Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMUU WA MABOSS ??????11
Gonga94 · Stories

UTAMUU WA MABOSS ??????11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMUU WA MABOSS ??????11

Baada ya chakula cha mchana Linda na Alex waliongozana kwenda chumbani ????????wazazi wa Alex walibaki wanatabasamu????????

Aah wanaendana sana hakika wanapendeza????????waliongea hivyo wazazi huku wakiwasindikiza wawili wale kwa macho mpaka walipoingia chumbani..

Alex alikaa ktndn kwake huku Linda akibadilisha nguo kwenye chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema mwili wake na Alex akatabasamu ????????

"Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda ????????

"Oh mpnz wangu, mimi nimekuta man tayari aliwaza Alex kabla ya kumshika Linda ooh No no no si wakati huu ????????..ila mbona kapendeza sana natamani kumshika

Alex alianza kumsogelea Linda huku akimuangalia kwa jicho la mata manio Linda naye Alirudi nyuma kana kwamba anajua anachotaka kufanya Alex.

"Nini.....unafanya nini...unafanya nini" aliuliza Linda akionekana kuogopa...

"Unatakiwa kulipa kwa ulichonifanyia Jana..

"Nini" aliuliza tena linda.

"Gosh ???????? aliunguruma hivo Alex baada ya linda kuigusa ikulu yake ????????????ana midmo midogo ya waridi, nataman kui????????, aliwaza hivo Alex
Akamsogelea Linda kwa ukaribu sana na kuinamisha kichwa chake mpaka usawa wa naniliu zake..

Linda alifumba macho yake kwa nguvu.

Alex alitoa kibanio ambacho Linda alitumia kufunga nywele zake na nywele zake zilianguka kwa uhuru mgongoni kwa Linda ????

Alex alisimama wima na Linda alianza kufumbua macho yake kwa uangalifu na Hatimaye aliyafungua yote na Alex akamwangalia machoni huku akionekana mwenye ham nying sana..

"Ulikuwa unawaza nini? unafikiri nitakubs" Alex alimuuliza Linda huku akiwa anacheka.

"Kwanini ... kwanini nifikirie hivyo" akasema Linda huku akiona aibu kidogo..

"kwanini ulifumba macho niliposogeza uso wangu kwako"

"Kuna Kitu kilianguka machoni mwangu, ndiyo sababu nikafumba macho mxieeew????????"

"Acha uongo baby" Alisema Alex huku akiendelea kusogea mbele na Linda akawa anarudi nyuma hadi mgongo wake ukakutana na ukuta...

Alex Aliweka mikono yake miwili ukutani, akimtazama Linda na hapohapo akakumbuka kitu alichomfanyia Linda ofisini juzi na akajikuta amepatwa na hasira,

zile makeup alizomfanyia zilimfanya aonekane kama mdoli.

"Kubali kwamba mimi ni handsome na nitakuacha peke yako," alisem Alex hii ni kwa sababu Linda hajawahi kumsifia kabisa mwnaume huyu..

Alex anaamini muonekano wake una uwezo wa kumvutia kila mwanamke alishangaa sana baada ya kuona siku zinazidi kwenda na linda hamshobokei wala kuusifia muonekano wake..

Siku hiyo aliamua kumlazimisha Linda amuite handsome laa sivyo atamfanya kitu mbya..

"Mmhhh Hapana, hata nyani ni mzuri kuliko wewe" akajibu Linda kwa kiburi

"Haya baby, maneno yako hayanikeri hata kidogo, kubali tu kuwa mimi ni handsome maana najua kabisa mimi ni handsome, akasema Alex "

"Wewe ni mbaya" akajibu Linda
"Ukiniambia hivyo, nitakubs" akasema Alex

"Ngoja nikuone ukijaribu kukataa kuwa mm ni mzuri basi lazima nikupg bus langu mdmon"

Huyu jamaa vipi?? Nimeshakwambia wewe ni mbaya????????okay Alex alimsogelea akajiweka tayari kumbus Linda hakuonesha kuogopa na alikuwa tyr kwa lolote????????????

Wakati wanataka kunaniliu Mara ghafla wakasikia mlango ukigongwa
"Sht nani anagonga, Alex alifika mlangoni" akiwa na hasira

Mjakazi aliingia na kuinama kidogo kisha akamwambia Alex
"Wazazi wako walisema nikwambie wewe na mkeo kuwa wao wameshaondaka"

Alex alijikuta anaanza kutabasamu baada ya kusikia neno mke na kutikisa kichwa kisha mfanyakazi akaondoka..

Alienda hadi ilipo simu yake na kuchukua simu yake kitndan kabla ya kugeuka ili aondoke alisimama na kumgeukia Linda Kisha akatabasamu na kusema..

"Unapaswa kubadilisha gauni lako,"

"Samahani? Ninaweza kuvaa chochote ninachochagua" kumbuka mimi siyo mkeo usijishaue mr akasema Linda

"Si unajua kuwa rangi nyekundu inavutia kwa hio unataka ukatngzwe huko?" akasema Alex

Kwani nikitngzwa kuna shida????????hutaki nipate mme?? Na ninavotamani kuopoa jibaba lenye mihela huko kwenye party inabidi nipendeze na kuvutia ili nipate mtu leo..

Alex alishikwa na wivu sana aliondoka bila kujibu chochote akaenda kusimama nje akimsubilia Linda abadili gauni lake..

"Huyu mjnga ana shida gani?? alitaka kunibus na sasa ananiambia kuw nilichovaa kinatega wnaum,Je, nibadilishe au nisibadilishe?

Itabidi nivae hii hii maana ilinichukua muda sana kufunga zipu ya nguo hii, akawa anajisemea linda.

Alishuka kujumuika na Alex maana Alex alikuwa anamsubiri abadili lile gauni ili waende zao kwenye party

"Unasubiri nini kubadili hiyo nguo?" Aliuliza Alex mara baada ya kumuona Linda akija.

Hakumjibu kitu kwa sababu hakutaka kugombana na Alex .

Linda aliingia kwenye gari na Alex pia akaungana nae kisha Sam akaondoa gari..

Walifika huko kwenye party na wazazi wa Alex wakaanza kumtambulisha Linda kwa mabilionea fulani huko Chicago.

Linda alipendeza kupita kiasi kila alikopita watu wote waligeuka kumwangalia????????????Alex alishikwa na wasiwasi sana aliona ile Party inaweza kumuondoa Linda kwenye maisha yake..

Eh mungu wageuze wanaume wote humu ndani Linda awaone kama kondoo mimi tu ndo anitamani ???????? Alex aliwaza hivo huku akizidisha umakini wa kumlinda Linda asimponyoke..

Baada ya utambulisho Linda alitaman kushangilia MAANA hakuwah kufikiria kama anaweza kukutana na watu wakubwa na wenye pesa hata Siku Moja katika maisha yake.

Alipiga kelele mara moja lakin akakumbuka kuwa yuko kwenye mishen hivyo anatakiwa kutulia.

Nisije nikaonekana mshamba nikatia aibu wacha nijiweke matawi ili niendane nao????????????
.
Alex alimchukua Linda wakaketi sehemu moja alimtambulisha kwa marafiki zake akiwemo Angela..

Angela alimsifia sana Alex na kumwambia umepata mwanamke mzuri sana???????????? Linda Aliwaza eh mungu lait wangejua mimi ni mpnz bandia hata wasingetusifia kiasi hiki????????

Linda aliwaza hivo kisha akamkonyeza Alex na kutaka kusema kitu????????..

Alex aliogopa akawaza huyu mwanamke ni chizi hachelewi kuharibu mipango yetu eh mungu wangu tuliza kichaa chake mpaka tuondoke hii sehemu ????????

Nini kitafuata,?

Itaendeleaaaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMUU WA MABOSS ??????11

UTAMUU WA MABOSS ??????11

Baada ya chakula cha mchana Linda na Alex waliongozana kwenda chumbani ????????wazazi wa Alex walibaki wanatabasamu????????

Aah wanaendana sana hakika wanapendeza????????waliongea hivyo wazazi huku wakiwasindikiza wawili wale kwa macho mpaka walipoingia chumbani..

Alex alikaa ktndn kwake huku Linda akibadilisha nguo kwenye chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema mwili wake na Alex akatabasamu ????????

"Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda ????????

"Oh mpnz wangu, mimi nimekuta man tayari aliwaza Alex kabla ya kumshika Linda ooh No no no si...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamuu-wa-maboss-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamuu-wa-maboss
UTAMUU WA MABOSS??????  SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS ??????9
UTAMUU WA MABOSS ??????12
UTAMUU WA MABOSS ??????12
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9  Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
UTAMUU WA MABOSS 🥵❤️9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup 😁😁
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

363
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

333
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

316
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

173
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

64
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

37
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

30
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

29
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

28

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest