Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9  Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
Gonga94 · Stories

UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Alex aliwasha gari wakaondoka kuelekea shopping muda wote alikuwa anawaza nini kimefanya Linda akubali ombi lake haraka vile??

Wakati Alex anawaza ya kwake linda nae alikuwa anawaza ya kwake kichwani...alikuwa anajiuliza ni kwanini Alex anataka niwe mpnz wake na bado anilipe🥵🥵

Itabidi nimuulize😩😩 hello aliita Linda huku akimwangalia Alex aliekuwa bize kuendesha gari.. Alex alijifanya hajisikii huku akiona raha vile Linda anavyomuita na kumtizama usoni kwake😍😍

"Kwanini unataka niwe mpnz wako" Linda alimuuliza Alex..

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex..

"Ila Sawa, leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na wanataka nimlete mpnz wangu na kwa vile sina ndo maana nimekuomba☹️..

"Seriously?? Vipi kuhusu yule bibi niliyekuona ukimbs , Kwan hawez kufaa kuwa mwanamke wako? " Akaulzia Linda

"Lazima uingie kwenye mambo ya watu wengine" Alisema Alex kwa hasira..

"Nilijua nimesema kile ambacho sitakiwi kusema.
"Samahani bwana" Linda alisema

Hii ni kama mara ya tatu Linda akiomba msamaha MAANA bado anahofu kwa kitu alichomfanyia Alex na Alex mpaka muda huo hakuonesha reaction yoyote ile.

walifika kwenye maduka ya fashion ambayo ni maarufu kwa jina la FM na hapo ndipo kunakouzwa vitu vya bei ghali ZAIDI.

"Anafanya hivi kweli???? Linda alijiuliza
"Je, UPO tayar tufanye manunuzi" Alisema Alex na kumshika mkono Linda.

"Mbona anajali sana akajiuliza Linda🥵

Waliingia ndani na Alex akasema kuwa Linda achukue nguo yoyote apendayo.
"kila kitu hapa ni ghali sana, Linda akawaza

Alichukua nguo tofauti za chapa tofauti.
"Nimemaliza" Linda alisema mara moja
.
"Unadhan umetosheka" Alex aliuliza na Linda akaitikia kwa kichwa.

Basi Alex alilipa na wakaondoka na kwenda sehemu nyingine ambazo wangeweza kununua vitu nyingine kama vile begi, viatu na vipodozi. Walienda hata kutengeneza nywele za Linda na muda wote Alex alikuwa akisubiri kama mtu mpole..

Linda alimaliza kutengeneza nywele zake na wakaingia kwenye gari wakaanza kuondoka..wakiwa njiani Alex alimuita Linda..

"Linda alimuitikia akisubilia kusikia kile alichotaka kumwambia..Alex alisema
"Adhabu yako ni kwamba utakaa nami, nyumbani kwangu chmbn kwangu kwa wiki moja au ufukuzwe kazi

" Nini???" Aliuliza Linda kwa mshtuko .

"Ndio hivyo,"

"Yani mimi?? Nyumbani kwako?? Chmbn kwako?? Ktndn kwako?? Alafu iweje??

Mimi nilifikir hili dili ni la masaa machache kumbe ni la wiki nzima?

"Ndio ni wiki nzima, hebu acha kunihoji Kwan Una mpnz?" Alex aliuliza

"Hapana sijui" Linda Alisema na Alex akahema kwa furaha😩😩.

"Nashukuru Mungu sitakuwa nikipokea ngumi kutoka kwa mvulana yeyote kwa sababu niko na mpnz wake😩😩, akasema Alex

" naomba nikupeleke kwenye jumba langu la kifahari" Alex alisema ..

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia gari.
kijakazi alikuja kumsaidia Linda mabegi ya ununuzi na wakaingia ndani ya jumba hilo la kifahari. Wajakazi zaidi waliwasalimia huku Linda akiendelea kushangaa kila kitu🥵..

Walifika chmbn kwa Alex na linda akajilaza ktndni kwa uchovu.
"Wow, chumba chako ni kikubwa sana," akasema Linda
.
"Asante"
"Hata kitnd ni kikubwa pia" alisema Linda akitabasamu
"Ndio ni hivyo na kumbuka ni kwa watu wawili TU kwa MAANA watu wawili pekee ndio wanatakiwa kull hapo"

"Samahani nini??. Siwezi kull kitnd kimoja na kijana mwenye kbur kama wewe Alinong'ona Linda.

"Kumbuka ninakulipa kwa hili na sio kama nitakugusa, zaidi ya hayo wazazi wangu wana akili sana na wanaweza kutushuku" Alisema Alex na Linda akapumua tu..

"Nenda ujisafishe" akasema Alex
na kusimama kabla ya kutoka nje ya chumba.

Sihitaji kueleza mahali bafu lilipo naamin utaliona.

Alex alishuka na kuwaona wazazi wake wakitazama sinema
"Halo mama, habari baba," alisema Alex na kumnyanyua mama yake Kisha kukaa kando yake.

"Oh kpnz changu" alisema Mama yake Alex huku baba akitabasamu tu
"Kwahiyo yule binti yuko wapi" aliuliza mama yake Alex na Alex akatoa macho MAANA aliamin kuwa hakuna ambae aliwaona..

"yuko chumbani kwangu anaoga" alisema Alex na mama yake akatabasamu
"Ngoja niende nikamchunguze" Alisema mama yake Alex na kusimama.

"Mama tafadhali usimsumbue kwa maswali" akasema Alex kwa sauti ya uoga maana anakijua kichwa Cha Linda asije akaharibu mambo🤣🤣

"Sawa" alisema mama na kuelekea chumbani kwa Alex .
"Hatimaye umemleta msichana wako nyumbani. I'm proud of you son" Alisema baba yake Alex na yeye akaachia tabasamu😊😊
Mambo gani haya jamani.
, wananipelekesha sana Hawa wazaz wangu, Alex aliwaza...

Linda alimaliza kuoga na na kuingia chumbani akakutana na mwanamke pale amekaa😳😳

"Habari za mchana mama, nawez kukusaidia, akasema Linda
Na mama yake Alex akatabasamu😊😊

"Mungu wangu, mwanangu kweli ameleta msichana mzuri nyumbani," alisema na Linda akamtazama akiwa na hofu 🥵🥵
.
"Mwanao? Alex ni mwanao" Linda alimuuliza na akaitikia kwa kichwa kama mtoto.
"Oh Mungu wangu, samahani mama" Linda alisema haraka na mama yake Alex akacheka na kumfanya Linda atabasamu..

"Nimekpnda, wewe ni mrembo, unajali,na mcheshi. Alisema mama na Linda akatabasamu.

"Jina lako nani" aliuliza mama
"Naitwa Linda, nina umri wa miaka 22 na nimpnz wa mwanao Linda alisema .
"Natumai sijasema kile ambacho sitakiwi kusema, akawaza linda🥵🥵

"Wow, una akili sana Vipi kuhusu wazazi wako?" Aliuliza mama
"Wamek🥹fa mama"
"Oh..samahani sana kwa kufiwa na wazaz" Alisema na kumkumbatia Linda..

"Linda alichanganyikiwa Nini hiki Mungu wangu! Mke wa top ten ya matajiri hapa nchini na mwenye mvuto zaidi ananikumbatia mimi Ahh!! Bahat gani hii🥰🥰🥰

"Tutaongea baadae sweetheart" Alisema mama na kumshika Linda shavuni kisha akatoka nje.

Linda alichukua gauni jepesi na kulivaa, akafunga nywele zake na kibanio. Alichukua simu yake na kuanza kuperuzi kwenye mtandao na ndipo Alex alipoingia.

"Nini jamani☹️🥵 unakujaje bila kubisha hodi, ningekuwa bado navaa je, Kwann unaingia bila kubisha hodi" Linda alisema.


"Nilijua utakuwa umemaliza ," alisema Alex n Linda akamkazia macho.
Alex Alikuwa karibu kuongea jambo mara mtu akabisha hodi
"Ingia" Alisema Alex na mwanamke aliyevaa sare akaingia..

"Mheshimiwa, chakula cha mchana kipo tayari," alisema na Alex akampa ishara ya kuondoka na akaondoka zake..

"Lunch is ready, lets go" Alisema na wote wakashuka.

Meza ilikuwa tayari imewekwa na wazazi wa Alex walikuwa tayari wameketi
"Habari za mchana baba" Linda alimsalimia baba yake Alex, na yeye akatabasamu na kusema
"Habari za mchana binti yangu, habari yako"
"Sijambo baba"
"Wow mwanangu kweli umeleta msichana mzuri" Alisema na Linda akatabasamu

"Asante baba" Linda alisema na baba akaitikia kwa kichwa kisha wakaanza kula
macho ya Linda na Alex yaliendelea kugongana na Bi Shaws ambae ni mama yake Alex akaendelea kutabasamu ..

"Baada ya chakula cha mchana nyie mnapaswa kwenda kufurahia chmbn kwenu maana sherehe bado ni usiku," Bi Shaws alisema na Linda akaitikia kwa kichwa..

Mungu wangu nikafurahie na huyu chizi mimi🥵 asije akafanya kweli maana hapa tunaigiza tu..

Itaendeleaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁



Alex aliwasha gari wakaondoka kuelekea shopping muda wote alikuwa anawaza nini kimefanya Linda akubali ombi lake haraka vile??

Wakati Alex anawaza ya kwake linda nae alikuwa anawaza ya kwake kichwani...alikuwa anajiuliza ni kwanini Alex anataka niwe mpnz wake na bado anilipe🥵🥵

Itabidi nimuulize😩😩 hello aliita Linda huku akimwangalia Alex aliekuwa bize kuendesha gari.. Alex alijifanya hajisikii huku akiona raha vile Linda anavyomuita na kumtizama usoni kwake😍😍

"Kwanini unataka niwe mpnz wako" Linda alimuuliza Alex..

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex..

"Ila Sawa, leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na wanataka nimlete mpnz wangu na kwa vile sina ndo maana nimekuomba☹️..

"Seriously?? Vipi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamuu-wa-maboss-9-linda-aliona-kukubaliana-na-lile-hitaji-la-alex-kutamfanya-alex-aache-kuulizia-ma

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamuu-wa-maboss
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS ??????11
UTAMUU WA MABOSS??????  SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS ??????12
UTAMUU WA MABOSS ??????12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

363
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

333
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

316
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

173
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

65
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

37
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

30
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

29
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

28

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest