VYOTE NDANI GONGA94
FORGIVE ME, MOM ๐ญ๐ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SONGA NAYO.........
Nikaita
"Benny "
Benny akuamini aliponiona nilikuwa na muonekano tofauti na wa mwanzo, kila mtu alikuwa akiniongelea wapo walionichukia gafla na kujenga wivu na chuki ya gafla.
Tukaongozana mpaka kwenye viti ambavyo vilikuwa peke
" Saada mbona kama siamini ninachokiona...?"
"Kwanini....??"
"Betty ndo amekuvesha hivi na kukwambia ubadilishe na mwendo "
"Ooooh acha utani Basi nimevaa mwenyewe na kila kitu nimefanya Mwenyewe hata Betty ajaniona ila madam wenu naona ndo kachanganyikiwa kuliko ninyi"
" Hi inamaanisha umekubali kabisa kufanya hi kazi mapema hivi"
" Kazi gani....??"
" Iliyokuleta hapa"
"Kwani Kuna kazi gani hapa ...??"
"Anyway tuongee mambo mengine achana na hayo "
Tulipiga story nyingi Sana Benny alikuwa mvulana flani hivi amaizing, charming sana.
Majila ya saa 9 tuliitwa ndani Benny akaniambia
"Baada ya kukaa na Mimi siku nzima hivi utapata maadui wengi kuliko wanaokupenda "
"Kwanini....??"
" Wai wewe tumeitwa na madam , ila saada unaonekana mmbea mmbea sana "
Tukacheka na kwenda sebleni
"Saada njoo hapa "
Aliniita madamu akiwa na tabasamu la kutosha, nikaachia tabasamu langu na Mimi yaani nilikuwa najishauwa siku hiyo nilishaona hakuna anayejifikia kwa umbo zuri, na niligundua wote walikuwa washamba ujanja wa kufundishwa tuh.
"Jamani hivi mnamuona saada Kama ninavyomuona Mimi au Mimi naona vibaya jamani she's so beautiful"
Alinisifia madamu na kunifanya niongeze malingo
"Anyway nimewaita hapa kwasababu nataka tuandaae vizuri tutakuwa na Patty usiku wa leo wa kumpokea saada kama ilivyo kawaida yetu.
Nilifurahi sana alimaliza kutoa maelezo Kisha akaomba nimfuate chumbani kwake, aisee chumba chake Ni hatari ya mwisho kabisa kizuri Sana full AC kina nukia vizuri akanikaribisha
"Karibu ukae "
Nikakaa kwenye kiti kilichopo pembeni aliningalia kisha akasema
"Saada leo umejua kumchanganya kila mtu umekuja Jana tu leo Ni kila kuchwa kinawaka Moto kwaajili yako, nishajua we Ni mtoto wa mjini, sitaki kujua historia yako lakini nitakuambia direct mambo ya hapa "
"Unafikili hata ungetaka historia yangu ningekupa Sasa "
Nilijibu hivyo lakini nilishaanza kumkumbuka mama lakini sikutaka kuonesha uzuni yangu nikatabasamu
"Sasa sikia kazi iliyoko humu haina tofauti na kujiuza isipokuwa sisi Ni tofauti na wale wanaosimama brabarani halafu sisi tuna maisha mazuri mno sijui unaelewa, nilikuwa nimepanga kukwambia haya baada ya kuzoea mazingira lakini nimeona wewe ni mtoto wa mjini kabisa "
Hapo nilipata wasiwasi Niliona kabisa narudi kwenye maisha yangu ya mwanzo ambayo sikutaka kurudi maana nilikuwa nikibadilisha sana wanaume kipindi iko, sikutaka kumkatisha tamaa nikakubali, ingawa kwa shingo upande.
Usiku Patty ilikuwa kubwa sana watu walikuwa bize na mziki lakini nilikuwa na mawazo Sana sikuwa na furaha au malingo Kama niliyoyaonesha mchana, Benny akanifuata nilipo
"Mmmmh Kuna mtu ameshajua Nini kimemleta hapa Sasa "
"Please benny naitaji kuwa mwenyewe "
Benny akujibu kitu Zaidi aliondoka niliingia chumbani na kuwaza sana lakini sikuwa na majibu sahihi mwisho nikajiambia
"Kuliko kurudi mtaani ambako sijui naenda kuanzia wapi wacha nikubali maana sio Mara yakwamza haya mambo ingawa mwanzo nilikuwa nikifanya kwaajili ya ucharuko wangu ila Sasa hivi maisha "
Nikarudi chini, nikaingia Kati na kuanza kucheza mziki, Benny akaja tukawa tunacheza
"Hivi itaisha saa ngapi hi sherehe...??"
"Ahahah Hadi asubuhi yaani na hautakuja kuamini hakuna mtu ataenda kulala kila yaani usingizii Amna kabisa kukiwaga na sherehe.
Lakini sikuzoea mambo ya kukesha na nililewa sana nilimuomba Benny anisaidie kuingia ndani maana zile ngazi zilikuwa ndefu kwa pombe niliyokunywa.
Sijui kilitokea Nini lakini nilikuja kuamoa asubuhi Benny akiwa pembeni yangu na wote tulikuwa watupu, nikamuamsha kwa kumtikisa, akainuka
"Uwiii nimelala mpaka mda huu Ni saa mbili uwiii nikionekan huku nimeisha "
"Unalalamika tuu SI utoke nje Sasa "
Benny alitoka nje lakini alikutana uso kwa uso na Betty nikasema msala huu Sasa
Betty aliingia ndani akiwa na hasira Sana
" Umejisikiaje kunilaza sebleni, Tena unathubutuje kulala na mwanaume kwenye chumba chetu, kumbe unijui Mimi nani eeeh kwa taarifa yako Mimi ndio kiongozi wa hapa na nilipewa chumba Cha peke angu wako wenzio uko wanalaa mpaka 6, ulivyovuka mipaka ukalala na mtu ambaye nampenda mno "
Nikaona huyu Sasa anataka kunipanda kichwani nikimuangalia Sana mwisho nikainuka na kwenda kuoga, nilipotoka nilimkuta akiwa na madamu grace
"Oooh madam shikamoo"
Nilimsalimia madam Grace
"Betty naomba utupishe niongee na saada "
Betty akatoka madam akafunga mlango
" Ni kweli umelala na Benny ??"
Ilo lilikua swali la kwanza kutoka kwa madamu, niliangalia chini kwa aibu Kisha nikatikisa kichwa kwa kukubali
"Lakini maadam Ni bahati mbaya tuu nililewa Sana Jana na sijui kwanini nimefanya hivyo sikumbuki vizuri Kama nimakosa naomba unisamehe sana "
"Ni makosa makubwa Seema adhabu yako atabeba Benny anajua Sheria za umu ndani kuwa haturuhusu mahusiano baina yetu, kwa Leo nakusamehe wewe"
"Aaaah madam Mimi ndio nilimlazimisha Benny "
Madam akafungua mlango na kuondoka nilibaki nikijilaumu kwanini nimefanya hivyo.
Nilipokuja kutoka nje nilimkuta benny akisafisha swimming pool nikamsalimia ingawa nilikua naona aibu
"Ukanisababisha matatizo umefurahi eeeh ?"
Kabla sijajibu madam akaniita nikaondoka.
"Jiandae Kuna mgeni kwaajili yako Sasa hivi naomba umuhudumie Kama ulivyomuhudumia Benny "
Nilihisi kuishiwa nguvu niliona kabisa haya maisha yanaenda kunishinda niliona yaani Kama na Mimi napewa adhabu baada ya kulala na Benny, baada ya muda alifika mgeni wangu alikuwa Ni kijana ambaye nilimuona siku ya kwanza kabisa nilipofika na alihudumiwa na Betty , sikuwa wa jinsi nilimuhudumia vizuri Kama ambavyo ilitakiwa ingawa sikuwa nimependa nilikuwa na hasira Sana siku hiyo nilishinda ndani nikiwa time fungia tu .
Majila ya usiku madam alikuja akiwa na mfuko pembeni na kunikabidhi,
"mteja wako wa kwanza amefurahi sana leo amelipa pesa nyingi mno sikuwa na budi but kukununua iPhone X Kama zawadi"
Kusikia I phone Tena nilifurahi hatari hatari yaani nikamkumbatia madamu.
" Laini nimeweka nimekuwekea namba za wenzio wa humu na Mimi tu uruhusiwi kuwa na mawasiliano na watu wa nje "
Kisha madam akaondoka nje nikaanza heka heka zangu nikaingiza account zangu za mtandaoni nilizokuwa natumia Jana nilikutana na sms jingi Sana za rafiki zangu wakiuliza nimepotelea wapi, nikaanza kujibu Mona baada ya nyingine huku nikiwadanganya kuwa Niko marekani ๐ yaani nilikuwa na akili fupi Mimi mmmh lakini nilikuwa na uhakika kuwa hatutakuja kuonana kwani umu ndani kutoka sio rahisi.
Nikiwa nimekaa zangu bize na simu nilimkumbuka Benny nikatoka nje ili nimuone
"Naona leo umeshinda ndani...??"
"Yaaah we SI ulikuwa unanifokea mda wote yaani Kama nimekufanyia Jambo kubwa Sana "
Nilijibu uku nikisubili atasema Nini
"I love you saada "
Uwiii nilistuka nikaangalia uku na uku kama hakuna mtu anaangalia maana haturuhusiwi kuwa na mahusiano
"Tutafanya siri niamini "
Aliendelea Benny sikuwa na budi kukubali nikampa namba zangu tukawa tunapiga picha.
Muda ulienda Sana Kama miezi minne nikiwa mzoefu Sana wageni pia waliendelea kuja, nilikuwa nikiteseka pale tu wateja wa kike wakina na kumchagua Benny nilikuwa natamani niwameze ๐.
Basi nilipata na rafiki wa kike aliyeitwa Sabrina alikuwa mtaratibu Sana na hakuwa akipenda kazi hiyo, na alikuwa na sababu zilizomfanya kufika hapo, wakati huo madam alikuwa akinipenda sana Mimi kwani ndio nilikuwa nikimuingizia pesa nyingi kuliko wengine.
Nikiwa chumbani na Sabrina tunaongea alionekana hayuko sawa kabisa
"Una shida gani....??"
"Yaani hata sielewi nimepima leo nimegundua ni mjamzito na kumbuka Sheria za umu ndani "
"Uwiii Sabrina sijui tunafanyaje, lakini subili usimwambie mtu mwingine Wala maadam iache ikue ikiwa kubwa atakuacha tuu uzae atotoa"
Nikubwa nahisi miezi sita Sasa huu mwili ndo unanisaidia kuficha tumbo"
Tulistuka baada ya mlango kufunguliwa na aliingia bettty ambaye ndio adui yangu mkuu katika jumba Hilo akaanza kucheka Kisha akasema
" Unaitwa Kuna mgeni wako...."
ITAENDELEA.....
FORGIVE ME, MOM ๐ญ๐ญ
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi forgive-me-mom-nisamehe-mama-sehemu-ya