Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.....

Julius akatoka mbio mpaka kwenye gari Safari ikaanza kuja muhimbili.

Kwa upande wangu nilifikishwa muhimbili nikiwa sijitambui Wala sijielewi kabisa, na kwakuwa simu ilikuwa imeshapigwa kwaajili ya ujio wangu kila kitu kwaajili ya upasuaji kiliandaliwa na Moja kwa moja niliingizwa kwenye chumba Cha upasuaji na huduma ikaanza yaani ilikuwa haraka haraka maana Hali yangu ilikuwa mbaya sana, dokta Kim akiruhusiwa kuingia kwasababu sio dokta wa hospital hiyo hivyo alikaa nje ya chumba nilichokuwa nafanyiwa upasuaji alizunguka huku na huku, baada ya muda alifika Julius alichanganyikiwa Sana jinsi alivyokuwa akitembea na kuongea peke yake kwa watu wengi walizani ameanza kupatwa na uchizi Nyie ndugu Ni ndugu, mimi niliikosea Sana familia yangu lakini wananipenda mno.

Baada ya kuuliza alielekezwa nilipo alikuja mbio na kukutana na dokta Kim nje.

"Dokta afadhali nimekuona saada Yuko wapi....??"

" Tulia kwanza, kqa chini nakuomba "

"Saada Yuko wapi bwana "

Julius alipandisha sauti.

"Kaa chini Julius ulikuwa unaendesha gari lakini unavyoema Ni Kama ulikuwa ukikimbia vile hi Ni hatari kwa afya yako sawa kaa chini tuongee"

Julius akaona huyu ananiletea ujinga akaanza kufungua vyumba vilivyopo eneo lile na kuangalia, lakini kama dokta alivyosema Julius akuchukua muda akaanguka chini na kupoteza fahamu ,dokta kimu akajikuta akipata mgonjwa mwingine akiwa kwenye hospital ya watu, haraka akapelekwa wodini na kutundukiwa dripu la nguvu.

Baada ya masaa kadhaa dokta aliyekuwa akinihudumia na jopo lake walitoka kuashiria kuwa wamemaliza nje wakakutana na dokta kimu.

"Saada anaendeleaje..??"

"Nifuate ofisini"

Haraka wakaongozana Hadi ofisini kwaajili ya maongezi.

"Aaaah tunashukuru Mungu tumefanikisha yaani , ulituambia utumbo umejikunja tu, kiukweli ulijikunja na kuanza kukatika, ndio maana Hali yake ilikuwa mbaya kiasi hiki, tumuombee apone maana uwezekano ni mdogo sana, na wewe Ni dokta me uwa sipendi kukatisha tamaa familia ya mgonjwa nakuambia kwasababu wewe uhusiki nae huyu mgonjwa ana hali mbaya mno "

Dokta Kimu akaishia kushusha pumzi tu maana aliona Mambo Ni magumu Sana akifikilia muda huo Kaka angu Yuko kitandani akiamka atamwambia Nini ndo alichoka zaidi

" Mpaka Sasa natakiwa kuondoka hapa hospital nashindwa sijui kwanini moyo wangu umekuwa mgumu kuiacha hi familia yaani daaah Niko nje dokta "

Alizungumza dokta Kimu na kutoka nje akiwa anafuta machozi.

Usiku Sana Kaka Julius aliamka na kujishangaa akiwa na dripu la maji na yupo kitandani hakuwa hakikumbuka Nini kilitokea Zaidi alikuwa akiitaji jina langu.

Baada ya siku tatu ndio napata fahamu nikiwa ICU Nina mipira ya gesi na ya chakula lakini pia sikuweza kuinuka Wala kufanya chochote kwani sikupona vizuri na ndio kwanza nimeamka kwa Mara ya kwanza tangu nilipofanyiwa upasuaji.

Madaktari walikuja na kunitoa ile mipira na kuniamisha wodi na kunipeleka wodi ya kawaida hapo hata ndugu zangu walikuwa na uwezo was kuja kuniona na wa kwanza alikuwa bellah na Kaka Julius, nilitabasamu nilipomuona Bella yaani Bella alikuwa na sura ya Benny kabisa nilipomuangalia tu machozi yakaanza kunitoka, Bella mwanangu akanikumbatia

" Mama usiumwe Tena bwana Mimi hata shule siendi ukiumwa "

Nikacheka Kaka Julius alikuwa akiniangalia akanisogelea na kupiga magoti pembeni yangu

"Unajisikiaje??"

"Vizuri namshukuru Mungu kwakweli "

"Utakuwa sawa mpenzi sawa utakuwa sawa pacha sawa dada "

Nikatabasamu kutoka ana maneno mazuri niliyokuwa nikipewa na kaka yangu, nilikaa hospital takribani mwezi mzima, ndipo niliporuhusiwa, nilipofika nyumbani Moja kwa Moja chumbani kwangu wifi yangu akaja na kumuita bellah

" Precious anakusubili mkale sawa "

"Mimi nakula na mama "

"Jamani bellah nenda kale na dada p sawa anakusubili wewe "

Niliongea ili kumfanya bellah akubali lakini alikataa nikaomba Toby alete chakula ili niweze kula nae

"Mama huyu shangazi ananivutaga mashavu "

"Unasemaje.....??"

"Niliuliza kwa hasira Sana na nilijua Ni kweli kwanini amtaje yeye ajawai mtaja Toby na Mara nyingi Toby ndo uwa anakaa na bellah lakini sijawai kupokea malalamiko

"Kwanini anakuvuta mashavu "

"Anasema nakula Sana naleta hasara, halafu mama eti ukifa ndio aurudi Tena....??"

Aliuliza Bella nilistuka muda huo huo akaingia toby

"Bellah nilisemaje eeh usiwe unaongea hivyo "

"Kwani anaongeaga hivi ??"

"Ndio dada angu yaangu tangu uko hospital ananiuliza hivyo ukimuuliza anasema wifi yako ndo kasema wewe unakufa aurudi, nachanganyikiwa sijui kitu kinachoendelea "

"Aaaah toby huyu mtoto tu aelewi unajua wifi yangu amezoea kumwambiaga mama ake utakufa ukikataa chakula na dawa Sasa huyu amekalili "

Niliamua kupotezea tu ingawa nilishajua ukweli kuhusu wifi yangu.

Nilikaa sawa kabisa na kurudi dukani kwangu Kaka Julius alikuwa makini Sana na Mimi Chakula kwa wakati, nilianza clinic ya waathirika wa ukimwi na nilianza kutumia dawa zangu, ukiangalia na misosi ninayokula yaani nilikuwa nanenepa tu napendeza mtu akiniona lazima anitamani yaani lazima atamani niwe mke wake bila kujua kuwa naumwa.

Siku ya jumapili kama kawaida yangu sikufungua duka na siku hiyo familia nzima tulikuwa nyumbani, nikawa nimekaa chumbani naperuzi mitandaoni Mara wifi yangu akaingia

"Mmmmh yaani Kama kwako unachati tu wenzio wote tumekaa sebleni wewe Ni Nani ujikalishe uku peke yako ??"

"Wifi Sina mood nzuri kabisa kabisa ndio maana unaona nimekuja kukaa mwenyewe uku naomba uniache tu na utoke nje "

"Yaani unanifukuza kwenye nyumba yangu we una upungufu wa akili au??"

"Kwani shida ako Nini "

"Shida yangu unanibana kwenye nyumba yangu Sina uhuru beba kifaranga chako uchafu wako huu, na lile beberu lako ondokeni kwani mpaka mkae hapa "

"We unijui vizuri Tena ukiendelea kuhusu Bella nitakuoneesha show kamuulize kwanza mumeo kuhusu Mimi usikurupuke "

Nikainuka na kutoka nje akasonya na kunifuata nyuma na kujiongelesha kwa sauti

" Si hivyo umetoka nje kila mda ndani ndani tunakumisi bwana kila siku dukani asubuhi ukirudi usiku hatupati muda wa kuzungumza na kuinjoy pamoja"

Alizungumza wifi yangu Kaka akawa anacheka tu nilimkata jicho Hilo na kujisemea kimoyo moyo

"Wewe cheza ukouko kweye vumbi ukiingia Rami wewe utajuta kwanini ulikuja mjini"

Kwakuwa nilitaka kumjua vizuri wifi yangu na familia yake nilimuomba toby akakae dukani kwangu kwa wiki Moja tu.

Nikawa natoka asubuhi saa sita nimerudi , siku hiyo nilishaoanga liwalo na liwe lazima nimnyooshe huyu wifi yangu ili aniheshimu, nikawa namfata chumbani kwake nilipofika mlangoni Nika...............

ITAENDELEA..........




FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18


SONGA NAYO.....

Julius akatoka mbio mpaka kwenye gari Safari ikaanza kuja muhimbili.

Kwa upande wangu nilifikishwa muhimbili nikiwa sijitambui Wala sijielewi kabisa, na kwakuwa simu ilikuwa imeshapigwa kwaajili ya ujio wangu kila kitu kwaajili ya upasuaji kiliandaliwa na Moja kwa moja niliingizwa kwenye chumba Cha upasuaji na huduma ikaanza yaani ilikuwa haraka haraka maana Hali yangu ilikuwa mbaya sana, dokta Kim akiruhusiwa kuingia kwasababu sio dokta wa hospital hiyo hivyo alikaa nje ya chumba nilichokuwa nafanyiwa upasuaji alizunguka huku na huku, baada ya muda alifika Julius alichanganyikiwa Sana jinsi alivyokuwa akitembea na kuongea peke yake kwa watu wengi walizani ameanza kupatwa na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43

1.01K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45

1K
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

458
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

226
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

203
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

202
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

190
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5

105
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*

100

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.67K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.81K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.82K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
๐ŸšฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐Ÿ”ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐Ÿ’ต Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL โšฝ. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL โšฝ.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo๐Ÿ˜ณ. Anadhani labda ameenda chuo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest