Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hakuongelea chochote kile kuhusu makeup ambayo alimfanyia Jana yake nakutulia MAANA Alex aliahidi kumpeleka shopping ya nguo.

"Ngoja.....Kwanini anataka niwe mpenzi wake na bado anilipe, alijiuliza Linda ila akaona haitosh hivyo akaona amuulize Alex ambae aliamin atampa majibu ya kueleweka.
"Kwanini unataka niwe mpenzi wako" Linda alimuuliza Alex

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex

"Sawa, leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na wanataka nimlete mpenzi wangu na kwa vile sina...." Akasema Alex ila Linda akamkatisha

"Seriously?? Vipi kuhusu yule bibi niliyemuona akimbusu , Kwan hawez kufaa kuwa mwanamke wako? " Akaulzia Linda

"Lazima uingie kwenye mambo ya watu wengine" Alisema Alex kwa hasira.

"Nilijua nimesema kile ambacho sitakiwi kusema.
"Samahani bwana" Linda alisema

Hii ni kama mara ya tatu Linda akiomba msamaha MAANA bado anahofu kwa kitu alichomfanyia Alex na Alex mpaka muda huo hakuonesha reaction yoyote ile.

Bado walifika kwenye maduka ya fashion ambayo ni maarufu kwa jina la FM na hapo ndipo kunakouzwa vitu vya bei ghali ZAIDI.

"Anafanya hivi kweli???? Linda alijiuliza
"Je, UPO tayar tufanye manunizi" Alisema Alex na kumshika mikono Linda.

"Mbona anajali sana akajiuliza Linda

Waliingia ndani na Alex akasema kuwa Linda achukue nguo yoyote apendayo.
"kila kitu hapa ni ghali sana, Linda akawaza

Alichukua nguo tofauti za chapa tofauti.
"Nimemaliza" Linda alisema mara moja
.
"Unadhan umetosheka" Alex aliuliza na Linda akaitikia kwa kichwa.

Basi Alex alilipa na wakaondoka na kwenda sehemu nyingine ambazo wangeweza kununua vitu nyingine kama vile begi, viatu na vipodozi. Walienda hata kutengeneza nywele za Linda na muda wote Alex alikuwa akisubiri kama mtu mpole.

Linda alimaliza kutengeneza nywele zake na wakaingia kwenye gari baada ya kulipa.
"Linda" aliita Alex na Linda akamuangalia
"Adhabu yako ni kwamba utakaa nami, nyumbani kwangu na chumbani kwangu kwa wiki au ufukuzwe kazi" alisema Alex na Linda hakuamini alichosikia.
" Nini???" Aliuliza Linda kwa mshtuko .

"Ndio hivyo," alisema
"Mimi? Nyumba yako? Chumba chakokwenye kitanda kimoja? "Alisema Linda kwa uoga akawa anataman kuona Alex akiwa anatania.


"Nyumba yako? kwenye kitanda kimoja?" Aliuliza tena Linda kwa mshtuko
"Ndio, acha kunihoji tayari. Kwan Una mpenzi?" Alex aliuliza

"Hapana sijui" Linda Alisema na Alex akahema kwa furaha.

"Nashukuru Mungu sitakuwa nikipokea ngumi kutoka kwa mvulana yeyote kwa sababu niko na mpenzi wake, akasema Alex

"Sam naomba utupeleke kwenye jumba langu la kifahari" Alex alisema na Sam akaitikia kwa kichwa.

Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na walinzi wakawafungulia gari.
kijakazi alikuja kumsaidia Linda mabegi ya ununuzi na wakaingia ndani ya jumba hilo la kifahari. Wajakazi zaidi waliwasalimia huku Linda akiendelea kushangaa kila kitu.

Walifika chumbani kwa Alex na linda akajilaza kitandani kwa uchovu.
"Wow, chumba chako ni kikubwa sana," akasema Linda
.
"Asante"
"Hata kitanda ni kikubwa pia" alisema Linda akitabasamu
"Ndio ni hivyo na kumbuka ni kwa watu wawili TU kwa MAANA watu wawili pekee ndio wanatakiwa kulala hapo"

"Samahani nini??. Siwezi kulala kitanda kimoja na kijana mwenye kiburi" kama wewe Alinong'ona Linda.

"Kumbuka ninakulipa kwa hili na sio kama nitakugusa, zaidi ya hayo wazazi wangu wana akili sana na wanaweza kutushuku" Alisema Alex na Linda akapumua tu.
"Nenda ujisafishe" akasema Alex
na kusimama kabla ya kutoka nje ya chumba.

Sihitaji kueleza mahali bafu lilipo naamin utaliona.
Alex alishuka na kuwaona wazazi wake wakitazama sinema
"Halo mama, habari baba," alisema Alex na kumnyanyua mama yake Kisha kukaa kando yake.
"Oh mpenzi wangu" Mama yake Alex alisema huku baba akitabasamu tu
"Kwahiyo yule binti yuko wapi" aliniuliza mama yake Alex na Alex akatoa macho MAANA aliamin kuwa hakuna ambae aliewaona.

"Sawa...yuko chumbani kwangu anaoga" alisema Alex na mama yake akatabasamu
"Ngoja niende nikamchunguze" Alisema mama yake Alex na kusimama.

"Mama tafadhali usimsumbue kwa maswali" akasema Alex kwa sauti ya uoga maana anakijua kichwa Cha Linda asije akaharibu mambo.

"Sawa" alisema mama na kuelekea chumbani kwa Alex .
"Hatimaye umemleta msichana wako nyumbani. I'm proud of you son" Alisema baba yake Alex na yeye akaachia tabasamu
"alisema anajivunia mimi kwa sababu nilileta msichana nyumbani
Mambo gani jamani.
, wananipelekesha sana Hawa wazaz wangu, Alex aliwaza......

****

Linda alimaliza kuoga na na kuingia chumbani akakutana na mwanamke pale amekaa

"Habari za mchana mama, nawez kukusaudia, akasema Linda
Na mama yake Alex akatabasamu

"Mungu wangu, mwanangu kweli ameleta msichana mzuri nyumbani," alisema na Linda akamtazama akiwa na hofu
.
"Mwanao? Alex ni mwanao" Linda alimuuliza na akaitikia kwa kichwa kama mtoto.
"Oh Mungu wangu, samahani mama" Linda alisema haraka na mama yake Alex akacheka na kumfanya Linda atabasamu.

"Nakupenda, wewe ni mrembo, unajali, mtamu na mcheshi. Alisema na Linda akatabasamu.

"Jina lako nani" aliuliza
"Linda, naitwa Linda, nina umri wa miaka 22 na nimpenzi wa mwanao Linda alisema .
"Natumai sijasema kile ambacho sitakiwi kusema, akawaza linda

"Wow, una akili sana pia. Vipi kuhusu wazazi wako?" Aliuliza mama
"Wamekufa mama"
"Oh..samahani sana kwa kufiwa na wazaz" Alisema na kumkumbatia Linda.

"Nini! Mke wa top 10 ya matajiri hapo na mwenye mvuto ananikumbatia Ahh!! Bahat gani hii Linda akawaza.

"Tutaongea baadae baby" Alisema na kumshika Linda shavuni kisha akatoka nje.

Linda alichukua gauni jepesi na kulivaa, akafunga nywele zake na kibanio. Alichukua simu yake na kuanza kuperuzi kwenye mtandao na ndipo Alex alipoingia.

"Nini jamani, ningekuwa bado navaa je, Kwann unaingia bila kubisha hodi" Linda alisema.


"Nilijua utakuwa umemaliza sasa hivi," alisema Alex n Linda akamkazia macho.
Alex Alikuwa karibu kuongea jambo mara mtu akabisha hodi
"Ingia" Alisema Alex na mwanamke aliyevaa sare akaingia
"Mheshimiwa, chakula cha mchana kipo tayari," alisema na kumpa ishara ya kuondoka na akaondoka zake.
"Lunch is ready, let go" Alisema na wote wakashuka.

Meza ilikuwa tayari imewekwa na wazazi wa Alex walikuwa tayari wameketi
"Habari za mchana bwana" Linda alimsalimia baba yake Alex, na yeye akatabasamu na kusema
"Habari za mchana, habari yako"
"Sijambo bwana"
"Wow mwanangu kweli umeleta msichana mzuri" Alisema na Linda akatabasamu

"Asante baba" Linda alisema na baba akaitikia kwa kichwa kisha wakaanza kula
macho ya mimi na Alex yaliendelea kugongana na Bi Shaws ambae ni mama yake Alex akatabasamu ..

"Baada ya chakula cha mchana nyie mnapaswa kufurahiya, sherehe bado ni usiku," Bi Shaws alisema na Linda akaitikia kwa kichwa

NAKUJA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex

hakuongelea chochote kile kuhusu makeup ambayo alimfanyia Jana yake nakutulia MAANA Alex aliahidi kumpeleka shopping ya nguo.

"Ngoja.....Kwanini anataka niwe mpenzi wake na bado anilipe, alijiuliza Linda ila akaona haitosh hivyo akaona amuulize Alex ambae aliamin atampa majibu ya kueleweka.
"Kwanini unataka niwe mpenzi wako" Linda alimuuliza Alex

"Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ," alisema Alex

"Sawa, leo ni siku ya kumbukumbu ya wazazi wangu na wanataka nimlete mpenzi wangu na kwa vile sina...." Akasema Alex ila Linda akamkatisha

"Seriously?? Vipi kuhusu yule bibi niliyemuona akimbusu , Kwan hawez kufaa kuwa mwanamke wako? " Akaulzia Linda

"Lazima uingie kwenye mambo ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-10-linda-alikuwa-amechoka-sana-na-hataki-kuleta-vurugu-yoyote-maana-mpaka-muda-huo-a

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS??????3
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

855
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

609
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

534
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

434
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

315
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.58K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest