Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
Gonga94 ยท Stories

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



SONGA NAYO........

500 UNAPATA VYOTE VILIVYOBAKI

Benny alistuka sana sana alianza kutetemeka na kuogopa sana, mpaka nilimuonea huruma maana naona alichanganyikiwa kuliko mimi mwenyewe

" Sasa ndio Nini hivyo yaani unapaniki kuliko Mimi sijui tunafanyaje na nikuambie tumbo langu sio Kama Sabrina miezi mitatu tu linaonekana vizuri kabisa sijui tunafanyaje"

" Please naomba uniache mwenyewe hapa sawa kakae ndani tutaongea Sana nikishawaza nitakuita "

Kwakuwa niliona Hali yake aliyokuwa nayo sikuwa mkaidi haraka nikaondoka nilifika ndani nililia nyie acheni nililia sana niliwaza tu pale nitakapotoa halafu nikafa , yaani ilo swala liliniuliza sana, majila ya saa mbili usiku Benny akanitumia ujumbe

" Utaandaa vitu vyako usiku huu tunaondoka, hakikisha hakuna mtu anagundua hili "

Nilikubali lakini niliwaza tunaondokaje na ulinzi mkali kiasi kile, lakini niliona Bora kutoloka kuliko kubaki humo ndani.

Usiku wa saa 8 kukiwa kumetulia sana simu yangu ilita na alikuwa benny nikajua mda umefika nikatoka na begi langu sikutaka kuacha hata nguo Moja ingawa zote nilizikuta humo ndani, nilichukua na pesa zangu ambazo nilikuwa naziifadhi kisiri Siri nikatoka nje, mpaka nyuma ya nyumba kulikuwa na chemba kubwa sikuwai kuiona yaani Benny alikuwa akijua kila kitu tulitumua tochi za simu kupita katika chemba hiyo ingawa ilikuwa na maji machafu, tukatokea, tulipokutana na mfuniko wa chemba nyingine tulifungua na kupanda juu sikuamini tulikuwa Morocco, niliruka ruka na kumkumbatia Benny kwa furaha

" Achana na haya mahaba huku hatuna pa kukimbilia tunaweza shikwa mda wowote, nifuate "

Yaani Benny alikuwa serious sana siku hiyo wakati nishazoea kumuona akiwa na furaha mda wote na mtu wa matani, tulisimamisha boda Moja kwa Moja Hadi ubungo tunakodi nyumba ya wageni kwa muda mchache ilikuwa nikwaajili ya kuoga na kubadili nguo maana tulichafuka mno baada ya kutembea kwenye chemba ya maji machafu. Tulioga na kuvaa Kisha tukabeba mabegi kwaajili ya kuondoka

" Nimesahau vunja laini hizo kwanza "

Tukashusha Tena mabegi na kuanza kuvunja laini, tulimaliza na Sasa Safari ilikuwa Ni kwenda stendi ya magufuli, tukiwa kwenye tax nilimuuliza

" Tunaenda wapi...??"

" Nyumbani kwetu singida, hakuna anayejua me Ni mtu wa singida hivyo haitakuwa rahisi kupatikana lakini kubaki dar Ni kujitafutia kifo, Basi nikakubali yaani nilikuwa nawazia usalama tu.

Tulifika stendi na Mungu mkubwa tulipata gari ambayo ilikuwa inaondoka saa 11 asubuhi na ilikuwa imebaki nusu saa tu. Muda ulipofika gari ikashika njia na Safari kuanza hapo nikashusha pumzi ndefu sana kushukuru maana niliona kabisa nimepona, nikawa najidekea kwa Benny ambaye muda huo mood yake ilikuwa imekaa sawa.

" Naona unasinzia tu Sina laini ya kusema itanisaidia kuingia online, naomba basi daftari nisome history yako "

Alizungumza Benny nikaona huyu Sasa ananiletea Mambo meusi kwenye daftari nimeandika kila kitu akisoma halafu akanibadilikia me nitakuwa mgeni wa nani

" Utasoma tulifika "

"Noooh baby naomba Sasa hizi "

Aliendelea kulazimisha mwisho nikaona liwalo na liwe me nampa tu.

Nikavuta mkoba wangu na kumpatia, nikajilalia zangu kwenye miguu yake ingawa nilikua naogopa lakini sikuwa na namna, akaanza kusoma.

"Ooooh kumbe una mdogo wako anaitwa kamili Yuko wapi ...??"

"Kwani SI unaendelea kusoma au unataka Mimi nikuadithie "

Nilijibu kwa hasira mpaka mwenyewe akashangaa, akaendelea kusoma, baada ya muda na yeye akapitiwa na usingizi akiwa bado ajamaliza kusoma hivyo wote tukalala.

Safari ilikuwa ndefu sana ukizingatia sikuwai kutoka nje ya dar es salaam yaani niliteseka kwenye Gari kila mda namuuliza hivi bado sana anacheka tu na kuniambia niache uvivu

" Lakini kama umechoka sana tunaweza kushuka tukalala njiani then kesho tunaondoka na gari nyingine "

"Hapana najua hapo uko na shauku ya kuona familia yako "

"Ulijuaje yaani tangu nimalize chuo nikaanza biashara ya miwa ndo nikafika kwa madam Grace sijaenda nyumbani usikute wanajua nimekufa"

"Usiseme hivyo bhana "

Basi akachukua daftari na kuendelea kusoma kwakuwa aliacha kidogo aliwai kumaliza ila mwandiko wangu ulimpa shida Sana ๐Ÿ˜‚

"Pole sana me naimani ma amekusamehe Ni utoto na foolish age uliyokuwa ukiipotia "

Alisema Benny baada ya kumaliza kusoma, nikajikuta nikianza kulia akapata ajila ya kunituliza.

Majila ya saa 6 tuliwasili singida mjini, tunaenda kwenye nyumba ya wageni na kulala.

Nilikuwa nimechoka Sana ukizingatia ndio mama kijacho niliamka saa 5 asubuhi, nilikuta nimeandaliwa kila kitu mpaka nguo za kuvaa, ili niliwekewa mgauni uo mrefu wa kumwaga, na lilikuwa jipya kabisa

" Finally umeamka kaoge ule tuondoke, utavaa ili haya mavazi yako ya kwa madam Grace nyumbani kwetu utaonekana muhuni sana "

" Eeeh salamu kwanza jamani we unajuaje Kama nimeamka salama "

Kisha wote tukachea nikaondoka kuoga, baada ya muda kila mtu alikuwa tayali na Safari ikaanza kuelekea singida vijijini, ilikuwa kijijini kweli yaani nyumba ya kwanza Kama Ni korogwe ya pili unaweza ikuta kimara.

Baada ya muda tulifika, nyumba yao walikuwa wakiishi wengi maana nje tuu tulikuta watoto wa kutosha binti mmoja ndio alimjua Benny na kumkumbilia, basi nikaona watu wengine wakitoka nje baada ya kusikia kelele jamani kiukweli walikuwa wamemkumbuka Sana walimvamia wote wakaenda chini ๐Ÿ˜ nilibaki najichekesha tu huku hakuna hata mmoja aliyekuja ata kunipokea begi, waliinuka na kuingia ndani nilibaki pale nje nikishangaa hata benny aliingia ndani na familia yake na kusahau kuwa amekuja na mgeni, sijui machozi yalitokea wapi lakini niliyaona yakitililika tu kama Sina akili nzuri, nikafuta machozi na kupiga hodi Ili niingie ndani

"Ooooh am sorry"

Alizungumza Benny baada ya Mimi kuingia ndani nilitikiza kichwa kuonesha Niko sawa , kila mtu akaanza kuniagalia Mimi Nyie walikuwa Ni washamba wote walikaa chini isipokuwa Benny ambaye walimpa kiti, nilikaa karibu na benny hapo nimechoka tumbo linakwangua kwaajili ya njaa kusema ndo nashindwa.

Walikuwa wakimuuliza maswali mengi Sana mfululizo

" Eeeh jamani mama ndio kwanza nimefika niacheni nitulie kwanza huyu Ni mgeni wangu lakini tutaongea baadae akaniinua na kuniomba twende chumbani

" Eeeh mwanamke anaenda chumba kimoja na wewe..??"

Aliuliza mama Benny

" Tutaongea mama "

Hao tukaingia chumbani kwake, kulikuwa na meza na nguo na godoro ambalo limelazwa chini hakukuwa na sakafu Zaidi ya mchanga tuuu

"Karibu ili ndo geto langu naona awajaligusa liko kamanilivyoacha"

Nilikuwa nikimuangalia tu anavyojiongelea muda huo huo aka............

ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11




SONGA NAYO........

500 UNAPATA VYOTE VILIVYOBAKI

Benny alistuka sana sana alianza kutetemeka na kuogopa sana, mpaka nilimuonea huruma maana naona alichanganyikiwa kuliko mimi mwenyewe

" Sasa ndio Nini hivyo yaani unapaniki kuliko Mimi sijui tunafanyaje na nikuambie tumbo langu sio Kama Sabrina miezi mitatu tu linaonekana vizuri kabisa sijui tunafanyaje"

" Please naomba uniache mwenyewe hapa sawa kakae ndani tutaongea Sana nikishawaza nitakuita "

Kwakuwa niliona Hali yake aliyokuwa nayo sikuwa mkaidi haraka nikaondoka nilifika ndani nililia nyie acheni nililia sana niliwaza tu pale nitakapotoa halafu nikafa , yaani ilo swala liliniuliza sana, majila ya saa mbili usiku Benny akanitumia ujumbe

"...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.01K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

460
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

204
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

203
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest