliogopa, nikachukua simu na kumpigia simu Benny bila mafanikio niliangaika Sana mpaka mama aliporudi

" Mama bellah analia Sana sijui anashida gani sielewi "

"Itakuwa tumbo linamsumbua mlete "

Akamchukua na kuanza kumbembeleza, baada ya muda alinyamaza na kulala kabisa, hapo nilipata nafasi ya kuandaa chakula.

Majila ya saa 3 usiku tukiwa tumekaa sebleni tukimsubili Benny na baba mkwe maana wao tu ndio walikuwa hawajarudi, tulisikia muungurumo wa Gari wote tukatoka nje maana nyumbani hatuna gari hivyo tulitaka kujua ni nani, wa kwanza kushika alikuwa ni baba alionekana kuchoka Sana kisha akasema

" Mnaweza kushusha "

Kila mtu alistuka baada ya kuona.........

ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13

SONGA NAYO........

Nilikutana uso kwa uso na mama mkwe, nilipomsalimia nilipokea bonge la sonyo nikabaki sura ndogo naangalia chini akanipita na kubeba jembe lake na kuondoka

"Tumalize shughuli za hapa leo tunaenda clinic nataka kila kitu kiwe sawa lakini pia nataka kuangalia biashara ya kufanya pesa zinaweza kusha hizi"

Baada ya kumaliza kila kitu tulijiandaa na kwenda hospital za mjini na ilikuwa private hospital yaani Benny alikuwa na mbwembwe Sana , lakini pia alikuwa akijulikana Sana maana kila Kona walikuwa wakimjua nikawa napata kazi ya kutambulishwa tuu.

Tulifika hospital na kuanza kupata vipimo baada ya muda mfupi tuliitwa na dokta kwaajili...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.02K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

463
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

204
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

203
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest