UTAMU WA MABOSS??? 4
Katika upande wa Alex siku hiyo Aliamka mapema sana kuliko kawaida yake, na hakujua ni kwanini.
Alioga na kufanya mambo muhimu.
Akaingia kwenye gari na Sam ambae ni dereva wake na wakaondoka.
Wakati wako njiani kuelekea kazini gari lao lilipata ajali waligongana na gari la mtu mwingine Alex na sam walishuka haraka kuangalia kilichotokea..
Sasa katika mitaa hiyo kulikuwa na jam sana siku hiyo Linda mwenyewe alikuwa hapo hapo akisubilia jam ipungue arudi kwenye daladala aendelee na safari ya kuelekea kazini..
Linda alishuka kwenye gari kutokana na joto kali ikabidi asimame nje apunge upepo..sasa Alex aliposhuka kwenye gari lake alitizama huku na kule kwa mbali kidogo akamuona Linda ?
Huyu mshnz bado hajafika ofisini mpaka saiz??Alex alimsogelea Linda akamkurupua..unafanya nini hapa,?? unatakiwa kuwa kazini sasaivi?"..
"Ni kweli Boss ila we mwenyewe si unaona hiyo Jam ningepita wapi??Alex alimuuliza Sam gari yao kama imeharibika sehemu yoyote akasema iko sawa imechubuka kisehem kidogo..
Walimalizana na yule mwenzao walokwaruzana nae then Alex akamwamuru Linda apande kwenye gari waondoke kwenda kazini..
"Ingia kwenye gari" Alex alimwambia Linda na Linda akaingia ndani ya gari..
Sam aliendelea kuendesha gari na Alex alibonyeza simu yake huku Linda akiendelea kujisikia vibaya, na kukosa aman maana hakuwah kuwa karibu na Alex hata mara moja..
Walifika kazini kwao na Linda akatoka nje ya gari.
Alex naye alishuka akaelekea ofisini kwake na wafanyakazi wote walimsalimia lakini hakuwajibu, si kama hii ni mara ya kwanza, ni kawaida yake kutokujibu Salam??
Alifika ofisini kwake na kitu cha kwanza alichoona ni keki ya vifuniko kwenye meza yake??
"Leo sio siku yangu ya kuzaliwa nani kaweka keki hap?. Alex aliifungua ile keki na kuishangaa maana ilikuwa ni Keki ni nzuri sana..
Alex aliitazama vizuri akaona kitufe juu yake na akajaribu kuondoa hicho kitufe lakini alishindwa, kwa hivyo aliibonyeza hicho kitufe na kitu kilichofuata alihisi keki ikishuka usoni mwake.
"Nani alifanya hivi? kwa hiyo ilikuwa ni mtego after all, yaan mtu anapanga kunichefua asubuh yote hii ofisini kwangu??ni nani huyu, akafoka Alex huku uso wake ukiwa umejaa keki.
Mara Alex alisikia sauti ikifuatiwa na kicheko hafifu... ni Linda ndo alikuwa anamcheka Alex maana alivosikia anafoka alikimbia kwenda kuchungulia kilichotokea??
Linda alishangaa kumuona Alex akiwa katika muonekano kama wa katuni???aliangua kicheko bila kujali yule ni Boss wake???
Linda!!!!???toka sasa hivi ofisini kwangu kabla sijakufukuza kazi hapa??Linda alitoka huku akifikiria vile aliinunua hiyo cake lengo ikiwa kutoa shukurani kwa Alex kwa kumpa ajira lakini kwa bahati mbaya imemkera??
Hata hivo Linda alimwambia Alex samahan boss sikuwa na lengo baya, najua Leo ni siku Yako ya kuzaliwa ila nilitaman kukuona unatabasamu, niamin sikuwa na lengo baya ila kila kilichotokea kimetokea bahat mbaya, akasema Linda.
Alex alimsogelea Linda na kumshika shingo kwa nguvu na kumfanya anyong'onyee.
"Kwanini umefanya hivyo" aliuliza Alex lakini hata Linda hakumjibu.
"Ninasema kwanini umefanya hivyo" aliuliza tena Alex.
"Samahan kwa niluchokufanyia" akasema Linda.
"Oh, samahan kwamba ndio itafuta kila kitu ila you are fired, umefutwa kazi akasema Alex na linda akamuangalia kwa sekunde kadhaa Kisha akasema, Mimi siwez kuacha kazi??
"Owww unanijibu jeuri eh?? Unanijibu kana kwamba wewe ndo Boss hapa na unafanya unachotaka"
Alex aliuliza huku akiwa kamkba Linda na Linda alihisi kama anapoteza pumzi hivyo
Akampg Alex tek la mpmb???Alex alipiga kelele huku anajiziba pale kwenye naniliu yake..
Alipiga kelele huku akiita "Linda!" Shetani wewe toka hapa ofisini na usirudi tena hata hivyo Linda tayari alikuwa ameshatoka nje ya ofisi.
"Kanifanyia nn huyu mpzi ameniumiza naniliu zangu zinauma vibaya mno?? Ahhh
naapa nitammaliza huy binti, siku ile makofi leo kaugusa usalama wangu wa taifa kesho kitatokea nini??
Kule ofisini kwa Alex aliingia rafiki yake Michael akashangaa Alex amejishikilia kule ikulu alafu ni anaugulia kwa malalamiko ya maumivu makali..
.
"Ni nini kinaendelea hapa. Nimemuona Linda akitoka ofisini kwako akitabasamu kama mtu aliyeshinda bahati nasibu " Alisema Michael..
" Oh keki kuna cake hapa nani kakuletea Bro hebu niionje kwanza???
"Usiguse hiyo keki" akasema Alex
"Kwanini" akauliza Michael
"Angalau unapaswa kuwa na wasiwasi juu yangu wewe unawaza kula tu???
"Subiri ...nini kimekutokea kwani?? Au unaumwa bushaa?? " aliuliza Michael na Alex akamwambia kila kitu kilichotokea??
si huyo mwnmke shetani kidogo anichomoe naniliu zangu?Michael alivyo mjnga alianza kumcheka rafiki yake Alex huku anakula ile cake aliyoikuta pale ofisini kwa Alex????
Michael alimwambia Alex angalau umepata kiboko yako huyu sasa ndo mtawezana?????cha kufanya saivi muite aje azikande kande hizo miambili amsini zako maumivu yapungue??
Itaendeleaaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100.