UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
Dah hivi niko sawa kweli?? Siamini kama.ndo nimekuwa mjinga kiasi hiki najigombeza kisa mwanme hantngzi?? No siko sawa..
Lakini ilikuwaje mpaka nikazama kiasi hiki??
Wakati Linda anachanganyikiwa na mawazo peke yake ofisini huku kwa Alex alikuwa anawaza sehemu nzuri ya kumpeleka Linda wakapate dinner pamoja kisha afunguke yaliyopo kwenye moyo wake..
Baadae usiku**********
ALex alipanga kumuomba Linda watoke for det na hakuwa na uhakika kama atakubali.
" hata sijui nisemeje.
Nimekuwa nikifanya mazoezi kwa zaidi ya saa 2 sasa na bado sijapata neno sahihi la kumuambia Linda,.
Yani hawa????????????
" ' Linda tafadhali unaweza kwenda na mimi kesho'akasmea Alex akiwa anafanya majaribio ya namna ya kumuomba Linda watoke.????????
"Hiyo inasikika vizuri?au itaonekana namfokea??
Argh...sijui atanichamba ila fine wacha nimfuate..
Alex alienda ofisini kwa linda na kugonga mlango..
"Ingia" sauti ya Linda iliitikia na Alex akaingia ndani
"Nikusaidieje????????" aliuliza Linda na alex alihisi uwepo wake hauhitajiki????????
"Uhm...kweli i...i..i.. Linda " alex akaanza kujiuma uma anawaza amwambie mdomo unakuwa mzito anamuogopa Linda vibaya mno????????
"Wewe nini????????" aliuliza Linda
"Nataka u..toke out na mimi" Alex alisema na
Alihisi Linda atakataa.
"Najua..najua na sikulazimishi" Alex alisema kwa kujishuku na Linda akatabasamu
"Bwana Alex, ningependa kwenda na wewe out so usijal tutaenda????????????" Linda aliongea na tabasamu juu????????
"Umekubali" Alex aliuliza na Linda akaitikia kwa tabasamu.
"Kwahiyo unafanya nini" Alex aliuliza huku akikaa chini
"Ninatuma ujumbe kwa kampuni ya chakula na vinywaji" akajibu Linda ????????
"Mh ni vizuri" Alex alisema na kuendelea kutazama anachofanya.
"Lo upendo ni wa ajabu, siwezi kuamini kuwa Linda angeweza kunijibu vizuri kiasi hiki Alex aliwaza
"Kichwani kwa Linda sasa alikuwa na furaha mpaka anatamani aruke ruke ila ndo hivo alex yuko hapo????????????alianza kujisemea OMG! Kutoka out na Alex, hiyo ni nzuri, ninamaanisha kuna uwezekano wa 50% kuwa ananipenda????????????...
Ni kweli ninaenda naye kwenye miadi?lakini sijui kama ni kwa ajili ya biashara au mpnz????????natamani iwe mpnz???? labda ananipenda au......Argh...acha kubahatisha , Linda akawa anawaza
Kesho yake
Linda alivaa kwa ajili ya det huku Alex akimsubiri chini...
Alivaa gauni fupi jeusi, alipaka rangi nywele zake kuwa nyeupe.
Alivaa highhills na pochi na kuweka lipstic kidogo kwenye midomo yake.
Alishuka ngazi na nusura adondoke ????????????baada ya kuona Alex anashangaa..
"Wow you look beautiful...mpaka najihisi nimepungukiwa na maneno" alisema na Linda akawa anaona haya..
"Asante, wewe mwenyewe hauonekani mbaya," Linda alisema na Alex akatabasamu
"Twende" alisema na kumfungulia mlango wa gari kwenye siti ya nyuma.
"Asante" Linda alisema na kuingia kisha Alex akaingia kutoka upande wa pili.
"Wapi boss" aliuliza Sam
"Nimetuma anuani kwenye simu yako" Alisema Alex na Sam akaiangalia simu yake kisha akaitikia kwa kichwa na kuiondoa gari????????????
Walifika hio sehemu dakika chache na kila mahali palikuwa kimya tu wimbo hafifu wa kimahba uliokuwa ukipigwa.
Waliingia na hakukuwa na mtu hata Mmoja.
"Alex mbona mahali hapa hakuna watu" Linda alimuuliza
"Nimenunua sehemu hii kwa siku ya Leo " alisema na Linda akashangaa????????????
Walikaa na wkamuita muhudumu
"Unakaribishwa kwenye mgahawa wa plazza, nikupe nini" Muhudumu alisema na Alex akamtazama Linda ????????
"Utakula nini?" Alex aliuliza
"Kuku na chips ni sawa" akasema Linda
"Kuku na chips kwa watu wawili" alisema na Linda akatabasamu
muhudumu aliondoka na kurudi dakika chache na chakula????????????
"Kwahiyo Alex tuko hapa kwa ajili ya nini" Linda aliuliza akiwa anakula alitamani aambiwe anpndwa hakuna kingine alichohitaji kukisikia kutoka kwa Alex????????????
.
"Ni kwaajili ya biashara?" Linda aliuliza na Alex akatikisa kichwa kwa ishara ya kukataa
"Ni kwa ajili ya nini??.
Itaendeleaaaaa
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



